×

Michezo

DEPAY AING’ARISHA UHOLANZI, WATUPIA BAO 4-0

MEMPHIS Depay akiwa ndani ya jezi ya Uholanzi ameonyesha kiwango bora na kufanikiwa kufunga mabao mawili katika ushindi wa mabao...

READ MORE

Rage: Simba SC Inaifunga Mazembe

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage amesema kuwa, Simba ina nafasi kubwa ya kuifunga TP Mazembe ya DR Congo...

READ MORE

Zana: Nimeshajua, sitaki kuitwa Amber Rutty

BAADA ya kuonyesha uwezo mzuri kwenye mechi dhidi Yanga, beki wa Simba, Zana Coulibaly raia wa Burkina Faso ambaye alikuwa...

READ MORE

Banka yamkuta tena Yanga, Atupwa nje

KIUNGO mchezeshaji wa Yanga, Issa Mohamed ‘Mo Banka’ yamemkuta tena kwenye timu hiyo baada ya enka yake kuvimba kwenye mguu...

READ MORE

Aliyeipeleka Taifa Stars Afcon 1980 Afunguka Walivyopambana – Video

Mchezaji wa Zamani ambae aliisaidia Tanzania kuvuka katika hatua ya kushiriki michuano ya AFCON Mwaka 1979/80 na ndiye aliyeipatia Tanzania...

READ MORE

Hofu Yatanda Simba Kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika

SIMBA inatarajiwa kucheza dhidi ya TP Mazembe katika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baadaye mwezi ujao, lakini huko...

READ MORE

Bin Kleb: Nimerudi Kurejesha Heshima…

  UNAMKUMBUKA yule jamaa aliyewafanyia umafi a Simba kwenye usajili wa mchezaji Mnyarwanda, Mbuyu Twite? Huyu ni Abdallah Bin Kleb...

READ MORE

BALE AFUNGUKA ANAVYOIKUBALI ARSENAL

GARETH Bale ametoa kauli ambayo inaweza isiwe nzuri kwa mashabiki wa timu yake ya zamani ya Tottenham, ambapo amedai kuwa...

READ MORE

POGBA: NAVUTIWA SANA NA BARCELONA

MAN United ina mtihani mgumu wa kukutana na Barcelona katika Ligi ya Mabingwa Ulaya lakini kiungo wao, Paul Pogba ametoa...

READ MORE

Viongozi Yanga Wakutana Kujadili Uchaguzi Mkuu

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umekutana katika mwendelezo wa vikao kujadili juu ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.   Kikao...

READ MORE

Bale Atua Uwanja wa Mazoezi wa Man U

WINGA wa Real Madrid, Gareth Bale, wiki hii alikuwa na muda mzuri wa kufurahia kufanya mazoezi ndani ya viwanja ambavyo...

READ MORE

Mo Aandaa Silaha Hatari Kuiua Mazembe

BAADA ya ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kuwekwa hadharani, uongozi wa Klabu ya Simba unatarajia kukutana...

READ MORE

Simba sasa wagundua dawa ya ugenini

KOCHA wa timu ya Simba, Patrck Aussems amesema walikuwa tayari kukutana na timu yoyote wala walikuwa hawahofii droo ya robo...

READ MORE

KOCHA BARCA AANZISHA KAMPENI YA KUIMALIZA UNITED

    BARCELONA inaendelea kuwa na msimu mzuri wa 2018/19, hadi sasa bado inayo nafasi ya kufanya kweli kwa kutwa...

READ MORE

Kagere: Waleteni Hao Mazembe, Tulikuwa Tunawataka

  MSHAMBULIAJI tegemeo hivi sasa wa Simba, Mnyarwanda, Meddie Kagere, amesikia taarifa za wao kukutana na TP Mazembe na kutamba...

READ MORE

Waziri Mkuu mgeni rasmi Stars vs Uganda

  KAMATI ya Saidia Stars Ishinde chini ya Mwenyekiti, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, imemwalika Waziri Mkuu wa...

READ MORE

Mgosi: Simba Queens itatwaa ubingwa

KOCHA Mkuu wa Timu ya Wanawake ya Simba Queens, Musa Hassan Mgosi amesema licha ya kupokea kichapo cha mabao 2-1...

READ MORE

AS Vita waingilia ugomvi wa Simba, Mazembe

DAKTARI wa AS Vita Club, Nowa Lelo amefunguka kuwa amefurahishwa na hatua ya Simba kupangwa na TP Mazembe kwenye mchezo...

READ MORE

Arusha Utd yajitoa Daraja la Kwanza

BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Arusha United ya jijini hapa, imetangaza kuiondoa timu hiyo kushiriki katika Ligi Daraja la...

READ MORE

Yanga Mpya Ya Msimu Ujao Kiboko

Uongozi wa Yanga umeanza maandalizi ya mikakati yenye lengo la kuisogeza timu hiyo karibu zaidi na wadau wake katika kuelekea...

READ MORE

Mwakyembe: Mbinu za Simba zitumike kuiua Uganda

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe, ametoa wito kuwa mbinu za Simba zilizotumika kuwafunga SC Vita...

READ MORE

Championi: Tuna imani na Taifa Stars, fanyeni kweli

  GAZETI la Championi kwa niamba ya makampuni yote ya Global Group tunaamini timu ya taifa ya Tanzania itatuwakilisha vema...

READ MORE

HAMIENI FASTA, HUKU LIGI YA SERENGETI LITE KUMENOGA KINOMA

LIGI Kuu ya Wanawake maarufu kama Serengeti Lite Premier imeenda mapumziko kupisha ratiba za kimataifa lakini kumenoga kwelikweli. Imefikia mzunguko...

READ MORE

Yanga wamepania kwelikweli hii mechi

  YANGA wamesisitiza kwamba kilichotokea kwenye mechi ya mwisho ya Ligi dhidi ya Lipuli wakalala mjini Iringa hakiwezi kutokea Mwanza...

READ MORE

WAKALI WA ASISTI AFRIKA

HATA uzungumze kwa lugha gani ya kejeli unayoijua wewe, ukweli unabaki palepale Simba ni miongoni mwa klabu nane bora za...

READ MORE

Duh! Yanga Kweli Wako Unga Dhidi ya DR Congo

TIMU ya Taifa ya Wanawake ‘Twiga Stars’ imetajwa huku Yanga ikiwa na mchezaji mmoja tu kwenye kikosi hicho kinachoingia kambini...

READ MORE

MAKONDA AHIMIZA USHINDI STARS, AAHIDI BONGE LA PATI – VIDEO

MWENYEKITI wa Kamati ya Uhamasishaji kuelekea mchezo wa ya Taifa Stars kufuzu michuano ya AFCON dhidi ya timu ya taifa...

READ MORE

Solskjaer Ataka Kuwauza Sanchez, Rojo na Valencia

  KAIMU meneja (kocha) wa klabu ya Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer,  anawataka wachezaji Alexis Sanchez, beki wa Argentina Marcos...

READ MORE

Bin Kleb, Ndama wazuia dili la Ajibu Simba

KAMATI mpya ya Kuhamasisha Uchangiaji wa Fedha ya Yanga ambayo Abdallah Bin Kleb (pichani)na Ndama Mtoto wa Ng’ombe ni miongoni...

READ MORE

Kila mchezaji Stars kulamba Mil 11 na ushee

KAMA Taifa Stars wakiipiga Uganda Jumapili jijini Dar es Salaam, kila mchezaji ana uhakika wa Sh. Mil 11 na ushee...

READ MORE

Mauricio Pochettino: Barcelona inabeba Uefa

  MAURICIO Pochettino anaamini Barcelona wapo kwenye levo tofauti kabisa na amebeti kuwa vinara hao wa La Liga wana nafasi...

READ MORE

VIDEO: Mwakyembe,Tenga Kambini Uwanja wa Taifa

TAIFA Stars imenoga. Jana jioni kwenye Uwanja wa Taifa kikosi kizima kilipiga tizi la kufa mtu. Mbwana Samatta ambaye ni...

READ MORE

Mourinho: Mbappe Ni zaidi ya Messi, Ronaldo

KOCHA mkongwe Jose Mourinho anaamini umri wa Kylian Mbappe ukilinganisha na uwezo alionao, unamfanya awe na thamani zaidi ya masupastaa,...

READ MORE

RONALDO AREJEA TIMU YA TAIFA

  STAA wa Ureno, Cristiano Ronaldo, ameitwa kwa mara kwanza kwenye timu ya taifa ya nchi hiyo kuanzia walipoondolewa kwenye...

READ MORE

ARSENAL YATANGAZA KUMRUDISHA SUAREZ

Arsenal ilimchukua mchezaji huyo kwa mkopo kutoka Barcelona na ameshindwa kuonyesha uwezo wa juu chini ya kocha Unai Emary.  ...

READ MORE

BREAKING: CAF YAIRUDISHA SIMBA DR CONGO, SAFARI HII TP MAZEMBE

Upangaji ratiba wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika umekamilika huku mabingwa wa Tanzania, Simba wakipangiwa kuvaana na TP...

READ MORE

AS Vita wavunja rekodi ya Simba Taifa

LICHA ya kuondolewa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, AS Vita kutoka DR Congo imevunja rekodi ya Simba katika...

READ MORE

Waziri Amsogezea Zahera Sh bil 1.5 za Usajili Yanga

MAMBO ni moto! Ndiyo unavyoweza kusema ni baada ya viongozi wa Yanga kuweka mikakati thabiti ya ukusanyaji wa shilingi bilioni...

READ MORE