×

Michezo

Ninja Apata Dili Ulaya, Asaini

WAKATI uongozi wa Klabu ya Yanga ukiendelea kumpigia simu beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ inaelezwa tayari mlinzi huyo...

READ MORE

Julio: Simba SC Wamefanya Makosa Kumuacha Kotei

BAADA ya juzi Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika...

READ MORE

TP Mazembe Yakumbushia Dili la Ajibu

AJIBBAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji...

READ MORE

Salim Aiyee atua KMC Akitokea Mwadui FC

TIMU ya KMC ya jijini Dar, imemsajili Salim Aiyee kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Mwadui FC ya mkoani Shinyanga....

READ MORE

Kigogo Simba Afungukia Hatima ya Okwi, Juuko

WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha...

READ MORE

Mwambusi Arudi Mbeya City, Asaini Mwaka

KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo...

READ MORE

RC Makonda Amuomba Radhi JPM – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, RC Paul Makonda amemuomba radhi Radhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

READ MORE

Mwenyekiti wa Yanga Atoa Siku Nne Kwa Wauza Jezi feki

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Dk Mshindo Msolla amewataka wauzaji wa jezi wanauza jezi zao bila kibali maalumu kuacha kutumia...

READ MORE

AC MILAN YAFUNGIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA

KLABU ya soka ya AC Milan ya Italia yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro, itatumikia kifungo cha mwaka...

READ MORE

SIMBA YASAJILI MBRAZIL WA TATU

BEKI Tairone Santos da Silva  (30) amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba. Santos Amejiunga na Simba akitokea timu...

READ MORE

Rasmi Haruna Niyonzima aaga Simba

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amewaaga mashabiki wa timu hiyo na kuwashukuru kwa yote waliyoshirikiana kwa kipindi cha...

READ MORE

Bongo Fleva yataja kikosi cha kuimaliza Global FC

TIMU ya wasanii wa Bongo Fleva imeweka hadharani listi ya wasanii wao ambao itawashusha uwanjani leo Ijumaa katika mechi ya...

READ MORE

BENKI YA AZANIA YAJA NA AMSHA NDOTO

Benki ya Azania hivi karibuni imetangaza neema kwa wateja wake kwa kuwaanzishia huduma kampeni ya Amsha Ndoto ambayo itawaingiza kwenye...

READ MORE

Simba SC Yafuata Kiungo Matata Ureno

BAADA ya kukamilisha usajili wa Wabrazil wawili, mabosi wa Simba wamepanga kushusha kiungo kutoka nchini Ureno atakayekuja kusaini mkataba wa...

READ MORE

Mastaa Yanga SC Waanza Kutua Airport

WACHEZAJI wapya wa Yanga na wale wa zamani wanatarajia kuanza kuingia nchini wiki hii kwa ajili ya kujiandaa na kambi...

READ MORE

DAAH! STARS NDIYO HIVYO BANA AFCON 2019, TANZANIA 2-3 KENYA

MCHEZOvwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya uliochezwa jana usiku, umemalizika kwa Kenya kuibuka na ushindi...

READ MORE

TBL YAUNGANA NA WATANZANIA KWA KUWASHUSHIA FRIJI YA USHINDI

WATANZANIA  wameangalia mchezo wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya Kenya uliochezwa jana usiku Juni 27, 2019,...

READ MORE

Bosi Yanga Akwea Pipa Kuchukua Mashine AFCON

TARAJIA kuiona Yanga bab kubwa kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, ni baada ya jana jioni bosi mpya wa...

READ MORE

Yanga Kusaini Kifaa Kingine Afcon

JINA la mshambuliaji Rashid Mandawa lipo kwenye orodha ya mastaa wanaotakiwa pale Yanga.   Kama ulikuwa unajua kuwa Yanga wamemaliza...

READ MORE

Ettiene Amuongezea Chirwa Majembe 4

KOCHA Mkuu wa timu ya Azam, Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi amepanga kukiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi...

READ MORE

Niyonzima Aaga Rasmi Simba Sc

Kiungo Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amewaaga mashabiki wa klabu ya Simba kwa muda wote waliokuwa nae akiwa na timu hiyo na...

READ MORE

MAN U YANASA BONGE LA BEKI

MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki...

READ MORE

MAYANJA KUIBEBA KMC KAGAME

UONGOZI wa timu ya KMC, jana ulimtambulisha Mganda, Jackson Mayanja kuwa ndiye kocha wao mkuu ambaye ataanza kazi kwenye michuano...

READ MORE

Lazima Wakenya Wakae Leo!

starsWAKATI leo Alhamisi kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kikishuka kwenye mechi yake ya pili ya Kombe...

READ MORE

BREAKING: KAPOMBE AONGEZA MIAKA MIWILI SIMBA

Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo. Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina...

READ MORE

Lukaku Anaondoka Zake Manchester United

ROMELU Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, kwa mujibu wa wakala wake. Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana...

READ MORE

Chama Aongeza Mkataba Mpya Simba SC

MFUNGAJI wa mabao ya mwisho yaliyoipeleka hatua ya makundi na Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika timu ya Simba...

READ MORE

Caf Wamaliza Usajili Fasta Yanga

MABOSI wa Yanga wapo kwenye dakika za mwisho za kukamilisha usajili wao wa msimu ujao kwa ajili ya kuwahi dirisha...

READ MORE

Mbelijiji wa Simba Aleta Kiboko ya Tshabalala, Kwasi

BAADA ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Simba, uongozi wa timu hiyo umepanga kusajili beki mwingine...

READ MORE

Mbrazil Aliyetua Simba ni Balaa!

MASHABIKI wa Simba wanatamba baada ya usajili wa mshambuliaji Mbrazili, Wilker Henrique da Silva ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili...

READ MORE

Gadiel: Tutakufa na Kenya

BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa...

READ MORE

Simba yashusha Wabrazili Watano

SIMBA haitanii aisee! Ni baada ya jana kumsajili Mbrazili mwingine, Gerson Fraga Vieira, 26, kiraka anayecheza nafasi ya beki wa...

READ MORE

Baada ya Kutua Mazembe, Ambokile Aanza Nyodo

MARA baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu ya kuichezea TP Mazembe, mshambuliaji Mtanzania, Eliud Ambokile amefunguka kuwa hiyo ni...

READ MORE

Yanga Itatisha Afrika Nzima

ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina...

READ MORE

Zidane Kurudisha Samba Real Madrid

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amepania kuona timu yake ikicheza soka la kuvutia la pasi aina ya samba ambalo...

READ MORE

Chelsea Yazigomea Barca na Atletico

CHELSEA inadaiwa imezigomea Barcelona na Atletico Madrid zinazomgombea winga wake, Willian. Klabu hiyo inaaminika kuwa imekataa kumwachia winga huyo baada...

READ MORE

Namungo Yasajili Straika wa Vital’O

UONGOZI wa Namungo FC, juzi usiku ulikamilisha usajili wa mshambuliaji wa Vital’O ya Burundi, Jerome Sina na kiungo wa Bugesera...

READ MORE

BREAKING: KOTEI WA SIMBA ASAJILIWA KAIZER CHIEFS YA SAUZI

KLABU ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini inayoshiriki katika Ligi Kuu nchi hiyo imethibitisha kupitia akaunti yake ya Twitter...

READ MORE

Tambwe Awaonya Simba kwa JembeJipya la Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji...

READ MORE