×

Michezo

Croatia Yaiangamiza Uingereza, Yatinga Fainali – Video

Timu ya Taifa ya England imeaga michuano ya Kombe la Dunia kwa kupoteza mchezo wa nusu fainali dhidi ya Croatia...

READ MORE

Dakika 120 Za Mcongo Simba Acha Kabisa

KWA mara ya kwanza baada ya kutua nchini na kujiunga na kikosi cha Simba, kiungo mpya wa timu hiyo, Kakule...

READ MORE

Ustaa Wa Salamba Wateka Mazoezi Simba SC

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, mashabiki wa Simba juzi walim­vamia kaimu kocha mkuu wa timu hiyo Mrundi, Masoud Djuma na...

READ MORE

TFF Yaiongezea Yanga Watatu Wa Kimataifa

SHIRIKISHO la Soka Tan­zania (TFF), limepanga kuongeza idadi ya wachezaji wa kimataifa kwa klabu za Ligi Kuu Bara kutoka saba...

READ MORE

Kocha Simba Ataka Wachezaji 27 Tu

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Mrundi, Masoud Djuma, amesema kuwa kikosi chake kinahitaji kuwa na wachezaji 27 pekee huku akiahidi...

READ MORE

Ufaransa Yaichapa Ubelgiji, Yatinga Fainali Kombe la Dunia – Video

Timu ya taifa ya Ufaransa imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya kombe la Dunia baada ya kuifunga Ubelgiji...

READ MORE

TARIMBA AJITOA KAMATI YA KUISAIDIA YANGA, AFUNGUKA MAZITO

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Mpito ya kuivusha Yanga, Abbas Tarimba ametangaza kuachia ngazi kwenye wadhifa huo kwa madai...

READ MORE

MWAMUZI WA FIFA MKENYA ALIVYOREKODIWA AKIPOKEA RUSHWA – VIDEO

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limemfungia maisha mwamuzi wa Kenya, Aden Marwa baada ya kugundulika amepokea hongo (rushwa)...

READ MORE

Beki Mrundi Aomba Mkataba Yanga

BEKI wa kulia wa Gor Mahia ya Kenya, Mrundi, Karim NIzigiyimana, amefunguka kuwa yupo tayari kujiunga na Yanga kwa ajili...

READ MORE

KIUNGO MCONGO ATUA SIMBA USIKU MNENE

SIMBA chini ya mwekezaji wake, Mohammed Dewji ‘Mo’, imedhamiria kuwakomesha wapinzani wake. Hii ni baada ya juzi usiku kushusha kiungo...

READ MORE

Saa 24 Baada ya Hierro Kusepa, Enrique Atangazwa Kocha Hispania

ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Barcelona ya Hispania, Luis Enrique, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa timu ya Hispania baada ya...

READ MORE

Paulinho Aondoka Barecelona, Arejea China

  KIUNGO wa timu ya soka ya Brazil,  Paulinho, ameondoka katika klabu ya Barcelona ya Hispania na kurejea kwenye klabu...

READ MORE

Kagere: Ninaanza na Rekodi Hii Simba

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Meddie Kagere, raia wa Rwanda, ameweka bayana kuwa malengo yake ya kwanza ndani ya timu hiyo...

READ MORE

Kocha wa Hispania Ajiuzulu Baada ya Kuondolewa Kombe la Dunia

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Hispania, Fernando Hierro (50) ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ikiwa ni siku chache baada...

READ MORE

Beki Singida United Atibua Usajili Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, raia wa DR Congo, Mwinyi Zahera, ametamka kuwa beki wa pembeni wa Singida United, Michel Rusheshangoga,...

READ MORE

Gor Mahia Yamchelewesha Kahata Simba SC

UONGOZI wa timu ya soka ya Gor Mahia ya Kenya, umeitaka Simba kutuliza mzuka katika harakati zake za kumwania kiungo...

READ MORE

ENGLAND KUIVAA CROATIA NUSU FAINALI

CROATIA itaivaa England kwenye nusu fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuwatoa wenyeji Urusi kwa penalti 4-3 kwenye mechi...

READ MORE

England Vs Sweeden: Beckham, Zlatan Wawekeana Dau

UBISHI wa kimichezo wa kuwekeana dau umezuka  baina ya nyota wa soka wa Uingereza (England), David Beckham (aliyestaafu) na  Zlatan...

READ MORE

Simba Yashtuka, Yasaka Mbadala Wa Wawa

  SIMBA ni kama imeshtukia vile ni baada ya benchi la ufundi la timu hiyo kuuomba uongozi umsajili beki mwingine...

READ MORE

Salamba: Kagere Atazima Ndoto Zangu

MABAO mawili aliyofunga mshambuliaji mpya wa Simba, Meddie Kagere kwenye michuano ya Kombe la Kagame yamemtisha straika wa timu hiyo,...

READ MORE

Yanga Wamuandalia Manji Mapokezi Kabambe

WENYEVITI wa matawi ya Yanga kesho Jumapili watakutana na uongozi wa kwa ajili ya kupanga mikakati ya jinsi ya kumpokea...

READ MORE

Ufaransa Yaiangamiza Uruguay 2-0, Varane, Griezmann Hatari, Suarez Hoi

TIMU ya Taifa ya Ufanransa imefanikiwa kutinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya kuitungua Uruguay kwa bao 2-0...

READ MORE

Shabiki Ajiua Kisa Messi Kuondolewa World Cup

  SHABIKI kija­na amepoteza maisha baada ya timu ya taifa ya Argentina kufun­gwa na Ufaransa na kuondolewa katika Kombe la...

READ MORE

Kiungo Aitabiria Simba Ubingwa Wa Kagame

KIUNGO mshambuliaji chipukizi wa Simba, Rashid Juma, amesema kuwa upana wa kikosi chao unawapa nafasi kubwa ya kutwaa Kombe la...

READ MORE

Kagere Afungukia Mabao Yake

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Meddie Kagere, amefungukia mabao yake mawili ambayo ameyafunga kwenye michuano ya Kagame inayoendelea jijini Dar es...

READ MORE

Yanga: Simba Wamepatia Mmoja Tu!

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka umafia waliofanyiwa na watani zao Simba, juu ya aliyekuwa mchezaji wa Lipuli FC ya...

READ MORE

Kocha Mpya wa Simba ni Patrick Aussems Kutoka Ubelgiji

VIONGOZI timu ya Simba wameamua kumshusha kimyakimya siku ya Jumapili kocha Patrick Aussems kutoka Ubelgiji ili kufanya mazungumzo ya kuchukua...

READ MORE

Biashara United Watambulisha Kocha Mpya

TIMU ya Biashara United ya Mara leo wamemtambulisha kocha mkuu wao ambaye ni raia wa Rwanda, Hitimana Thierry. Kocha huyo...

READ MORE

WATOTO WAWEKA LENGO KUIPELEKA TANZANIA KOMBE LA DUNIA

WATOTO wa Kitanzania, Laigwanani Mollel na Ziporah Godfrey Mollel walioshiriki michuano ya soka kimataifa ya Football for Friendship (F4F) wameondoka...

READ MORE

‘First Eleven’ Simba Yakunja Milioni 500

KIKOSI cha Simba kikiwa bado kwenye mchakato wa kuimarishwa, imeelezwa kuwa, mpaka sasa wachezaji 11 ambao sawa na idadi ya...

READ MORE

MAMILIONI YA USAJILI YATUA YANGA

TETESI za kwamba muda wowote wiki hii, kipenzi cha wana Yanga Yusuf Manji atatangaza kurejea Jangwani zikaushie kwanza.   Kuna...

READ MORE

DILI RONALDO KUSEPA MADRID LAIVA, EURO 88M KUMPELEKA JUVE

HATIMAYE Juventus wana uhakika kuwa watamsainisha mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo. Kwa mujibu wa habari zilizopo, mchezaji huyo wa...

READ MORE

Straika wa Motema Pembe, Ngassa Mambo Safi Yanga

    KOCHA Mkongomani, Mwinyi Zahera amejiridhisha kwamba straika Heritier Makambo na Mrisho Ngassa wana uwezo wa kucheza Yanga msimu...

READ MORE

CAF Yawafungulia Mtibwa Michuano ya Kimataifa

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema limepokea barua kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Africa CAF inayoelezea kuwa...

READ MORE

ENGLAND YATINGA ROBO FAINALI KIBISHI

ENGLAND wamefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia baada ya kushinda kwa penalti 4-3 MOSCOW, Urusi baada...

READ MORE

Wachezaji Timu ya Taifa Walala Mtaani – Pichaz

WACHEZAJI wa timu ya taifa ya rugby ya Zimbabwe wamelazimika kulala mitaani nchini  Tunisia wakisubiri mechi yao mwishoni mwa wiki...

READ MORE

Ubelgiji Yaiangamiza Japan Dakika za Nyongeza – Video + Pichaz

TIMU ya Taifa ya Ubelgiji imeipa kichapo Japan na kuiondosha katika michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi baada ya...

READ MORE

Brazil Habari ni Nyingine, Yaitungua Mexico 2-0 (Video + Picha)

TIMU ya taifa ya Brazil imeendelea kuchakaza kwenye michuano ya Kombe la Dunia baada ya kuiangamiza Mexico na kuiondoa katika...

READ MORE

Mo Salah Asaini Miaka 5 Liverpool, Mshahara Wake Wavunja Historia

KLABU ya Liverpool imemsainisha mkataba wa miaka mitano, mshambuliaji Mohamed Salah kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2023 huku akiongezewa...

READ MORE

Croatia Yaiua Denmark, Yatinga Robo Fainali

Croatia wanakwenda ROBO FAINALI baada ya ushindi wa mikwaju ya penalti 3-2 dhidi ya Denmark… Penalti ya mwisho imepigwa na...

READ MORE