×

Michezo

Ronaldo Apewa Heshima Kombe la Dunia

NGULI wa soka wa zamani Ronaldo De Lima wa Brazil, amepewa majukumu ya kuzindua rasmi fainali za Kombe la Dunia...

READ MORE

Julio: Alikiba Anaweza Kucheza hata Ulaya

KOCHA wa Dodoma FC, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameweka wazi kuwa msa­nii wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ ni...

READ MORE

Ngassa: Nasubiri tu Mkataba wa Yanga

  WAKATI viongozi wa Yanga wakiwa wanafanya jitihada za kuinasa saini ya kiungo wa Ndanda FC ya Mtwara, Mrisho Ngassa,...

READ MORE

Gor Mahia Mabingwa SportPesa Super Cup, Waifunga Simba 2-0

TIMU ya Gor Mahia ya Kenya wametwaa ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa mara ya pili mfululizo baada ya ushindi...

READ MORE

Manji Arudishwa Yanga, Kuongoza Mpaka 2020

  WANACHANA wa klabu ya Yanga leo hii wamepinga hatua kujiuzulu kwa aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji.  katika...

READ MORE

SINGIDA MSHINDI WA TATU SPORTPESA SUPER CUP, YAIPIGA HOMEBOYZ 4-1

Timu ya Singida United imefanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya SportPesa Super Cup baada ya kutoka sare na...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Awapa Yanga Miezi 2 Kuitisha Uchaguzi (Video)

MKUTANO Mkuu wa mwaka wa Klabu ya Yanga SC unaendelea muda huu kwenye Bwalo la Maafisa wa Jeshi la Polisi,...

READ MORE

MATOLA KOCHA MPYA SIMBA

BAADA ya Simba kumtimua Kocha Mkuu, Mfaransa, Pierre Lechantre, mabosi wa timu hiyo wamefikia uamuzi wa kuikabidhi timu hiyo kwa...

READ MORE

Salamba Aapa Kupambana Na Okwi…

  STRAIKA mpya wa Simba, Adam Salamba anafahamu kila kitu kuhusiana na mtihani na ushindani alionao mbele ya Emmanuel Okwi...

READ MORE

Gwiji wa Everton Amwaga Vifaa kwa Watoto, Aitabiria Ubingwa Gor Mahia

GWIJI wa Soka Nigeria na Everton FC ya Uingereza, Yakubu Aiyegben amekabidhi vifaa mbalimbali vya michezo kwa watoto wa vituo mbalimbali...

READ MORE

Rasmi Mfaransa Out Simba Sc … Sh Milioni 90 Zatajwa

  RASMI sasa Kocha wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, ametimuliwa Msimbazi. Hii ni baada ya Championi kunasa taarifa hizo takriban...

READ MORE

GOLDEN WARRIORS YAWABAMIZA CAVS 4-0, YATWAA UBINGWA NBA

  TIMU ya Golden State Warriors imetwaa ubingwa wa ligi ya mpira wa kikapu Marekani (NBA) baada ya kuendeleza ubabe...

READ MORE

Samatta, Alikiba Hapatoshi Uwanja wa Taifa Leo

 BAADA ya Ally Salehe Kiba ‘Alikiba’ kutamba timu yake itaibuka na ushindi mbele ya timu ya Samatta, mwenyewe ameibuka...

READ MORE

NDONDO CUP YAANZA KUTIMUA VUMBI, DCB BENKI YANOGESHA – PICHAZ

Michuano ya timu za mitaani maarufu kama Ndondo CUP jana ilizinduliwa rasmi kwenye Uwanja wa Kinesi uliopo Ubungo Shekilango Jijini...

READ MORE

Yanga Kumtambulisha Wawa Ijumaa

UONGOZI wa Yanga unaendelea kufanya usajili kimyakimya na umakini mkubwa kwa ajili ya kuimarisha kikosi chao ambapo wamepanga kuwatambulisha wache­zaji...

READ MORE

Kauli ya Manara, Kapombe Kuelekea Fainali – Video

  Kocha Msaidizi wa Simba, Masoud Djuma, amekabidhiwa majukumu yote ya Mfaransa Pierre Lechantre kwa kipindi hiki baada ya kuondoka...

READ MORE

Joti Amtahadharisha Kiba, Leo Kazi Ipo – Video

Straika wa Kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefunguka kuwa amejipanga vizuri na jeshi lake kuhakikisha wanaibuka na ushindi mkubwa katika...

READ MORE

YANGA YAJITOA MASHINDANO YA KAGAME CUP

Uongozi wa klabu ya Yanga umeandika barua kwenda TFF kuiomba kujitoa katika mashindano ya Kagame Cup yanayotarajiwa kuanza Juni 29...

READ MORE

Nyosso Mambo Safi Yanga

  KUNA uwezekano mkubwa beki wa zamani wa Simba na Mbeya City, Juma Nyosso akasaini Yanga akitokea Kagera Sugar.  ...

READ MORE

Yanga Yampelekea Barua Manji

  MAANDALIZI ya Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga yamekamilika kwa asilimia kubwa huku ikipanga kutoa mwaliko maalum kwa aliyekuwa...

READ MORE

Ufaransa Wababe Wanaopewa Nafasi Urusi 2018

KUNA mataifa mengi yanapewa nafasi kubwa ya kufanya vizuri kwenye Kombe la Dunia mwaka huu.   Zikiwa zimebaki siku nane...

READ MORE

United Wamsajili Beki wa Porto

  KLABU ya Man United imekamilisha usajili wa beki Diogo Dalot kutoka kwenye kikosi cha Porto cha Ureno.   Huu...

READ MORE

Soka la Jumamosi: Alikiba Asema Samatta Ataondoka Uwanjani Akilia

    MKALI wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ally Salehe Kiba  ‘Alikiba’,  amemuonya mwanasoka  mshambuliaji wa klabu ya Ubelgiji...

READ MORE

SIMBA YAFUZU FAINALI SPORTPESA CUP, YASHINDA PENALTI 5-4

    Klabu ya soka Simba imefanikiwa kuingia fainali ya Michuano ya SportPesa Super Cup baada ya kuiondosha klabu ya...

READ MORE

MAKUNDI Ligi la Vijana Under 20 (Uhai Cup 2018) Haya Hapa

  DROO ya upangaji wa makundi kwa timu 16 zitakazoshiriki ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 (U20)...

READ MORE

LECHANTRE AIGOMEA SIMBA NUSU FAINALI DHIDI YA KAMEGA

Kocha Mkuu wa Simba, Pierre Lechantre leo amekaa jukwaani Simba ikicheza mechi ya nusu fainali ya Kombe la SportsPesa Super...

READ MORE

WARRIORS YAKARIBIA KUPATA UBINGWA DHIDI YA CAVS, YASHINDA GAME 3

  TIMU ya Golden State Warriors imebakisha mchezo mmoja kunyakua taji la Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA)...

READ MORE

RAMOS AVUNJA UKIMYA, HATIMAYE AFUNGUKIA KUMUUMIZA SALAH

  BEKI na Nahodha wa Real Madrid ya Hispani, Sergio Ramos amesema hatua ya Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah kumshika...

READ MORE

Shiza Kichuya Apelekwa TP Mazembe

  KIUNGO mshambuliaji Mtanzania anayekipiga Klabu ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco, Simon Msuva, amepata taarifa za kiungo wa...

READ MORE

Kigogo Yanga Awashangaa Waliojiuzulu

KAIMU Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Clement Sanga, ameonyesha kushangazwa na hatua zilizochukuliwa za kujiuzulu kwa wajumbe wawili wa kamati...

READ MORE

Kauli Ya Hatuna Fedha Inavyoimaliza Yanga

YANGA imeondolewa kwenye michuano ya Sportpesa Super Cup ambayo inaendelea nchini Kenya. Awali moja ya timu ambazo zilikuwa zinapewa nafasi...

READ MORE

Kisa Chirwa…Yanga Yawaita Simba

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umeibuka na kuweka wazi kwamba umewapiga pini wachezaji wake wote kwa kutosajiliwa na timu nyingine...

READ MORE

GOLDEN STATE WANACHAPA TU, SASA NI 2-0

WABISHI Golden State Warriors juzi walifanya maajabu tena baada ya kuwachapa Cleveland Cavaliers kwenye mchezo wa pili wa fainali ya...

READ MORE

SIMBA SC, YANGA KUKUTANA TENA

Wakongwe wa soka Tanzania, Simba SC na Yanga SC wamepangwa Kundi C katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na...

READ MORE

SINGIDA UNITED YAUNGANA NA SIMBA NUSU FAINALI SUPER CUP

  SINGIDA United imeungana na Simba kuingia hatua ya nusu fainali ya mashindano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa...

READ MORE

PENATI ZA SIMBA VS K SHARKS 3-2 – VIDEO

TIMU ya Simba kimefanikiwa kusonga mbele mpaka hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa...

READ MORE

UCHAMBUZI: Mechi Simba VS K Sharks 3-2 – Video

Kikosi cha Simba kimefanikiwa kusonga mbele mpaka hatua ya nusu fainali ya michuano ya SportPesa Super Cup kwa ushindi wa...

READ MORE