×

Michezo

Yondani: Huu Mziki Wetu Unatisha!

BEKI mwenye nafasi kubwa ya kupewa unahodha wa Yanga msimu ujao, Kelvin Yondani amekiri kwamba kikosi hicho kimesheheni. Mchezaji huyo...

READ MORE

AZAM FC KESHO KUMENYANA NA TP MAZEMBE

UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kesho lazima wapambane mbele ya TP Mazembe ili kutinga hatua ya nusu fainali ya...

READ MORE

BREAKING: MAJINA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA KWA AJILI YA CHAN

KAIMU kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Tafa Stars’ , Ettiene Ndayiragije ameteua majina ya wachezaji 26 kwa ajili...

READ MORE

Yanga Yaleta Beki Spesho wa Caf

UONGOZI wa Yanga umekamilisha taratibu za usajili wa beki wa kushoto wa Rayon Sports ya Rwanda, Ericky Rutanga anayejiunga na...

READ MORE

SENEGAL YATINGA FAINALI BAADA YA MIAKA 17 -VIDEO

PATASHIKA nguo kuchanika ilitokea jana katika mchezo wa kwanza wa nusu fainali kati ya Senegal na Tunisia kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Atletico yapinga Barca kumnyakua Griezmann

ATLETICO Madrid imepinga kitendo cha Barcelona kumsajili Antoine Griezmann kinyume cha sheria za usajili. Barcelona ilidai jana imemnyakua Griezmann baada...

READ MORE

Tambwe: Zahera mpe unahodha Yondani

AMISSI Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin...

READ MORE

Ajibu Awatetemesha Chama, Kahata

KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na...

READ MORE

SIMBA YAMPELEKA MO KWA WAZIRI MKUU

KIUNGO wa Simba, Mohamed Ibrahim ‘Mo’ ametolewa kwa mkopo rasmi na klabu yake kwenda kujiunga na Namungo FC ambayo imepanda...

READ MORE

Okwi Awaaga Simba, Aacha Ujumbe Mzito

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi juzi jioni amewaaga rasmi wachezaji wenzake aliokuwa nao katika kikosi cha Simba msimu...

READ MORE

Mnamibia wa Yanga apewa mtihani mzito

UONGOZI wa Yanga hivi karibuni umemkabidhi mshambuliaji wake raia wa Namibia, Sadney Urikhob jezi namba 17 ambayo ilikuwa ikivaliwa na...

READ MORE

AS VITA KUKIPIGA NA YANGA KILELE CHA SIKU YA WANANCHI

  Klabu ya AS Vita ya DR Congo imealikwa kucheza na Yanga siku ya utambulisho wa kikosi cha timu hiyo...

READ MORE

Simba yakubali kupigwa faini ya usajili

WAKATI usajili wa kimataifa ukifungwa rasmi Julai 10, mwaka huu, Klabu ya Simba imesema haina hofu, ipo tayari kutoa faini...

READ MORE

Yanga Yaisogeza Mbele Siku ya Mwananchi

UONGOZI wa Klabu ya Yanga, umeisogeza mbele Siku ya Mwananchi ambayo hapo awali ilipangwa kilele chake kufanyika Julai 27, mwaka...

READ MORE

Ajibu, Gadiel wapelekwa Mamelodi Sundowns

WACHEZAJI wapya wa Simba, Ibrahim Ajibu na Gadiel Michael watakutana na zali la kupelekwa katika Klabu ya Mamelodi Sundowns nchini...

READ MORE

Kipa Yanga: Kucheza na Yondani ilikuwa ndoto

KIPA mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa...

READ MORE

Ndayiragije apania rekodi Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea...

READ MORE

Dakika 120 za Wanyarwanda Yanga zatikisa

WACHEZAJI wapya wa Yanga, Patrick Sibomana na Issa Bigirimana ambao wote ni raia wa Rwanda, wamekuwa kivutio katika kambi yao...

READ MORE

Kisa Kocha Amunike, Mwakembe Akerwa na TFF

WAZIRI wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa rai yake kufuatia uamuzi wa Shirikisho la Soka nchini...

READ MORE

Wababe Senegal na Nigeria Watinga Nusu Fainali AFCON

TIMU za Taifa za Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya...

READ MORE

Kagere, Msudani ndani ya nyumba

Wachezaji wa kimataifa wa Simba, akiwemo Meddie Kagere na Sharaf Shiboub wanaanza kuwasili jijini Dar es Salaam, kesho ijumaa tayari...

READ MORE

Msuva: Namfuata Samatta Ulaya

NYOTA wa Difaa el Jadida ya Morocco, Mtanzania Saimon Msuva amefunguka kuwa kwa msimu ujao anaweza kuondoka ndani ya klabu...

READ MORE

Dakika 120 za Mazoezi Yanga Zatikisa Morogoro

KIKOSI cha timu ya Yanga kimewasili mkoani Morogoro juzi tayari kwa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ambapo kimejichimbia...

READ MORE

Gadiel Michael Atoa Ujumbe Mzito Kwa Mashabiki Yanga

BAADA ya Klabu ya Simba, kumtambulisha beki mpya wa kushoto,  Julai 9, 2019,  Gadiel Michael,  kwa kumpa mkataba wa miaka...

READ MORE

Okwi Kajiunga na Timu ya Gwiji Maradona

ALIYEKUWA mchezai wa Klabu ya Simba Sc ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amejiunga...

READ MORE

Shikalo: Yanga nakuja baada ya Kagame

KIPA namba mbili wa Harambe Stars na Bandari ya Kenya, Farouk Shikalo ‘Wazza’ amefi chua kuwa, ilibaki kidogo tu asijiunge...

READ MORE

Baada ya Okwi Kusepa Simba, Manara Amwaga Povu Kama Lote

‘Hata kagere na kina Okwi wajuzi waliyasema haya haya…’ Siku hizi sijishughulishi tena na kujibu jibu makala zenye lengo la...

READ MORE

Rasmi: Okwi Aachana na Simba, Atimkia Uarabuni

NYOTA wa Simba, Emmanuel Okwi, amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE),...

READ MORE

Aiyee Ampiga Mkwara Kagere

BAADA ya mshambuliaji mpya wa KMC, Salim Aiyee kutupia bao katika mechi ya kwanza ya michuano ya Kagame, sasa ametamba...

READ MORE

Samatta Kutua England Keshokutwa

  INAELEZWA kuwa, mshambuliaji wa kimataifa wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta anatarajia kuondoka nchini kati ya keshokutwa Ijumaa...

READ MORE

Mnataka kulia? Gadiel tayari mali ya Simba

KLABU ya Simba, imemtambulisha beki wa kushoto, Gadiel Michael baada ya kukamilisha usajili wake kwa kumpa mkataba wa miaka miwili....

READ MORE

Coastal Yajitosa Kwa Dida

WAKATI Usajili ukiendelea inadaiwa kuwa Klabu ya Coastal Union ya Tanga inajaribu kutupa karata zake kwa aliyekuwa kipa wa Simba,...

READ MORE

Simba SC KAZI imeanza sasa!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, hali ya mambo ilivyo hivi sasa huko mitaani baada ya timu za Simba na Yanga kuwa...

READ MORE

Waarabu wa Msuva Wamtaka Mudathir

Klabu ya Difaa Al Jadid ya Morocco ambayo anaichezea Mtanzania, Simon Msuva ina mpango wa kumsajili kiungo wa Azam FC,...

READ MORE

Vikosi Vitatu vya Simba SC, Lazima mkae

KWA asilimia kubwa, mpaka sasa kikosi cha Simba kimekamilika kwani kutokana na aina ya wachezaji iliowasajili, vinaweza kutengenezwa vikosi zaidi...

READ MORE

Sonso Aahidi Kuivua Ubingwa Simba SC

BAADA ya kukamilisha dili la kujiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili, beki Ally Mtoni ‘Sonso’ ameahidi msimu ujao...

READ MORE

Breaking News: TFF Yasitisha Mkataba na Kocha Amunike Taifa Stars

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike wamefikia makubaliano ya pamoja kusitisha mkataba...

READ MORE

Kahata Aanza Na Mikwara Simba, Kagere Achochea Moto

BAADA ya kusaini mkataba wa miaka miwili, kiungo mchezeshaji wa Simba raia wa Kenya, Francis Kahata, ametamba kuwa anakuja Msimbazi...

READ MORE