×

Michezo

Utata kifo cha Mbalamwezi wa The Mafik – Video

KIFO cha msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’ kimegubikwa na utata mkubwa kufuatia madai mwili wake...

READ MORE

Matola Aitoa Nishai Yanga, Aipiga 2-0 Moshi

YANGA jana ilichezea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa vijana wa Kocha Selemani Matola, polisi Tanzania ukiwa ni mchezo wa...

READ MORE

MREMBO: SANCHEZ ALINITONGOZA NIKAMKATAA

NATALIA Mandiola, ni mtangazaji wa runinga katika idara ya michezo, amefunguka kuwa nyota wa Manchester United, Alexis Sanchez alitupa ndoano...

READ MORE

Premier League Usajili wa Sh Trilioni 3.8

KLABU ya Ligi Kuu ya England maarufu kwa jina la Premier League, zimetumia takribani pauni bilioni 1.4 (Sh trilioni 3.8)...

READ MORE

Kagere Awaonya Azam FC

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere amefunguka kuwa atahakikisha anaanza kufunga mabao ya kutosha katika mchezo wa Ngao ya Jamii...

READ MORE

Sibomana Atoa Kauli ya Kibabe Yanga

WINGA wa Yanga, Mnyarwanda, Patrick Sibomana ambaye anaongoza kwa kufunga mabao kwa wachezaji wote wa Yanga msimu huu hadi sasa,...

READ MORE

Kakolanya Apania Kuwaonyesha Yanga Taifa

KWA jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza...

READ MORE

VIDEO: ‘MAHAKAMA’ YAMKATAA DISMAS TEN wa YANGA

 MASHABIKI mbalimbali wa soka wamezungumzia kinachoendelea katika mitandao ya kijamii ikihusisha kutetereka kwa cheo cha ofisa habari wa klabu...

READ MORE

Patrick Sibomana Amkosesha Usingizi Kipa wa Township Rollers

KIPA tegemeo wa Township Rollers, Wagarre Dikago amekiri kutoka moyoni kwamba kuna mchezaji mmoja tu anamnyima usingiza ndani ya Yanga...

READ MORE

Yanga Yapeleka Barua Caf

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umesema kuwa umetuma maombi Caf ili kuweza kupata leseni za wachezaji wao wa kimataifa, Farouk...

READ MORE

Liverpool Yabeba Kombe la UEFA Super Cup, Yaichapa Chelsea

TIMU  ya Liverpool usiku wa kuamkia leo Agosti 15, 2019,  katika Uwanja wa Vodafone mjini Instanbul nchini Uturuki imefunga timu...

READ MORE

Joshua kurudiana na Ruiz Saudi Arabia

  PAMBANO  la marudiano kati ya Andy Ruiz Jr na Anthony Joshua litafanyika mwezi Desemba mwaka huu nchini Saudi Arabia,...

READ MORE

Mkude: Tunaanza kukusanya mataji Jumamosi

KIKOSI cha Simba, Jumamosi hii kitashuka uwanjani kupambana na Azam FC katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa kwenye Uwanja...

READ MORE

Yanga Yamalizana na Yondani, Juma Abdul, Dante Hakijaeleweka – Video

  Baada ya mechi ya Township Rollers na Yanga kumalizika kwa bao 1- 1, kwenye mechi za awali za Michuano...

READ MORE

Zahera: Tutalipa Fedha Kuwafunga Rollers

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa atatumia fedha ili tu awafunge Township Rollers katika mechi ya marudiano kati...

READ MORE

UD Songo Wamfanyia Kitu Mbaya Chama

KIUNGO wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, Jumamosi iliyopita ilikumbana na balaa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Sibomana: Msiogope, Tunawapiga Kwao Botswana

KIUNGO mshambuliaji machachari na tegemeo hivi sasa wa Yanga Mnyarwanda, Patrick Sibomana amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaahidi...

READ MORE

Juma Pondamali Ageukia Singeli – Video

Nyota wa zamani wa klabu ya Yanga pamoja na Timu ya Taifa ya Tanzania Juma Pondamali amesema ndapo klabu ya...

READ MORE

Yondani Akubali Yaishe, Arejea Kikosini

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali yaishe na juzi Ijumaa jioni aliingia kambini kujiunga na wenzake baada ya...

READ MORE

Ajibu Atangaza Rekodi Mpya Simba

IBRAHIM Ajibu, Kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa msimu ujao anataka kuweka rekodi mpya tofauti naile aliyoiweka miaka miwili alipokuwa...

READ MORE

KASI YA SIBOMANA YAMKOSHA ZAHERA

KASI ya winga wa Yanga, Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi imemkosha kocha mkuu wa timu...

READ MORE

Aussems: Tukutane Machinjioni

IKICHEZA kwa kujiamini na mbinu za hali ya juu, juzi Jumamosi Simba ililazimisha suluhu ugenini dhidi ya wenyeji, UD Songo...

READ MORE

Rasmi Kwasi Arithi Mikoba ya Banda Sauzi

HATIMAYE aliyekuwa beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi amejiunga na Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini timu aliyokuwa...

READ MORE

Beki Mtaalamu Simba Awatumia Salamu Yanga

HARUNA Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao...

READ MORE

Man Utd Yaichinja Chelsea, Yaipiga Bao 4-0, Rashford Atupia 2 – Video

MANCHESTER United imeanza vema msimu huu wa Ligi Kuu England ‘Premier League’ baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-0...

READ MORE

ZAHERA: Mtamuelewa Tu mrithi wa Makambo

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wale ambao wanabeza uwezo wa mshambuliaji wake mpya, David Molinga watamuelewa tu...

READ MORE

Tshishimbi Atamba, Kisa Sibomana

KIUNGO mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri...

READ MORE

Tanzanite noma, Yatwaa Ndoo Cosafa

TIMU ya Taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20 imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Cosafa kwa kuichapa timu ya...

READ MORE

YANGA YAJIPA MATUMAINI KUSONGA MBELE KIMATAIFA

MWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa nafasi bado ipo kwa timu hiyo kusonga mbele kwenye michuano ya Ligi...

READ MORE

YANGA YACHOMOA DAKIKA ZA MAJERUHI TAIFA

Bao la mkwaju wa penati la dakika ya 86 lililofungwa na Patrick Sibomana limeiwezesha Yanga kutoka sare dhidi ya Township...

READ MORE

SIMBA: HAIKUWA BAHATI YETU LEO YATOKA SARE NA US DO SONGO

KOCHA wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa haikuwa bahati yao kushinda leo kutokana na kubwanwa na wapinzani wao kwenye mchezo...

READ MORE

Tanzania Yaingia Fainali Mashindano ya kutafuta ubunifu na suluhisho

Kampuni mama ya Viettel na kampuni ya Mawasiliano ya simu ya Halotel wametangaza Agosti 10, 2019,  rasmi orodha ya timu...

READ MORE

Yondani Apewa Kazi Maalumu Caf

KOCHA Mkuu wa Klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amesema amempa kazi maalumu beki wa timu hiyo Kelvin Yondani ya kuidhibiti...

READ MORE

Simba Yapewa Onyo Kali Kwa UD Songo

ALIYEWAHI kuwa straika wa Simba na sasa anaichezea Royal Eagles ya Afrika Kusini, Uhuru Selemani amefunguka kuwa Simba inapaswa kuwa...

READ MORE

Falcao, Balinya Wampasua Kichwa Zahera

IKIWA katika maandalizi yake ya mwisho kuelekea mechi ya kimataifa, Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameendelea kupambana kutengeneza kombinesheni...

READ MORE

VIDEO: KAULI YA KOCHA ZAHERA KUELEKEA MECHI YA KESHO “WATAKUFA”

 Kocha mkuu wa Young Africans, Mwinyi Zahera, amesema kuwa wamejipanga vyema katika mchezo wao dhidi ya Township Rollers, kutoka...

READ MORE

Maguire ataifanya United iwanie ubingwa

PEP Guardiola anaamini kwamba sasa Manchester United itaweza kupigania ubingwa wa Premier baada ya kumnasa beki, Harry Maguire kutoka Leicester...

READ MORE

VIDEO: YANGA Wajibu Tuhuma Za SIMBA, Wafungukia MCHEZO Wa KESHO

 WAKATI mashabiki wa Yanga, wakihesabu saa kabla ya kuishuhudia timu yao kesho ikishuka dimbani katika mchezo wa raundi ya...

READ MORE

ARSENAL YAMALIZANA NA MABEKI DAKIKA ZA USIKU, MENEJA AMPA TANO LUIZ

ARSENAL imekamilisha dili la kuzipata saini za mabeki wawili dakika za usiku kabla ya dirisha la usajili kwa timu za...

READ MORE

Kuwaona Balinya, Falcao Sh 50,000

UONGOZI wa Yanga umeweka hadharani viingilio vyake kuelekea mchezo wa dhidi ya Township Rollers ya Botswana wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE