BARCELONA inajidai na silaha tatu ambazo inaamini zitakazowasaidia kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu wa 2018/19. ...
READ MOREBAADA ya kikosi cha Azam FC kuwa chini ya kocha Idd Cheche wengi wanapenda kumuita Ole Gunnar amevunja rekodi ya...
READ MOREYANGA wamesema watawafikiria waliokuwa wagombea wa klabu hiyo, Jonas Thiboroha na Baraka Igangula pamoja na wajumbe wengine ambao walichukua fomu...
READ MOREACHANA na mziki wa Simba. Fanya unachofanya lakini ndani ya Uwanja wa Taifa hutoki. Alikuja JS Sauora akapigwa, akasingizia waandishi...
READ MORELIKIWA limetimiza mwezi mmoja tangu liingie mtaani, Gazeti la Betika limezidi kutikisa ambapo kila siku wasomaji wamekuwa wakilimwagia sifa...
READ MOREWAKATI Manchester United imetupwa nje ya michuano ya Kombe la FA, Manchester City iliweka hai matumaini yake ya kutwaa mataji...
READ MOREMASHABIKI wa Yanga wanamtamani, straika wa AS Vita, Jean Makusu lakini Kocha Mwinyi Zahera amewaambia hata wasihangaike kwa vile ni...
READ MOREAS Vita ya Congo jana ililazimika kuvaa maski za kuziba pua na kutoingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo kabla...
READ MOREVIONGOZI waliopo madarakani katika Klabu ya Yanga wanatakiwa kuachia ngazi ili kupisha mchakato wa uchaguzi unaotarajiwa kufanyika wakati wowote kuanzia...
READ MOREKikosi cha timu ya Simba kimeandika historia ya kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuibuka...
READ MOREBao pekee la Haruna Shamte mnamo dakiak ya 19 limeinyima alama tatu muhimu Yanga kwa kuipa ushindi Lipuli FC wa...
READ MOREREFA wa mechi ya leo kati ya Simba dhidi ya AS Vita siyo wa kitoto kwani amewahi kuchezesha mechi...
READ MOREWACHEZAJI wa Simba sasa washindwe wenyewe tu kwani kwa kufuru aliyoitoa mwekezaji na mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji ‘Mo’ ni ya...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba Mbelgiji, Patrick Aussems ni kama amewamaliza wapinzani wake AS Vita, baada ya juzi kuangalia kwa mara...
READ MOREKATIKA kuhakikisha inapata ushindi kwenye uwanja wake wa nyumbani wa Samora dhidi ya Yanga leo, uongozi wa Lipuli FC, umesema...
READ MOREHALI ya hewa ya joto la Dar es Salaam imeonekana kuwatesa AS Vita wanaocheza na Simba leo usiku. Juzi walisitisha...
READ MOREMSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere ameahidi kufa na kupona kuitungua AS Vita kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa...
READ MOREKOCHA Mkuu wa AS Vita Club, Florent Ibenge amesema kama Simba inataka kumsaini JeanMarc Makusu basi wala hakuna shida watoe...
READ MOREAZAM FC imetangaza kumuongeza mkataba mshambuliaji wake, Donald Ngoma huku wakiwa bado kwenye mazungumzo na Obrey Chirwa ambaye inadaiwa amekuwa...
READ MOREARSENAL ambayo usiku wa kuamkia jana Ijumaa iliifunga Rennes mabao 3-0 na kuiondosha timu hiyo kwa jumla ya mabao 4-3...
READ MOREBAADA ya droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa leo na Barcelona kupangiwa kucheza na Manchester United ikianzia...
READ MORELICHA ya kupata ushindi ugenini dhidi ya Tanzanite, Kocha wa JKT Queens, Ally Ally, amewatupia lawama waamuzi waliochezesha mchezo huo...
READ MOREKOCHA Msaidizi wa Yanga Mzambia, Noel Mwandila amesema kuwa hakuna chochote kitakachoharibika kwa timu yake kupata ushindi kwani tayari bosi...
READ MOREBAADA ya kufanya ‘comeback’ ya hatari dhidi ya PSG, sasa Manchester United imepangwa kukutana na kigogo mwingine kwenye Robo Fainali...
READ MOREWIKIENDI hii gumzo nchini ni mechi ya michuano inayoandaliwa na Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kati ya...
READ MORESIMBA, kesho Jumamosi inatarajiwa kujitupa uwanjani kucheza na AS Vita ambapo kocha mkuu wa timu hiyo Mbelgiji, Patrick Aussems...
READ MOREMSHINDI wa milioni 123 za Perfect 12 ya M-Bet, Willy Wadson ametamba kwamba fedha hiyo aliyoshinda anaenda kuanzisha biashara yake...
READ MOREDar es Salaam. Shabiki wa Simba na mkazi wa mkoa wa Songwe, Willy Mwakapembe Wadson ameshinda Sh 123,614,160 baada...
READ MOREKESI inayomkabili aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Wambura imeahirishwa kutokana na upelelezi kutokamilika. ...
READ MOREWAKIREJEA uwanjani na kuanza mazoezi tangu watoke kwenye majeraha, Kocha Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick Aussems, juzi alifanya kikao na...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga Mkongoman, Mwinyi Zahera amemuondoa dakika za mwisho nahodha na kiungo wake mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu...
READ MOREKWENYE Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite kuna mbwembwe kwelikweli. Unaambiwa jana Simba Queens imempiga mtu 7-0. Ni wale Evergreen...
READ MOREWACHEZAJI wa Simba, Haruna Niyonzima na Erasto Nyoni wamesema Jumamosi ni kufa au kupona dhidi ya AS Vita. Lakini habari...
READ MOREHATA atupie mabao matamu kiasi gani, mkataba wa nahodha wa Yanga, Ibrahim Ajibu hautaguswa wala kuongezwa mpaka msimu umalizike. ...
READ MORERais Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na timu ya wataalamu wa Tanzania na Misri wanaoshughulikia ujenzi wa uwanja wa michezo...
READ MOREIKIWA zimebaki siku tisa kabla Taifa Stars haijacheza na Uganda kwenye mchezo wa kutafuta tiketi ya kucheza Kombe la Mataifa...
READ MOREBEKI wa kati wa KMC, Ally Ally amefunguka kuwa haikuwa makusudi kujifunga katika mpira wa krosi uliopigwa na mshambuliaji wa...
READ MOREYANGA imeendelea kujikita kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kuvunja rekodi yake ya mabao 44, ambayo walifunga...
READ MOREYANGA wamemaliza mechi zao za Dar es Salaam na sasa wamehama makazi yao na kuelekea mkoani Mwanza katika Uwanja wa...
READ MOREJUMAMOSI timu ya Simba itakuwa uwanjani kuvaana na AS Vita kwenye mchezo mgumu wa kufuzu robo fainali ya Ligi ya...
READ MORE