×

Michezo

Mshindi wa M-Bet: Nawapeleka wanangu shule za kimataifa

MSHINDI wa milioni 123 za Perfect 12 ya M-Bet, Willy Wadson ametamba kwamba fedha hiyo aliyoshinda anaenda kuanzisha biashara yake...

READ MORE

Mshindi wa M-Bet atia ubani mechi ya Simba

  Dar es Salaam. Shabiki wa Simba na mkazi wa mkoa wa Songwe, Willy Mwakapembe Wadson ameshinda Sh 123,614,160 baada...

READ MORE

Kesi Ya Wambura Yapigwa Kalenda

KESI inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura imeahirishwa kutokana na upelelezi kutokamilika.  ...

READ MORE

Mzungu afanya kikao na Okwi, Nyoni

WAKIREJEA uwanjani na kuanza mazoezi tangu watoke kwenye majeraha, Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, juzi alifanya kikao na...

READ MORE

Zahera Amtema Ajibu Dakika Za Mwisho Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongoman, Mwinyi Zahera amemuondoa dakika za mwisho nahodha na kiungo wake mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu...

READ MORE

Simba Yapiga Mtu Saba Dar

KWENYE Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite kuna mbwembwe kwelikweli. Unaambiwa jana Simba Queens imempiga mtu 7-0. Ni  wale Evergreen...

READ MORE

Wachezaji Waapa, Okwi Arejea

WACHEZAJI wa Simba, Haruna Niyonzima na Erasto Nyoni wamesema Jumamosi ni kufa au kupona dhidi ya AS Vita. Lakini habari...

READ MORE

Mkataba Wa Ajibu Wazuiwa Yanga

HATA atupie mabao matamu kiasi gani, mkataba wa nahodha wa Yanga, Ibrahim Ajibu hautaguswa wala kuongezwa mpaka msimu umalizike.  ...

READ MORE

HII NDO ‘PITCH HATARI’ YA SOKA ITAKAYOJENGWA DODOMA

Rais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo...

READ MORE

Ajibu amtumia ujumbe kocha Stars

IKIWA zimebaki siku tisa kabla Taifa Stars haijacheza na Uganda kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa...

READ MORE

Beki KMC aliyeipa Yanga mabao matatu, afunguka

BEKI wa kati wa KMC, Ally Ally amefunguka kuwa haikuwa makusudi kujifunga katika mpira wa krosi uliopigwa na mshambuliaji wa...

READ MORE

Yanga Yaweka Rekodi Mpya

YANGA imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuvunja rekodi yake ya mabao 44, ambayo walifunga...

READ MORE

Yanga waenda kuutema ubingwa Kirumba

YANGA wamemaliza mechi zao za Dar es Salaam na sasa wamehama makazi yao na kuelekea mkoani Mwanza katika Uwanja wa...

READ MORE

Tuishangilie Simba kwa faida ya nchi

JUMAMOSI timu ya Simba itakuwa uwanjani kuvaana na AS Vita kwenye mchezo mgumu wa kufuzu robo fainali ya Ligi ya...

READ MORE

Zahera ambadilishia majukumu Tshishimbi

KATIKA kukiimarisha kikosi chake, Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amembadilishia majukumu kiungo wake Papy Tshishimbi. Kiungo huyo alirejea...

READ MORE

‘BETIKA’ LAWAPAGAWISHA WAZEE WA KUBETI TABATA DAR

NI wiki ya tano sasa imetimia tangu Gazeti la Betika liingie mtaani ambapo safari hii wazee wa kubeti katika mitaa...

READ MORE

Kagere wa Bil 1 Atikisa Afrika

KUNA uwezekano mkubwa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere akaibuka mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu ambao Simba...

READ MORE

Waziri atembeza bakuli Yanga, apata milioni

NAIBU Waziri, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde, ambaye ni mwanachama wa Yanga, juzi aliunga mkono kampeni...

READ MORE

Mbelgiji awaondoa hofu Simba, aahidi kipigo AS Vita

AKITUA kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jana, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems ametamba kuwa...

READ MORE

Matola Ataja Watakaoiua Yanga Jumamosi

KUREJEA kwa wachezaji wanne wa Lipuli waliokuwa majeruhi ni ishara kwamba Yanga wanalala Jumamosi kwa mujibu wa Kocha wa timu...

READ MORE

Azam FC yaingia vitani na Yanga kugombea kombe

UONGOZI wa Azam FC umeweka mikakati thabiti kuhakikisha inachukua Kombe la FA msimu huu ili kuweka rekodi ya kulichukua kwa...

READ MORE

RAUNDI YA PILI LIGI YA WANAWAKE TUTAONA MENGI

  MZUNGUKO wa pili wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti Lite, umeanza wikiendi iliyopita....

READ MORE

RONALDO NI HABARI NYINGINE, AISAMBARATISHA ATLETICO KWA HAT-TRICK

DUNIA nzima inatambua ubora wa mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo na hakuna ambaye alishangaa kwa kile alichofanya usiku wa kuamkia...

READ MORE

Simba Watambue Mapema Kwamba Wana Vita Dhidi ya Vita

BAADA ya Simba kupata kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya JS Saoura kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ugenini...

READ MORE

Zahera Ataja Chanzo cha Ajibu Kukaa Benchi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameweka wazi kwamba hakuna tatizo lolote kumuweka benchi nyota wake Ibrahim Ajibu kutokana na...

READ MORE

HATIMAYE ZIDANE AREJEA REAL MADRID

KLABU ya Real Madrid imemtangaza Zinedine Zidane kuwa Kocha Mkuu wa Klabu hiyo ikiwa ni miezi 10 tu tangu Mfaransa...

READ MORE

Simba: Tunaandika historia Taifa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, ameweka kando kipigo walichokipata mbele ya JS Saoura kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

MANARA: STORI NCHI NZIMA NI SIMBA, LABDA AFE MTU MKUBWA- VIDEO

MSEMAJI wa Timu ya Soka ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa Simba kuja kwa wingi katika Uwanja wa Taifa...

READ MORE

Tambwe Ana Hela Acheni, Anamiliki Toyota Land Cruiser V8 TD

HAKUNA ubishi mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Tambwe ndiye mchezaji anayeongoza kwa wachezaji wa Ligi Kuu Bara wanaosukuma mkoko wa kifahari....

READ MORE

TFF YAMFUNGIA NINJA WA YANGA – VIDEO

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imesikiliza shauri la mchezaji wa Yanga Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye alilalamikiwa...

READ MORE

JOHN BOCCO: BADO TU NA NAFASI, SUBIRINI MUONE

NAHODHA na Mshambuliaji tegemeo wa Simba, John Bocco, amesema bado wana nafasi ya kufuzu hatua inayofuata ya Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Real yamtaka Zidane au Mourinho

UONGOZI wa Real Madrid unataka kurudisha mmoja wa makocha wao wa zamani lakini wakitega karata yao kwa Zinedine Zidane au...

READ MORE

Bilionea Aitoa Yanga Dar Kwenda Kanda Ya Ziwa

UNAMKUMBUKA yule jamaa mwenye umatemate wa kutosha ambaye aliipa Yanga heshima Kanda ya Ziwa? Wanamuita Yanga Makaga. Aliisimamia shoo ya...

READ MORE

Kichuya Mambo Magumu Misri

TANGU kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya atue kwenye ardhi ya Misri hajawahi kushangilia ushindi na timu yake ya...

READ MORE

Watanzania Tumuache Amunike Afanye Kazi

KOCHA wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike wiki hii alitangaza kikosi cha wachezaji 25 ambao wataikabili Uganda. Tanzania inajiandaa kucheza mchezo...

READ MORE

FT: YANGA 2-1 KMC KUTOKA UWANJA WA TAIFA

Dakika 90 Mpira umemalizika. Dakika ya 87 Abdalah Shaibu anaonyeshwa kad ya njano. Dakika ya 81 KMC anatoka Abdalah Hilary...

READ MORE

Bocco Kuvunja Rekodi Yake

MSHAMBULIAJI wa Simba na nahodha wa kikosi hicho, John Bocco ameonekana kuwa mwiba kwa mechi saba za mkoani kwa kufunga...

READ MORE

Ni vita ya Kaseja na Makambo Taifa

KIPA mwenye heshima kubwa nchini ambaye kwa sasa anaichezea KMC, Juma Kaseja, amesema hawamuhofii Heritier Makambo bali wanaihofia Yanga. Kaseja...

READ MORE

Ngoma na Chirwa Waanza Kunoga Azam

WASHAMBULIAJI wa Azam FC, ambao walikuwa pamoja kwenye kikosi cha Yanga wameanza kunoga ndani ya kikosi hicho baada ya kuendelea...

READ MORE

Hesabu Kuibeba Simba CAF, Yapigwa na JS Saoura 2-0

MAKOSA ya safu ya ulinzi ya Simba, jana yaliigharimu timu hiyo na kujikuta ikipigwa mabao 2-0 na JS Saoura nchini...

READ MORE