ABDULAZIZ Makame leo ametimiza majukumu yake ndani ya uwanja kwa kufunga bao pekee la ushindi uwanja wa Uhuru mbele ya...
READ MORETURIN, Italia: CRISTIANO Ronaldo ambaye ni mshindi mara tano wa Tuzo ya Ballon d’Or, wiki hii ameweka rekodi kadhaa ndani ya...
READ MORESIMBA! Simba! Itamke mara mbili kama ambavyo imechukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara mara mbili mfululizo. Hawa jamaa wanaonekana kweli...
READ MOREIBRAHIM Ajibu, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kutoa sapoti ya kutosha kwani kazi ndiyo kwanza imeanza....
READ MOREMWINYI Zahera, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa mshambuliaji wake, David Molinga bado hajaanza kazi na kwamba ana vitu vingi...
READ MOREMARA baada ya kutoka sare ya mabao 3-3 na Polisi Tanzani, fasta uongozi wa Yanga, juzi usiku ulikutana kujadili mwenendo...
READ MOREWACHEZAJI wa Yanga wakiongozwa na beki mkongwe, Kelvin Yondani, juzi walijikuta wakimwaga machozi kwenye vyumba vya kubadilishia nguo. Tukio hilo...
READ MORENgorongoro Heroes leo Oktoba 10, 2019 imetwaa taji la CECAFA chini ya miaka 20 kwa kuibuka na ushindi wa bao...
READ MOREBONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Issa Nampepeche amefanikiwa kumchapa Ally Hamisi wa Morogoro kwa pointi katika pambano la usiku...
READ MOREHALI ya mambo huenda isiwe poa tena kwa kiungo mkabaji wa Simba, Jonas Mkode kutokana na tukio analodaiwa kulifanya hivi...
READ MOREBAADA ya kulazimishwa suluhu dhidi ya Napoli ya Italia kwenye uwanja wao wa nyumbani, nahodha wa KRC Genk na Taifa...
READ MOREYANGA ni kama wanamletea ubishi mwekezaji wa Simba, bilionea, Mohamed Dewji ‘Mo’, hiyo ni baada ya kutangaza miezi minne sawa...
READ MOREKOCHA wa timu ya Simba Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi...
READ MOREJOSE Mourinho ametajwa kuwa ni mmoja wa wanaopewa nafasi ya kuchukua mikoba ya Mauricio Pochettino katika kuinoa Tottenham. Pochettino...
READ MOREKITENDO cha Real Madrid kupata sare tena ya kuitafuta kwa ‘tochi’ dhidi ya Club Brugge ya Ubelgiji katika Ligi ya...
READ MOREYanga imelazimishwa sare ya mabao 3-3 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa Uwanja wa Uhuru...
READ MORESTRAIKA wa mwisho kusajiliwa na Yanga, David Molinga ameapa kumtoa nishai, Seleman Matola wa Polisi Tanzania ambaye, hajawahi kuifunga Yanga...
READ MOREKIUNGO mkabaji kipenzi cha Simba, Jonas Mkude huenda akakutana na adhabu ya kukatwa mshahara pamoja na bonasi zake. Hiyo ikiwa...
READ MOREKUFUATIA kusuasua kwa timu yao, uongozi wa Manchester United umeandaa mipango kabambe ya kusuka upya kikosi chao. Klabu hiyo ipo...
READ MOREKOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane amesisitiza kuwa staa mpya wa kikosi hicho, Eden Hazard atakuwa bora kwani hata yeye...
READ MOREGWIJI wa soka, Roy Keane, ameponda kuwa hakuna timu yoyote kati ya Manchester United na Arsenal inayostahili kuingia ndani ya...
READ MORE Timu Yanga imesema kuwa kesho itamkosa Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera kwa kuanza kutumikia adhabu ya kukosa mechi tatu hivyo...
READ MOREMENEJA Masoko wa Kampuni ya Star Media (T) Limited, David Malisa ameweka bayana kuwa kwenye Chaneli zao za michezo zilizopo...
READ MOREBOSI mkuu wa benchi la ufundi la Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems amewaambia viungo wake wawili Ibrahim Ajibu na Said Ndemla...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Yanga, Mganda, Juma Balinya, ni kama ametupa dongo kwa mashabiki wa Simba baada ya kufunguka kuwa wao bado...
READ MORELICHA ya kuiondoa timu yake ya zamani ya Yanga, Kocha Mkuu wa Zesco United ya Zambia, George Lwandamina, amekiri kiwango...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amesema kuwa lawama zote anazibeba yeye huku akiitaja sababu ya kipigo cha mabao...
READ MOREYANGA MJIPANGE! Ndiyo kauli aliyoanza nayo Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kuwa kwa sasa anaelekeza nguvu zake kusaka pointi...
READ MORETIMU ya Yanga kama ingefanikiwa kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika juzi Jumamosi ingejinyakulia dola 550,000 (zaidi...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji, ametamba safari hii haachi pointi kwa timu yoyote ile atakayocheza nayo...
READ MORETAJIRI wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ amewathibitishia mashabiki wa klabu hiyo kwamba mwezi ujao viwanja vya nyasi bandia na asilia...
READ MOREBAO la kujifunga la kiungo wa Yanga, Abdulaziz Makame limewaondoa Yanga katika Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha mabao...
READ MORETIMU tajiri zaidi kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Azam FC juzi Jumamosi jioni ilishindwa kusonga mbele kwenye Kombe...
READ MOREKENEDDY Juma, beki kisiki wa Simba maarufu kama mwili jumba amesema kuwa bado Simba ina nafasi ya kutetea kombe lao...
READ MOREWAKABET inatoa huduma ya michezo ya betting/kuweka dau ambayo inashughulikia ligi zote kubwa za mipira kuhakikisha upatikanaji wa aina mbalimbali...
READ MORESIMBA wana mbwembwe sana. Baada ya timu yao kutua mjini Musoma jana wakasisitiza kwamba leo Biashara wanapigwa bao nne. Wanadai...
READ MOREFULL TIME: Dak ya 90+4, Zesco wanacheza kwa akili ya kumaliza dakika zilizoongezwa. Dak ya 90, Moro anapewa kadi nyekundu...
READ MORECHIRWAKOCHA Mkuu wa Azam FC, Etienne Ndayiragije amemtaka mshambuliaji wake, Obrey Chirwa, kuhakikisha anafunga mabao mawili katika mchezo wao wa...
READ MOREYANGA imezidi kuitangaza timu yao kimataifa, ni baada ya ndani ya siku nne kufanikiwa kuandika rekodi nzuri ya mauzo ya...
READ MORE