×

Michezo

Simba Yaweka Rekodi Mpya Ligi Kuu

SIMBA, juzi ilifanikiwa kuweka rekodi mpya katika Ligi Kuu Bara baada ya ushindi dhidi ya Coastal Union ya Tanga na...

READ MORE

Ajibu awekwa kando Yanga, aachwa Dar

YANGA, leo Ijumaa itakuwa mkoani Mara kwa ajili ya kusaka pointi tatu ili kukimbizana na Simba kileleni mwa msimamo wa...

READ MORE

WAINGEREZA WAMEAMUA…ARSENAL vs CHELSEA FAINALI EUROPA

BAADA ya kuona njia ya kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kupitia Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ ikiwa ngumu,...

READ MORE

Yondani afichua usajili mpya Yanga

BEKI mkongwe wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani amesema kuwa kikosi hicho kinahitaji mastraika, mabeki wa kati na kipa imara....

READ MORE

TFF yaitenga Yanga sc ishu ya Kakolanya

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania, limeitaka Yanga kutoa uamuzi juu la hatma ya aliyekuwa kipa wa timu hiyo Beno Kakolanya...

READ MORE

Viongozi wapya Yanga waungwe mkono

JUMAPILI iliyopita, Klabu ya Yanga ilifanya uchaguzi mkuu kwa kuchagua viongozi wapya ambao wataiongoza klabu hiyo kwa kipindi cha miaka...

READ MORE

Bocco, Aussems wabeba tena tuzo za ubora

NAHODHA wa Simba, John Bocco, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu Tanzania Bara (TPL) msimu wa...

READ MORE

Tottenham Yaishangaza Ajax, Yatinga Fainali Uefa (Picha +Video)

LIVERPOOL itakabiliana na Tottenham Hotspur kwenye mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya itakayopigwa Juni 1, mwaka huu katika...

READ MORE

Mwakalebela: Nitasajiri kikosi cha heshima

UCHAGUZI Mkuu wa Yanga umemalizika usiku wa kuamkia juzi Jumatatu kwa wagombea waliokuwa wakiwania nafasi mbalimbali za uongozi ikiwemo ya...

READ MORE

SIMBA YAIHARIBU VIBAYA COASTAL, BAO 8-1 ZAIPELEKA KILELENI

KLABU ya Simba imetinga kileleni mwa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuipiga kipigo hevi cha bao 8-1, timu...

READ MORE

Coastal Union kuikazia Simba leo

KOCHA wa Coastal Union, Juma Mgunda amesema kuwa wamejipanga kupata matokeo chanya kwenye mchezo wao wa leo dhidi ya Simba...

READ MORE

Kumbe dharau za Zahera ziliiponza Yanga

KOCHA Msaidizi wa Lipuli FC, Selemani Matola, amesema dharau za Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ndiyo sababu kubwa ya...

READ MORE

Mvua yaitibulia Simba Dar

  WAKATI Simba ikielekea hatua zake za mwisho kusaka ubingwa wa Ligi Kuu Bara jana ilishindwa kufanya mazoezi kama ilivyojipanga...

READ MORE

LIVERPOOL YAIPIGA BARCA KINYAMA, YAITUPA NJE UEFA (PICHA +VIDEO)

LIVERPOOL wameonyesha kuwa wao ni wanaume wa shoka baada ya jana kuichapa Barcelona mabao 4-0 na kutinga hatua ya fainali...

READ MORE

Mshahara wa Tuyisenge kufuru Yanga sc

STRAIKA namba moja wa Gor Mahia ya Kenya, Jacques Tuyisenge analipwa Sh.Mil 5.7 ndani ya Gor Mahia lakini anataka Yanga...

READ MORE

UBELGIJI: SAMATTA ATWAA TUZO YA MCHEZAJI BORA

Nahodha wa Taifa Stars, anayecheza katika Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa...

READ MORE

LIPULI YAIPIGA YANGA 2-0, YATINGA FAINALI

KLABU ya Lipuli imeiondoa Timu ya Yanga kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuipa kipigo cha...

READ MORE

Simba Queens yalipa kisasi kwa Baobab

TIMU ya Simba Queens imeendelea kuonyesha ubabe kwenye Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite, baada ya kuiadhibu timu ya...

READ MORE

Zahera: Tunawalipua Lipuli na Tunachukua Kombe

Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongo mani, Mwinyi Zahera amesema kuwa ni lazima wawafunge wapinzani wao Lipuli FC watinge fainali na...

READ MORE

Lipuli FC wapewa Sh mil 15 waifunge Yanga

KATIKA kuongeza morali ya wachezaji ili wawafunge wapinzani wao Yanga, uongozi wa Lipuli FC umewaahidi wachezaji wao shilingi milioni 15...

READ MORE

COULIBALY AMWAGA MACHOZI, AUGOMEA MKONO WA AUSSEMS

BEKI wa Simba, Zana Coulibaly raia wa Ivory Coast, jana alimwaga machozi wakati akitoka baada ya kufanyiwa mabadiliko dakika ya...

READ MORE

Polepole Atinga Yanga, Atoa Milioni Moja

WAKATI jana Yanga wakifanya uchaguzi wao wa kuwachagua viongozi wapya wa klabu hiyo, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama...

READ MORE

Kisa Manji, Waziri ‘Ashambuliwa’

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika, ameweka wazi kwamba kabla ya kufanyika...

READ MORE

BREAKING NEWS: DKT. MSOLLA MWENYEKITI MPYA YANGA SC

Klabu ya Yanga imemchagua Dkt. Mshindo Msolla kuwa mwenyekiti wake huku Fredrick Mwakalebela akishinda katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Katika...

READ MORE

YANGA KUANDIKA HISTORIA MPYA LEO, ZOEZI LA UCHAGUZI LAPAMBA MOTO

YANGA Leo Mei 5 wanaandika historia mpya kwa kuchagua viongozi wapya ambao wataiongoza timu hiyo kwa muda wa miaka minne....

READ MORE

Igangula Ajitoa kugombea nafasi Mwenyekiti Yanga

ALIYEKUWA mgombea wa nafasi ya unyekiti katika klabu ya Yanga Mbaraka Igangula amejitoa kugombea nafasi hiyo kwenye uchaguzi wa leo...

READ MORE

Zahera ataka rekodi ya dakika 360 Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa anataka kumaliza ligi kwa kuhakikisha anashinda mechi zake nne za mwisho ambazo...

READ MORE

Dakika 810 Kagere kushangaza

  Simba imebakiwa na mechi tisa za Ligi Kuu Bara mshambuliaji wa , Meddie Kagere, ana dakika 810 pekee za...

READ MORE

Manara amvaa Zahera Mbeya

OFISA habari wa Simba Haji Manara, amepangua shutuma za klabu hiyo kutumia fedha na kupendelewa ili ipate matokeo uwanjani. Manara...

READ MORE

Simba: Tunataka kuwa mabingwa mapema

UONGOZI wa Simba umefunguka kuwa, malengo yao ni kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara wakiwa bado na mechi mkononi na...

READ MORE

Mbappe: Sikulala nilivyoitwa Taifa Stars

MSHAMBULIAJI nyota wa Serengeti Boys, Kelvin John (Mbappe), amesema hakulala kabisa siku aliyoitwa kwenye kikosi cha Taifa Stars, kutokana na...

READ MORE

Wanaopiga Kura Yanga Ndiyo Watalia Jukwaani

  JAMBO pekee ambalo linasubiriwa kwa hamu kubwa zaidi kwa sasa kwenye soka ni uchaguzi wa Yanga ambao utafanyika kesho...

READ MORE

Mtoto wa Sheikh Yahya aahidi makubwa Yanga

MTOTO wa marehemu Sheikh Yahya Hussein, Maalim Hassan Yahya Hussein ambaye anawania nafasi ya Ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya...

READ MORE

Simba Ilivyowashangaza Mbeya City Uwanja wa Sokoine (Picha +Video)

SIMBA hii unapokutana nayo ni lazima ujiandae kulia, yaani unapigwa unachakaa, maana moto wake si wa kitoto. Jana Wekundu hao...

READ MORE

Mkurugenzi Manchester United Huyu Hapa

KLABU ya Manchester United ipo katika mchakato wa kutengeneza mfumo mpya wa uongozi ndani ya klabu hiyo hasa kwenye masuala...

READ MORE

Zahera Anasa Mbadala wa Simon Msuva

YANGA hawana raha tangu auzwe winga wao matata, Simon Msuva kwa klabu ya Difaa el Jadida ya Morocco. Lakini sasa...

READ MORE

Kiungo Simba: Yanga wamenasa Jembe

SIKU chache baada ya kudaiwa kuwa Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera anatarajiwa kumchukua kiungo mshambuliaji wa timu ya Kariobang...

READ MORE

Wamwagiwa minoti kuimaliza Yanga SC

LIPULI FC ya mkoani Iringa imejipanga kisawasawa kuhakikisha inawatuliza wapinzani wao, Yanga watakaokutana nao Mei 6, mwaka huu katika mchezo...

READ MORE

Yanga amueni kwa watu makini katika uchaguzi

  KLABU ya Yanga inatarajiwa kufanya uchaguzi mkuu wake wa viongozi keshokutwa Jumapili. Huu ni wakati wa Yanga kufanya maamuzi...

READ MORE