×

Michezo

Kiungo Mghana mguu mmoja Yanga

WAKATI Nicholas Gyan akitajwa kwenda Yanga, meneja wa mchezaji huyo, Juma Ndambile ameweka wazi juu uwezekano wa mchezaji huyo kujiunga...

READ MORE

Ngassa aondolewa Yanga SC

  KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa juzi alfajiri aliondolewa kambini baada ya kuugua ghafl a malaria. Ngassa aliondolewa kwenye...

READ MORE

Dilunga: Sevilla watanipeleka Ulaya

KIUNGO wa Simba, Hassan Dilunga amesema ujio wa klabu ya Sevilla hapa nchini utatimiza ndoto yake ya kwenda Ulaya kucheza...

READ MORE

Kocha wa Liverpool Atoa Hongera Kwa Guardiola

KOCHA wa Liverpool, Jurgen Klopp, amesema kuwa hakika Manchester City walikuwa na msimu mzuri ndiyo maana wametwaa ubingwa wa Ligi...

READ MORE

KUMEKUCHA YANGA, VIGOGO WAWILI WAONGEZWA – VIDEO

BAADA ya Yanga kupata uongozi mpya ambao upo chini ya Mwenyekiti, Mshindo Msolla na Makamu wake Frederick Mwakalebela wameongeza nguvu...

READ MORE

Ligi ya Wanawake inahitaji maboresho zaidi

TUMESHUHUDIA ushindani mkubwa msimu huu kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania ambayo inadhaminiwa na Bia ya Serengeti Lite ambapo timu...

READ MORE

Okwi azipigia hesabu kali pointi 15 Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mganda Emmanuel Okwi ametoa tambo kwa wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kwenye mechi tano zilizobakia watapambana kuchukua...

READ MORE

Tujifunze wenzetu wanavyoendesha ligi zao

Msimu huu ambao unakamilika Mei 28 ni wakati sahihi wa kujifunza namna wenzetu wanavyoendesha ratiba zao Kwa mafanikio bila kuwa...

READ MORE

KOCHA ZAHERA Awahoji Waandishi, Awauliza Kuhusu SIMBA! -Video

 KIKOSI cha Yanga Mei 14, 2019 kimeibuka na ushindi wa 1-0 lililofungwa na Tshishimbi katika kipindi cha kwanza na...

READ MORE

Kagere ataka mabao 30 Simba

BAADA ya kufunga mabao 20 mpaka sasa kwenye Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa mabao hayo...

READ MORE

Man City yatenga bilioni 500 za usajili

WAKATI kukiwa na furaha kwenye kikosi cha Manchester City kocha wa timu hiyo Pep Guardiola, amesema kuwa anataka kutengeneza kikosi...

READ MORE

HAZARD, REAL MADRID MAMBO SAFI

REAL Madrid sasa wana uhakika kwamba Eden Hazard atasaini mkataba klabuni hapo mapema kabisa kabla ya kuanza kwa maandalizi ya...

READ MORE

Simba washusha Majembe Mapya

MABOSI wa Simba kwa msimu ujao hawataki mchezo kwani wamedhamiria kukisuka hasa kikosi chao kiwe cha ushindani na kwa kuanza...

READ MORE

Msolla: Waacheni Wachonge

MWENYEKITI mpya wa Yanga, Dk Mshindo Msolla, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo akisema: “Waacheni wapinzani wetu wachonge, lakini msimu...

READ MORE

SIKU CHACHE BAADA YA UCHAGUZI…BILIONEA MPYA AIBUKA YANGA

BILIONEA maarufu hapa nchini, Rostam Azizi imeelezwa kuwa amekusudia kuisaidia Yanga kwa kuipa misaada ya kifedha pale inapowezekana.   Hii...

READ MORE

Singida Yamruhusu Mkata Umeme Wao Kutua Yanga

RASMI Klabu ya Singida United, kupitia kwa mkurugenzi wake Festo Sanga, imesema ipo tayari kumuachia kiungo wao Kenny Ally atue...

READ MORE

Sikia Zahera Alichowaambia TFF

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kamwe hatanyamaza kulikosoa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) pale makosa yanapofanyika.  ...

READ MORE

Mabao ya Okwi, Kagere yana siri kubwa

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amesema kuwa mabao wanayoendelea kufunga washambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi na Mnyarwanda, Meddie Kagere...

READ MORE

Msolla Aanza na Winga wa Mbeya City

MUDA wowote Yanga ya Mshindo Msolla huenda wakamalizana na winga wa Mbeya City, Iddi Selemani kwani anawasikilizia wao tu.  ...

READ MORE

Matola aibuka usajili Yanga

KOCHA msaidizi wa Lipuli FC ya Iringa, Selemani Matola amekiangalia kikosi cha Yanga na kutamka kuwa ni lazima wasajili washambuliaji,...

READ MORE

Mtibwa kuibeba Yanga mechi za Simba SC

KAMA Mtibwa walichopania kuifanyia Simba wakikifanikisha kwenye mechi zao mbili, wataibeba Yanga kwenye mbio za ubingwa bila kujijua. Akizungumza na...

READ MORE

MAFURIKO DAR! Hali Ilivyo JANGWANI – VIDEO

MVUA zinazoendelea kunyesha katika jiji la Dar es Salaam, zimesababisha madhara makubwa ikiwemo kuharibu mawasiliano katika maeneo ya Jangwani ambapo...

READ MORE

Aubameyang Afananishwa na Henry

BEKI wa zamani wa Arsenal, Martin Keown amemfananisha Pierre-Emerick Aubameyang na nyota wa zamani wa kifaransa, Thierry Henry.   Aubameyang...

READ MORE

Yanga Mpya Wapiga Dili Kazi Wanayo

SIKU chache baada ya uongozi mpya wa Klabu ya Yanga kuingia madarakani na kuanza mikakati ya kukisuka upya kikosi cha...

READ MORE

Msolla, Mwakalebela Waanza na Neema Yanga

NEEMA imeanza! Hivyo ndivyo utakavyoweza kusema ni baada ya uongozi wa mpya wa Klabu ya Yanga kupata udhamini wa kwanza...

READ MORE

Mbelgiji azuia usajili wa Ndemla Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems amepanga kuwaboreshea mikataba baadhi ya wachezaji wake wazawa kwa sharti awe amecheza nusu...

READ MORE

Mastaa 13 wanaotemwa Yanga Hawa Hapa!

KAMA wewe ni mchezaji mzawa na unataka kusaini Yanga, usiote ndoto za milioni 50 wala milioni 100 utakuwa unajisumbua. Dau...

READ MORE

MANCHESTER CITY WABABE EPL, WABEBA KOMBE, WAIKALISHA LIVERPOOL

USHINDI wa mabao 4-1 dhidi ya Brighton leo uwanja wa Amex umetosha kuwarejeshea ubingwa wao msimu huu baada ya kufikisha...

READ MORE

Tshabalala Awaomba Radhi Simba

  BEKI mwenye mapenzi na Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kwa bao la kujifunga katika...

READ MORE

Meddie Kagere aendelea kutikisa CAF

STRAIKA wa Simba, Mnyar-wanda, Meddie Kagere bado anaendelea kushirikilia rekodi ya kuwa mchezaji mwenye mabao mengi zaidi kutoka ukanda wa...

READ MORE

Simba SC kufanya sapraizi ya Mzungu Dar

SIMBA wamejiridhisha kwamba Patrick Aussems ni bonge la kocha na watampa mkataba wa sapraizi punde.   Awali kulikuwa na mvutano...

READ MORE

Yanga inatia huruma Yapigwa na Biashara United bao 1-0

HADI dakika 90 zinamalizika, wachezaji wa Yanga walitoka uwanjani wakiwa hawaamini kitu kufuatia kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Biashara...

READ MORE

Niyonzima aandaliwa mkataba mpya Simba

UONGOZI wa Simba umeanza mazungumzo na kiungo wake mchezeshaji Mnyarwanda, Haruna Niyonzima kwa ajili ya kumuongezea mkataba mpya wa kuendelea...

READ MORE

Tambwe Ampa Tuzo Kagere

KASI aliyonayo mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere katika utupiaji mabao umemfanya straika wa Yanga, Amissi Tambwe aseme kuwa ndiye atakuwa...

READ MORE

Simba Yaomba Kukabidhiwa Kombe Mei 23

SIMBA inafahamu kuwa Sevilla ni klabu kubwa duniani na itacheza nayo Mei 23, mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar hivyo...

READ MORE

Fei Toto Aletewa Jembe Jipya Yanga SC

YANGA msimu ujao haitaki utani ndiyo maana imeanza kufanya usajili wa kimyakimya kwa wachezaji kadhaa na sasa imefanya mazungumzo ya...

READ MORE

Aussems: Nashusha Majembe Mapya

WAKATI Simba ikiendelea kupambana kutetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo, Patrick Aussems amefunguka kuwa atahakikisha...

READ MORE

BUKU TANO KUITAZAMA SIMBA IKIKIPA NA SEVILA TAIFA DAR -VIDEO

Shirikisho la soka nchini, TFF, limetangaza bei za viingilio kwa mchezo wa kimataifa utakaowakutanisha mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC...

READ MORE

David Bekham Apigwa Marufuku Kuendesha Gari

  MWANASOKA maarufu wa zamani wa Uingereza, David Beckham,  amepigwa marufuku kuendesha gari kwa miezi sita baada ya kupatikana akitumia...

READ MORE

Simba Yamuachia Beki Atue Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa beki wa kati, Salim Mbonde ni mchezaji huru tangu msimu uliopita kutokana na kuondolewa kwenye orodha ya wachezaji...

READ MORE