×

Michezo

ADI YUSSUF, MTANZANIA ALIYEFANYA MAAJABU FA CUP ENGLAND

MICHUANO ya Kombe la FA nchini England inatarajiwa kuendelea leo Ijumaa na siku mbili za wikiendi hii, kuna vigogo wawili...

READ MORE

Mbao FC Yaweka Rekodi SportPesa

TIMU ya Mbao FC ya Mwanza imefanikiwa kuweka rekodi katika michuano ya SportPesa Cup kufuatia kuwatoa mabingwa watetezi wa michuano...

READ MORE

Simba Queens Yachapwa, Yanga Yatakata

  TIMU ya Simba Queens imedondosha pointi zote tatu kwa mara nyingine baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka...

READ MORE

Niyonzima: Kocha kayaelewa mambo yetu na Chama

KIUNGO mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima amesema kinachomfanya kocha wao Mbelgiji Patrick Aussems awapange kwa pamoja yeye...

READ MORE

Beki Mpya Mghana Aandaliwa Mkataba Simba

AKICHEZA mechi yake ya kwanza akiwa na Simba, beki mpya Mghana, Lamine Moro inadaiwa amemkosha Kocha Mkuu wa timu hiyo...

READ MORE

Wambura Mbishi balaa, Aenda Fifa

HAKIKA Michael Wambura hataki utani, licha ya kufungiwa maisha na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), habari iliyopo mezani ni...

READ MORE

Zahera Aitaja Mipango ya Ubingwa Yanga SC

KOCHA wa Yanga, Mkongo, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa kama waamuzi watabadilika na kuchezesha kwa kufuata sheria basi timu yake itaendelea...

READ MORE

Video: TFF Yairuhusu Simba Kumtumia Lamine Moro

 Kamati ya Kimataifa ya mashindano ya SportPesa Cup 2019 jana Jumatano Januari 23,2019 imekaa na kupitia malalamiko ya timu...

READ MORE

Chelsea Yasajili Straika Wa Juventus Kwa Mkopo

  KLABU  ya Chelsea ya Uingereza imemsajili kwa mkopo mshambuliaji wa Juventus. ‘Gonzalo Higuain’. mpaka mwisho wa msimu.   Miamba...

READ MORE

Real Madrid Yaweka Mtego Kumnasa Eriksen

REAL Madrid ipo kwenye harakati za kuhakikisha wanamnasa staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen. Klabu hiyo imekuja na janja sasa...

READ MORE

Messi Aibua Mapya Karne Ya 21

MKALI wa soka duniani, Lionel Messi amezua mapya tena kwenye medani ya soka baada ya kuibuka na rekodi nyingine.  ...

READ MORE

Wakenya Wanatufundisha Kuuheshimu Mpira

  MSIMU mpya wa mashindano ya SportPesa unaendelea Jijini Dar es Salaam. Kesho unaingia kwenye hatua ya­nusu fainali. Ni mashindano...

READ MORE

Okwi, Chama Waipeleka Nusu Fainali Simba

SIMBA jana Jumatano iliwapooza mashabiki wao ndani ya Uwanja wa Taifa, kwa kuitupa nje AFC Leopards ya Kenya na kufuzu...

READ MORE

MBAO FC YAIVUA UBINGWA GOR MAHIA SPORTPESA SUPER CUP

Mbao FC imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza michuano ya SportPesa Super Cup, hatua ya nusu fainali msimu huu...

READ MORE

BREAKING NEWS: KAMATI YA NIDHAMU FIFA, YAMFUNGIA WAMBURA MAISHA

Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limetangaza kumfungia Michael Wambura maisha. Kifungo hicho kinamfanya Wambura kutojihusisha...

READ MORE

AL AHLY WAPINZANI WA SIMBA, WABABE WA AFRIKA, DUNIA

FEBRUARI 2, mwaka huu utakuwa mtihani mwingine kwa Mbelgiji Patrick Aussems na Simba yake kwani watalazimika kuwafuata wababe Al Ahly...

READ MORE

KOCHA YANGA AIOMBEA SIMBA ITWAE UBINGWA SPORTPESA

KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera amesema kuwa anaomba Mungu ili timu ya Simba ifanikiwe kutwaa ubingwa wa Michuano ya SportPesa...

READ MORE

LIGI ya Wanawake: Simba Queens, Yanga Princess Kukipiga Leo

LIGI ya Wanawake Tanzania maarufu kama ‘Serengeti Lite Women’s Premier League’ leo inaendelea kwa timu nane kushuka Uwanjani kumenyana kusaka...

READ MORE

Juve yashinda, Ronaldo akosa penalti

TIMU ya Juventus juzi iliendelea kujikita kileleni kwenye Ligi Kuu ya Italia baada ya kufanikiwa kuichapa Chievo mabao 3-0 kwenye...

READ MORE

Vita Yasimamisha Mazoezi Simba

SIMBA juzi Jumatatu walishindwa kuanza mazoezi yao takribani dakika 20 huku wakitumia muda huo kwa ajili ya kuzungumzia mambo ya...

READ MORE

ASHA RASHIDI AFUNGUKA MAPENZI YAKE NA HASSAN KESSY

SOKA la wanawake nchini linazidi kukuwa kwa kasi siku hadi siku ambapo wachezaji wengi wa jinsia hiyo wanaendelea kuonyesha vipaji...

READ MORE

KOCHA Zahera Afunguka Sababu za Kutolewa SPORTPESA -Video

 Yanga imeanza kwa kuyaaga mashindano ya SportPesa Super Cup baada ya kuchapwa kwa mabao 3-2 lakini Kocha wake Mwinyi...

READ MORE

YANGA YAFUNGASHA VIRAGO SPORTPESA CUP, YAUNGANA NA SINGIDA UNTED

KIKOSI cha Yanga, leo kimepoteza mchezo wake wa kombe la SportPesa ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa kukubali kufungwa...

READ MORE

DTB YATWAA UBINGWA WA MASHINDANO YA KIKAPU

Wachezaji wa kikapu kutoka DTB Tanzania wameifunga NMB kwa pointi 90-73 katika pambano la fainali ya michuano ya Kikapu kwa...

READ MORE

CRISTIANO RONALDO APIGWA FAINI YA SH. BILIONI 49

  MSHAMBULIAJI  wa Klabu ya Juventus, Cristiano Ronaldo, amekubali kulipa faini ya Euro milioni 18.8 sawa na shilingi bilioni 49.3...

READ MORE

Kagere: Sasa hasira tutawamalizia Al Ahly

STRAIKA wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere amefunguka kwamba kipigo walichopokea kutoka kwa AS Vita kinabaki kama historia na sasa wanageukia...

READ MORE

Mo aiondoa Simba Bongo

BILIONEA na mwanachama wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama ameiondoa klabu hiyo katika fikra za kushindana Bongo pekee, baada...

READ MORE

Kisa Simba, Kocha wa Thomas Ulimwengu Atimuliwa

KUMEKUCHA Afrika! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuzua balaa nchini Algeria katika Klabu ya JS Saoura. Simba iliichapa...

READ MORE

Baada ya kipigo, Yanga wapewa mihela

WACHEZAJI wa Yanga, wamepewa mamilioni ya fedha licha ya kuchezea kichapo katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi Stand United...

READ MORE

Pacha wa Kagere anakuja Simba SC

SIMBA kwa sasa inafanya mchakato wa kuhakikisha inamsajili pacha wa mshambuliaji tegemeo kikosini humo, Meddie Kagere, Jacques Tuyisenge. Tusiyenge na...

READ MORE

CHAMPIONI LINAVYOMWAGA FEDHA KWA WASOMAJI WAKE!

GAZETI la Championi limeanza kurejesha kidogo linachokipata kwa wasomaji wake, hivyo zawadi kemkemu zitamwagwa. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine...

READ MORE

Zahera Ataja Kilichoimaliza Simba kwa AS Vita

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mcongoman, Mwinyi Zahera, ametaja sababu ya watani wake Simba kupoteza mchezo wake wa makundi wa Ligi...

READ MORE

Yanga Yapigwa Bao 8-1

KIKOSI cha Yanga Princess leo kimepoteza kwa kuchapwa mabao 8-1 dhidi ya JKT Queens kwenye mchezo wa Ligi ya Wanawake...

READ MORE

Yanga Wawaka.. Tunamtaka Kakolanya

WANACHAMA waandamizi wa Yanga pamoja na baadhi ya viongozi wamesisitiza kwamba kuna haja ya kipa namba moja wa timu hiyo,...

READ MORE

KOULIBALY JEMBE LENYE SIFA ZA KUIBEBA MAN UNITED

MSIMU uliopita kabla ya Liverpool kumsajili beki wa kati, Virgil van Dijk, Liver­pool ilikuwa inatisha kwa kuwa na safu kali...

READ MORE

NMB Yatoa Mfungaji Bora Mashindano Ya Kikapu

NYOTA wa kikapu wa kikosi cha Benki ya NMB, Kaikai Leka, ameibuka Mfungaji Bora (BestScorer) wa Ligi ya Kikapu kwa...

READ MORE

Kilichoiua Simba Congo ni Hiki

WAWAKILISHI pekee wa Afrika Mashariki kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika jana usiku mbele ya AS Vita...

READ MORE

SERENGETI LITE WAMEIBUA MENGI SOKA LA WANAWAKE

KINACHOONEKANA kwenye Ligi Kuu ya Wanawake msimu huu maarufu kama ‘Serengeti Lite Womens Premier League’ kinafurahisha. Kuna mam­bo mengi ambayo...

READ MORE

Zahera Amchangia Mgonjwa Laki 6

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera ameguswa baada ya kumuona mtoto mmoja aitwaye Mudathiri Salum katika runinga akiomba msaada wa...

READ MORE

JKT Queens Yakomaa na Yanga

  MABINGWA wa­tetezi wa Ligi Kuu ya Wanawake, maarufu kama Serengeti Lite Wamen’s Premier League wamepania kuwanyoosha Yanga Princess katika...

READ MORE