×

Michezo

Yanga Yaipiga Ndanda Bao 1-0

ILIWACHUKUA hadi dakika ya 73 mashabiki wa Yanga kusimama kwenye majukwaa yao na kushangilia kwa nguvu kubwa baada ya Patrick...

READ MORE

Rashford Awachana Kina Martial

MARCUS Rashford ametoa hamasa kwa washambuliaji wenzake wa Manchester United, Anthony Martial na Daniel James kufunga mabao mengi.   United...

READ MORE

Timu Kubwa za Uingereza Zamtaka Samatta

BAO la kichwa alilofunga nahodha wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Mbwana Samatta, dhidi ya Liverpool kwenye mchezo...

READ MORE

Zahera: Nitarudi Tanzania Kwa Ajili ya Simba

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera ameahidi kurejea kufundisha Ligi Kuu Bara kati ya timu kubwa mbili kama...

READ MORE

Yanga Kazi Imeanza, Mkwasa Afanya Mambo

MARA baada ya kumtangaza Charles Boniface Mkwasa kukaimu nafasi ya aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera, Kamati ya...

READ MORE

YANGA Kufumua Kikosi Kusajili 7 Wapya

YANGA haitaki masihara imepanga kufumua kikosi kizima kwa kusajili wachezaji wapya saba kwenye usajili wa dirisha dogo la msimu huu...

READ MORE

Simba Yaionyesha Yanga Pointi 17 Dar

KUNA mtego mkubwa ambao Simba imetegewa leo Alhamisi kwenye Ligi Kuu Bara ambao ikiuruka itawaacha Yanga kwa pointi 17 na...

READ MORE

Mastaa Yanga Wapoteza Sh Mil. 200 Misri

MASTAA wa Yanga wamepoteza takriban Sh Mil. 200 walizoahidiwa na matajiri wa timu hiyo kama wangefanikiwa kuwaondoa wapinzani wao Pyramids...

READ MORE

Tshishimbi Awapiga Biti Zito Simba

NAHODHA wa Yanga, Papy Tshishimbi, raia wa DR Congo, amewapiga biti wapinzani wao Simba kuwa kwa msimu huu watawapokonya ubingwa...

READ MORE

Ajibu Kuisaka Rekodi Mpya Simba SC

ACHANA na rekodi ya Ibrahim Ajibu ambayo aliiweka akiwa na Yanga, kiungo huyo ameweka wazi kuwa anataka kuweka rekodi mpya huku...

READ MORE

Video: Mashabiki Wafurahia Zahera Kufukuzwa – “Kocha Gani Hataki Ushauri”

 Uongozi wa Yanga Novemba 05, 2019 umetangaza kumfuta kazi kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera na benchi zima la...

READ MORE

ZAHERA Atimuliwa Yanga, Mkwasa Atangazwa – Video

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Mshindo Msolla amethibitisha kuwa Klabu hiyo imeachana na Kocha wao Mwinyi Zahera, Pamoja na Benchi...

READ MORE

Yusuph Jackson Akabidhiwa Gari lake na SportPesa

YUSUPH Jacksoni Murimi(29), Mkazi wa Serengeti jana alikabidhiwa rasmi gari yake aina ya Renault Kwid mara baada ya kuibuka mshindi...

READ MORE

Zahera: Molinga, Balinya Hawana Nafasi Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametoa angalizo kwa washambuliaji wake wote akiwemo David Molinga ‘Falcao’ na Juma Balinya kama...

READ MORE

Aussems: Hakuna wa kuzuia ubingwa Simba

simba KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, amefunguka kuwa ana uhakika mkubwa wa timu yake kuweza kutetea ubingwa wake...

READ MORE

Mkude achelewa tena mazoezini

 IJUMAA ya wiki iliyopita kiungo Jonas Mkude alichelewa mazoezi ya timu hiyo yaliyokuwa yakifanyika Viwanja vya Gymkhana, Posta, Dar sasa...

READ MORE

Mo Aongeza Wawili Wapya Simba

KATIKA kuhakikisha wanafanikisha kukamilisha mfumo wa mabadiliko ndani ya klabu ya Simba, Bodi ya Wakurugenzi chini ya Mohammed Dewji ‘Mo’...

READ MORE

Kapombe Atangaza Kustaafu

Beki wa Club ya Simba SC Shomari Kapombe ameamua kutangaza rasmi kuwa ameandika barua ya kustaafu kuichezea timu ya taifa...

READ MORE

Wiki Sita Kabla ya Usajili…Panga Limeanza Yanga SC

KIWANGO cha Yanga hususani kwa mastaa wapya waliosajiliwa kimewatia shaka mashabiki ambao wameshinikiza Kocha Mkuu Mwinyi Zahera aondoke na yafanyike...

READ MORE

Yanga Yatolewa Kombe la Shirikisho Misri

KIKOSI cha Yanga leo kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...

READ MORE

Yanga Yapigwa na Pyramids Bao 3-0 Misri, Aggregate (5 – 1)

KIKOSI cha Yanga leo kimeshindwa kufurukuta mbele ya wapinzani wake Pyramids kwenye mchezo wa marudio wa Kombe la Shirikisho uliochezwa...

READ MORE

Kikosi cha Yanga Leo dhidi ya Waarabu, Kipo Hapa

KIKOSI cha Yanga leo kitakachoanza leo dhidi ya Pyramids FC ya Misri kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho utakaopigwa majira...

READ MORE

Simba Yaishushia Moto Mbeya City, Yaipiga 4G

KIKOSI cha Simba leo kimelipa kisasi cha kupoteza mchezo wake mbele ya Mwadui FC kwa kufungwa bao 1-0 uwanja wa...

READ MORE

ZAHERA Afunguka Usajili wa Timu Yake, Malengo Yake – Video

KATIKA Gazeti la Championi Ijumaa, kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera aliishia kueleza mikakati yake katika mchezo wa marudiano wa Kombe...

READ MORE

Simba Kuwabatiza Kwa Moto Mbeya City leo

UKIACHANA na tambo za Simba kwamba leo wataibatiza Mbeya City kwa moto Dar, takwimu tu zinawapa ushindi. Simba ina hasira...

READ MORE

Balinya Atoa Kauli ya Kushtua Yanga

BAADA ya maneno mengi hatimaye mshambuliaji wa Yanga Mganda, Juma Balinya ameibuka na kusema kuwa hivi sasa yuko fi ti...

READ MORE

Yanga Yatangaza Wakurugenzi Wapya, Dismas Ten Apigwa Chini

MWENYEKITI wa Yanga Mshindo Msolla amesema kuwa wameamua kumuengua Dismas Ten kwenye nafasi ya Kaimu Katbu wa Yanga na kumpa...

READ MORE

Warabu Waiongezea Nguvu Yanga Iwaue…

MABOSI wa Yanga tangu Jumatano usiku wapo Misri walipokwenda kuandaa kambi ya timu hiyo huku wakipata ushirikiano kutoka kwa mashabiki...

READ MORE

Zahera Awabadilishia Fomesheni Waarabu

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaamini kuwa bado timu yake ina nafasi ya kufuzu hatua ya...

READ MORE

Zahera Abakisha saa 24 Yanga

MCHEZO wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Pyramids FC ya nchini Misri umezuia kikao cha Kamati ya...

READ MORE

BEKI SIMBA AOGESHWA MATOPE NA MAYAI – VIDEO

NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili...

READ MORE

Sheva Ampa Ugumu Shiboub, Asogezwa Kwa Bocco

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ameonekana kunogewa na kiungo wake mshambuliaji mpya, Miraji Athumani ‘Sheva’ baada ya kumuhamishia...

READ MORE

Mo Dewji Asimulia Mateso ya Kutekwa

  BAADA ya kupita mwaka mmoja tangu mfanyabiashara bilionea Afrika na muwekezaji wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ kutekwa, kwa mara...

READ MORE

Mabondia Tajiri Zaidi Duniani, Wawa Hapa

ANTHONY JOSHUA anatarajiwa kuongeza mamilioni ya fedha katika akaunti yake ya benki mara baada ya pambano lake dhidi ya Andy...

READ MORE

LIVERPOOL, MAN U Zatinga Robo Fainali CARABAO Kibabe

LIVERPOOL ikiwa nyumbani kwao kwenye Uwanja wa Anfield usiku wa kuamkia leo Alhamisi, licha ya kupanga ‘vitoto’ vingi katika kikosi...

READ MORE

Jero Yampa Mtu Gari Mpya ya SportPesa – Video

SPORTPESA kwa kushirikiana na mtandao wa Tigo wamemaliza rasmi promosheni yao ya Faidika na Jero kwa kuchezesha droo ya wiki...

READ MORE

Man United Yaitungua Chelsea

MARCUS Rashford, mshambuliaji wa Manchestr United amefunga mabao mawili muhimu yalioivusha timu yake kwenye hatua ya Robo Fainali ya Carabao...

READ MORE

Simba Yapigwa na Mwadui 1-0

KLABU ya Simba leo imeonja machungu ya kupoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu wa 2018-19 baada...

READ MORE

Wazee wa Kubeti Huwaambii Kitu kwa Betika

MAPEMA leo Jumatano, Oktoba 30, 2019, timu ya maofisa masoko ya Global Publishers imetembelea maeneo ya Kinondoni Manyanya, Jangwani na...

READ MORE