×

Michezo

Liverpool Yaibuka na Ushindi wa 2-0 Dhidi ya Real Madrid

Liverpool imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mabingwa watetezi, Real Madrid kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya huku...

READ MORE

Jumanne ya Kibosi na Meridianbet ni Hii

Je unajua kuwa siku ya leo imekaa kibosi?. Kama hujui sababu basi mimi nitakwambia ni kwamba Ligi ya Mabingwa Ulaya...

READ MORE

Bodi ya Ligi Kuu Yaridhia ombi la Yanga Kutumia Uwanja wa KMC Complex

BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imeridhia ombi la klabu ya Yanga kuhusu kuutumia uwanja wa KMC Complex uliopo Kinondoni,...

READ MORE

Majaliwa Ahitimisha Jimbo Cup Ruangwa, Kiwengwa Yaibuka Bingwa

Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa ameshuhudia mchezo wa fainali ya kombe la jimbo maarufu Jimbo...

READ MORE

Video: Msuva Afunguka Ugumu Wa Maisha Ya Iraq, Kuishi Mbali Na Nyumbani, Ndoto Zimetimia

Msuva amefunguka kupitia GLOBAL TV na kueleza mengi ya kimichezo, kubwa zaidi Msuva amezungumza kwamba klabu ya Yanga SC ndiyo...

READ MORE

Jumapili ya Kupoza Moyo na Meridianbet ni Leo

Je unataka kutusua na Meridianbet siku ya leo?. Basi taratibu kabisa ingia kwenye akaunti yako na uanze kutengeneza jamvi lako...

READ MORE

Man City Yapoteza kwa mara ya tano mfululizo, Yapigwa na Tottenham 4-0

Pep Guardiola amepoteza kwa mara ya tano mfululizo hii ikiwa ni kwa mara ya kwanza kama Kocha, baada ya Tottenham...

READ MORE

Ali Kamwe Afichua Hasira Zao Watammalizia Al Hilal Siku ya Jumanne- Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ally Kamwe ameeleza kuwa wanaendelea na maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa...

READ MORE

Ligi Zimereajea, Pesa Zipo Meridianbet

Ligi mbalimbali leo hii zinarejea ambapo nafasi yako leo hii ya kuondoka na mpunga ni kubwa. Ingia kwenye akaunti yako...

READ MORE

Ijumaa ya kuondoka na maokoto ndio hii ya leo

Beti mechi za leo ndani ya Meridianbet ujipe nafasi ya kushinda mamilioni siku ya leo. Odds kubwa na machaguo zaidi...

READ MORE

RC Mwanza Aeleza Sababu ya Yeye Kufika Uwanja wa Kirumba

OFISI ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa Mkuu wa Mkoa, Said Mtanda...

READ MORE

Rais wa CAF, Dk. Patrice Motsepe Kuzuru Kenya, Tanzania na Uganda

Rais wa shirikisho la Soka Afrika (CAF), Dk. Patrice Motsepe atazuru Kenya, Tanzania na Uganda mwezi Desemba, 2024. Kwa mujibu...

READ MORE

Meridianbet Yafika Kimara Dar Na Kutoa Msaada Wa Vifaa Vya Mazoezi

Kama ilivyo kawaida yao leo Meridianbet wameendelea palepale walipoishia, Ambapo leo wamefika Kimara Mwisho jijini Dar-es-salaam na kutoa msaada wa...

READ MORE

stars yafuzu AFCON 2025

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars, imefanikiwa kufuzu kucheza michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON itakayofanyika nchini...

READ MORE

Tanzania Kufuzu Afcon Leo, Chagua timu zako za ushindi mapema

Jumanne ya kupuna pesa ndio hii ya leo sasa kwani mechi nyingi sana zipo dimbani kusaka pointi tatu muhimu kuanzia...

READ MORE

Rashford na casemiro walikubali tizi la amorim

Wachezaji wa Manchester united Marcus Rashford (27) pamoja na Carlos Henrique ‘Casemiro'( 32), wameonyesha kufurahishwa na mazoezi ya mkufunzi mpya...

READ MORE

All Aces Poker ya Meridianbet Unyama ni Mwingi

Mchezo mpya wa kasino unaopatikana kwa mabingwa wa michezo ya kubashiri na kasino All Aces Poker unakupa mkwanja wa kutosha...

READ MORE

Simba, Yanga Chali Mchujo wa Klabu Bora ya Mwaka

Shirikisho la soka Afrika (CAF) limetoa orodha ya vilabu vitano vinavyowania tuzo ya klabu bora ya mwaka huku vigogo wa...

READ MORE

Jumatatu Safi na Meridianbet Hii Hapa

Kama kawaida baada ya wikendi kuisha, sasa ni wiki nyingine imeanza na ukiwa na Meridianbet ni furaha tuu na tabasamu...

READ MORE

Moalin Atambulishwa rasmi kama mkurugenzi wa ufundi wa Yanga

ABDULHAMID Moalin ametambulishwa kuwa bosi mpya ndani ya kikosi cha Yanga kwene eneo la masuala ya ufundi kwa msimu wa...

READ MORE

Maliza Wikendi Yako na Meridianbet kwa kuondoka na pesa leo

Je unajua kuwa siku ya kuondoka na pesa za maana ni leo?. Timu kibao zipo dimbani kuchuna vikali kwaajili ya...

READ MORE

Okota Mapene Yako Mapema Sana Leo

Jumamosi ya leo sio ya kuiacha ipite hivi hivi bila kutengeneza jamvi lako na Meridianbet. Leo hii timu kibao zipo...

READ MORE

Kocha Mpya Wa Yanga Huyu Hapa – Mashabiki Wafunguka Gamondi Kufungashiwa Virago…

Shabiki wa Klabu ya Yanga amefunguka kupitia GLOBAL TV mara baada ya uongozi wa klabu hiyo kuachana na aliyekuwa kocha...

READ MORE

Yanga SC yatangaza kocha mpya

Klabu ya Yanga imemtangaza raia wa Ujerumani, Sead Ramović kuwa kocha mkuu wa timu hiyo baada ya kuondoka kwa aliyekuwa...

READ MORE

Gamondi Afungiwa Michezo Mitatu na Kumtoza Faini ya Tsh Milioni 2

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania TPLB imetangaza kumfungia aliyekuwa kocha wa Young Africans Sc, Miguel Angel Gamondi michezo mitatu na...

READ MORE

Ondoka na Mkwanja na Mechi za Kimataifa

Ijumaa ya leo imekaa kijanja sana na usikubali imalizike bila ya wewe kusuka jamvi lako la ushindi hapa. ODDS KUBWA...

READ MORE

Yanga Yathibitisha Kuvunja Mkataba na Miguel Gamondi

Uongozi wa klabu ya Yanga umethibitisha kuvunja mkataba na kocha wa kikosi cha kwanza Miguel Angel Gamondi raia wa Argentina...

READ MORE

Vini Atafungiwa Kisa Utovu Wa Nidhamu

  Winga wa Timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Real Madrid, Vinicius Junior (24) huenda akakumbana na adhabu...

READ MORE

Unaeka Mkwanja Kwa Nani Leo Kati Ya Mike Tyson Na Jake Paul?

Leo unaweza mkwanja kwa nani ili uweze kushinda mamilioni ni Mike Tyson au Jake Paul, Weka ubashiri wako mapema katika...

READ MORE

KMC Yamtangaza Kali Ongala kuwa Mkuu mpya

Klabu ya KMC, imemtangaza Kali Ongala kuwa Mkuu mpya wa timu hiyo, baada ya kuondoka kwa aliyekuwa kocha Mkuu, Abdihamid...

READ MORE

Bruno amwagia sifa kocha Amorim

Nahodha wa klabu ya Manchester United, Bruno Fernandes (30) amefunguka na kumsifia kocha mpya wa klabu hiyo, Rúben Amorim (39)...

READ MORE

FIFA Yaifungia Yanga kusajili Kimataifa kwa Kushindwa Kumlipa Okrah

FIFA imeifungia Yanga Sc kusajili kimataifa kwa kushindwa kumlipa aliyekuwa mchezaji wao Augustine Okrah na pia kuagiza Shirikisho la Soka...

READ MORE

Ali Kamwe Atema Nyongo: “Unyonge Hatujazaliwa Nao Yanga”- Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ali Kamwe amefunguka kupitia Global TV na kueleza sababu mbili zilizopelekea klabu yao...

READ MORE

Mzee Magoma Amtetea Hamisa Mobetto, Video Ya Aziz Ki Akivuta Shisha – Video

Mzee Magoma amekuja na mapya! Anakwambia wachezaji Yanga nidhamu hakuna ndiyo maana wachezaji kama Azizi Ki wanaonekana kwenye sehemu za...

READ MORE

Ligi Kubwa Barani Ulaya Kukupa Mkwanja Leo Kupitia Meridianbet

Usipookota maokoto yako kupitia Meridianbet Jumapili hii utaokota lini tena? Ni leo ambayo itapigwa mikali kwenye ligi pendwa ambazo unazijua...

READ MORE

Yanga Yaachana na Uwanja wa Azam Complex Yatimkia KMC, Mwenge

Klabu ya Yanga Sc imetangaza kuwa itautumia Uwanja wa KMC Complex kama Uwanja wake wa Nyumbani kwa mechi zote za...

READ MORE

Ushindi 100% Ukicheza Kasino Ya 777 Super Strike. Cheza Na Ushinde

777 Super Strike ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa Red Tiger. Katika mchezo huu, unatarajia kufurahia...

READ MORE

Wikendi ya Kutimiza Ndoto Zako Imefika

Je unajua kuwa Ijumaa ya leo ni ya kitajiri endapo utabashiri na Meridianbet na kuifanya wikendi yako kuanza vyema kabisa....

READ MORE

Shombo za Ahmed Ally “Yanga Wamefungashwa, Kule Siyo Kufungwa -Video

Afisa Habari wa klabu ya Yanga SC Ahmed Ally  leo Novemba 8, 2024 ameamkia kwenye kijiwe cha Kahawa Posta baada...

READ MORE

Yanga Yakubali kichapo Cha mabao 1-3 kutoka Kwa Tabora United

Klabu ya soka ya Yanga imekubali kichapo Cha mabao 1-3 kutoka Kwa Tabora United, katika muendelezo wa ligi kuu ya...

READ MORE