×

Michezo

KIKOSI CHA WACHEZAJI BORA LIGI KUU BARA 2017/18, SIMBA YAONGOZA

Wachezaji waliounda kikosi bora cha msimu wa 2017/18 katika Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara. 1.Aishi Manula 2.Hassan Kessy 3.Shafiq Batambuze...

READ MORE

KIUNGO YANGA ASAINI SIMBA KWA MIL.30

KIUNGO mchezeshaji wa Simba anayesifika kwa mashuti ya mbali, Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibra’ rasmi anasaini mkataba wa kuendelea kuichezea timu...

READ MORE

Usajili Mpya Yanga Noma

USAJILI Yanga ni noma kwani kila kitu kuhusu nani anaachwa, anatolewa kwa mkopo na maingizo mapya kikosini humo yatajulikana leo...

READ MORE

Kichuya: Yanga Wakileta Mpunga Natavunja Mkataba

MCHEZAJI kipenzi cha mashabiki wa Simba, Shiza Kichuya tayari amesaini mkataba wa miaka miwili Simba lakini amesema kama Yanga watakwenda...

READ MORE

Manula: Kuingia Na Taulo Uwanjani Siyo Ubishoo

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema kitendo cha yeye kuingia na taulo uwanjani siyo uchawi wala ubishoo bali...

READ MORE

Tunisia Wapigwa 5-2 na Ubelgiji, Watolewa Kombe la Dunia

TUNISIA leo imepokea kipigo kingine katika michuano ya Kombe la Dunia baada ya kukumbana na kipigo cha ‘mbwa mwizi’ cha...

READ MORE

Mwambusi Apata Timu Ghana, Agoma

TANZANIA ina upungufu wa makocha wazawa wanaofundisha soka nje ya nchi lakini juzikati Kocha Msaidizi wa Azam, Juma Mwambusi alipewa...

READ MORE

Kiungo Yanga Kumfuata Samatta Ubelgiji

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Emmanuel Martin huenda akaachana na timu hiyo na kutimkia Klabu ya Waasland Beveren inayoshiriki Ligi Kuu...

READ MORE

TUZO MCHEZAJI BORA VPL LEO NI LEO

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), leo Jumamosi linatarajiwa kutoa tuzo mbalimbali kwa wale waliofanya vizuri kwenye Ligi Kuu Bara...

READ MORE

MWANA FA: MIE HISPANIA ILA BRAZIL MABINGWA

STAA wa Muziki wa Hip Hop Bongo, Hamisi Mwinjuma ‘Mwana FA’, ameweka wazi kuwa yeye ni shabiki wa timu ya...

READ MORE

RATIBA NA MATOKEO YA MECHI ZOTE KOMBE LA DUNIA HADI FAINALI

HAPA nimekuwekea ratiba ya mechi zote za michuanpo ya Fainali za Kombe la Dunia 2018 zizakazopigwa nchini Urusi, kuanzia mechi...

READ MORE

Wema Siye England Ndiyo Mabingwa Kombe la Dunia

ACHA kabisa kwani mastaa mbalimbali wameonekana kufuatilia kwa ukaribu mkubwa michuano ya Kombe la Dunia, sasa muigazaji Wema Sepetu amesema...

READ MORE

Nandy Anamfuata Salah Nchini Urusi

  STAA wa Kibao cha Ninogeshe, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema uwezo mkubwa wa mshambuliaji Mohammed Salah ndiyo uliomfanya yeye akaishabikia...

READ MORE

Nigeria Yawatafuna Iceland Bao 2-0

NIGERIA ilizinduka leo kwa kuichapa Iceland mabao 2-0, matokeo ambayo yamefufua matumaini yao ya kutinga kwenye hatua ya mtoano ya...

READ MORE

Coutinho na Neymar Watupia Dhidi ya Costa Rica

Timu ya Brazil, leo imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Costa Rica na kukaa kileleni mwa Kundi E katika...

READ MORE

Refa Amuomba Jezi Ronaldo Mechi Ikiendelea

Refa Mark Geiger aliyechezesha mchezo wa Kundi B Kombe la Dunia juzi Juni 20, 2018 kati ya Morocco dhidi ya...

READ MORE

Umaarufu Wa Kocha Senegal Haushikiki Urusi

  ALIOU Cissé ndiye kocha pekee Mwafrika katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Urusi, umaarufu wake umekuwa mkubwa...

READ MORE

Ramos Amponda Maradona, Amsifia Messi

  BEKI wa Hispania, Sergio Ramos amesema Diego Maradona ameachwa mbali kiuwezo uwanjani na Lionel Messi, pindi unapoamua kuwalinganisha nguli...

READ MORE

ARGENTINA YAPIGWA NA CROATIA BAO 3-0, Messi Hoi

Kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kimeshindwa kutamba mbele ya Croatia baada ya kukumbana na kichapo cha mabao 3-0....

READ MORE

UFARANSA YAIPIGA PERU, YAFUZU

TIMU ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kusonga Hatua ya 16 ya Kombe la Dunia ikiwa na mchezo mmoja mkononi baada...

READ MORE

Mkongo Yanga Awasubirisha Mbenin, Nyosso

  LICHA ya kamati ya muda ya usajili ya Klabu ya Yanga kuendelea na mipango yake kwa kutumia njia ya...

READ MORE

Yanga Fanyeni Haraka, Julai 18 Siyo Mbali

MABINGWA wa zamani wa Tanzania Bara, Yanga, ndiyo wamesalia kuwa wawakilishi wa Tanzania kwenye michua­no ya kimataifa kwa ngazi ya...

READ MORE

Simba Wamruhusu Mavugo Kwenda Mbao

BAADA ya timu ya Mbao FC kumtaka mshambuliaji wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, kuziba pengo la Hababu Kiyombo, uongozi wa...

READ MORE

Coutinho Awaita Mezani Yanga SC

KIUNGO mshambuliaji wa zamani wa Yanga hivi sasa anaichezea Klabu ya Al Naser ya nchini Libya, Andrey Coutinho amewaambia viongozi...

READ MORE

MTIBWA SUGAR MABINGWA UHAI CUP (UNDER 20)

  TIMU ya Mtibwa Sugar wamefanikiwa kuipoka Simba ubingwa wa michuano ya Vijana wa Timu za Ligi Kuu Bara chini...

READ MORE

SIMBA WASHINDI WA TATU UHAI CUP (UNDER 20)

Timu ya vijana cha Simba kimefanikiwa kuwa mshindi namba 3 wa michuano ya Vijana wa Timu za Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Kocha Yanga Awaondoa Kina Tshishimbi Dar

KOCHA Mkuu wa Yanga mwenye uraia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, ameomba kambi ya nje ya Jiji la Dar es...

READ MORE

Simba Mpya Ya Mo Dewji Kufuru

SIMBA walianza kumsainisha Marcel Kaheza wa Majimaji, akafuatia Adam Salamba wa Lipuli. Mashabiki wakaguna…aaah jamaniieee watacheza wapi wote hao mastraika?...

READ MORE

Straika Simba Aitwa Kenya

STRAIKA chipukizi wa Simba, Moses Kitandu, amepata dili la kujiunga na timu ya Nakumatt ya Kenya baada ya kuonyesha kiwango...

READ MORE

RONALDO, HISPANIA VITANI KUSAKA TIKETI YA MTOANO

CRISTIANO Ronaldo akiongoza timu yake ya Ureno na Hispania zina kibarua kizito cha kufungua njia ya kufuzu kwa hatua ya...

READ MORE

Tambwe: Yanga Wananidai, Ninabaki

MSHAMB-ULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Amissi Tambwe raia wa Burundi ameibuka na kuweka wazi kwamba katika kipindi hiki cha usajili...

READ MORE

Kagera: Juma Kaseja Ondoka Tu

NI kama uongozi wa Kagera Sugar umeamua kumruhusu mlinda mlango wao mahiri, Juma Kaseja, kujiunga na timu yoyote ambako ataona...

READ MORE

Chirwa Ajiunga Na Ismailia Ya Misri

STRAIKA Mzambia, Obrey Chirwa, amefanikiwa kujiunga na Ismailia inyoshiriki Ligi Kuu ya Misri kwa mkataba ambao umefanywa kuwa ni wa...

READ MORE

SENEGAL HATARI, YAWAPIGA POLAND

SENEGAL imekuwa timu ya kwanza kuwatoa kimasomaso Waafrika baada ya jana Jumanne kuichapa Poland mabao 2-1, kwenye mchezo wao wa...

READ MORE

Mo Afuata Mastraika Wawili Matata

UONGOZI wa Simba chini ya mwekezaji, Mohamed Dewji ‘Mo’, umepanga kufunga usajili kwa kusajili washambuliaji wawili profesheno kutoka nchi za...

READ MORE

CHAZ BABA MKEWE KIMENUKA

UBUYU siku zote hauhitaji kijiwe maalumu cha kuumung’unya popote unaumung’unya tu iwe barabarani, kiwanjani hata kwenye gari twende tu! Mwanamuziki...

READ MORE

Gor Mahia Waleta Kikosi cha Pili Kagame Cup

MABINGWA mara mbili mfululizo wa SportPesa Super Cup, Gor Mahia FC ya Kenya, wamepanga kukitumia kikosi chao cha pili katika...

READ MORE

Yanga Yamfuata Kipa wa TP Mazembe

RASMI Kamati ya Usajili ya Yanga inayoongozwa na Abbas Tarimba imemfuata kipa wa TP Mazembe, Vumi Ley Matampi kwa ajili...

READ MORE

Niyonzima, Mkude Out

SIMBA imepanga kuwapumzisha wachezaji wake mastaa wa kikosi cha kwanza katika michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kufanyika jijini Dar...

READ MORE

Lechantre Apewa Mshahara wa Sh 120m Libya

  SIKU chache baada ya uongozi wa Simba kuachana na aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Mfaransa, Pierre Lechantre, imebainika...

READ MORE