×

Michezo

Kocha Mtibwa: Pointi ya Yanga Itatupa Ubingwa

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Bara, Mtibwa Sugar kuwang’ang’ania kooni mabingwa watetezi, Yanga na kuwalazimisha suluhu, Kocha Mkuu wa...

READ MORE

LUKAKU AUMIA TIMU YA TAIFA, MOURINHO ANG’AKA

Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu na kuna uwezekano akakukosa mchezo wa timu...

READ MORE

Rais Ataja Siri Nzito ya Ronaldo na Zidane

RAIS wa Real Madrid Florentino Perez, amewataja Cristiano Ronaldo na Zinedine Zidane kuwa ndiyo nembo ya klabu hiyo kutokana na...

READ MORE

Mnyarwanda Aingia Vitani na Okwi

STRAIKA wa Singida United, Mnyarwanda, Danny Usengimana, amesema ndiyo ameanza kazi ya kufunga na ataendelea kufanya hivyo ili kufikia lengo...

READ MORE

Lwandamina Afunguka Pengo la Tambwe Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina, amefungukia pengo la straika wake, Amissi Tambwe, raia wa Burundi. Tambwe ambaye msimu...

READ MORE

Ajibu, Niyonzima Wawavuruga Yanga

WAKATI kivumbi cha Ligi Kuu Bara kikizidi kupamba moto, baadhi ya mashabiki wa timu ya Simba juzi Jumamosi walijikuta wakiingia...

READ MORE

FT: YANGA 0-0 MTIBWA SUGAR UWANJA WA UHURU

MPIRA UMEKWISHA KADI DK 90+4 Makapu analambwa kjadi ya njano kwa kumuangusha Mohammed SUB Dk 90+4 Ismail Aidan anaingia kuchukua...

READ MORE

Simba vs Yanga sasa ni CCM Kirumba

SIKU moja baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiga marufuku kutumika kwa Uwanja wa Taifa, Dar es...

READ MORE

Kisa Ajibu, Juma Abdul Aongezewa Mbinu

KATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi kwa kutumia mipira ya pembeni, Kocha wa Yanga, George Lwandamina amemuongezea mbinu beki wake...

READ MORE

Yanga Yatamba Kuipiga Mtibwa

YANGA leo inacheza na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, lakini imetamba kushinda....

READ MORE

WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU

MTANANGE wa soka kati ya timu ya wasanii wa Bongo Fleva na wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano Airtel, umetimua vumbi...

READ MORE

KUN AGUERO AVUNJIKA MBAVU AJALINI

MSAMBULIAJI wa Klabu ya Soka ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina, Sergio Kun Aguero, amepata ajali ya...

READ MORE

Ajibu Apindua Rekodi ya Simba

STRAIKA mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amefanikiwa kuipindua rekodi yake ya mabao kwa msimu uliopita alipokuwa akiitumikia Simba baada ya...

READ MORE

Carlo Ancelotti Atimuliwa Bayern Munich

Kocha wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti amefutwa kazi jana kufuatia mwanzo mgumu wa msimu wa 2017/18 yakiwemo matokeo ya juzi...

READ MORE

Niyonzima: Tutakachowafanya Stand United Watajuta

KIUNGO wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema kuwa watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo ili kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao...

READ MORE

Haji Manara Amfungukia Kocha Omog Kuondoka Simba – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Simba, Haji Sunday Manara amefunguka kwa kina kuhusu tetesi zinazosambaa mitandaoni kwenye vyombo vya habari kuwa...

READ MORE

Ngoma akifunga, Yanga Wana Pointi Moja

LICHA ya mshambuliaji wa Yanga, Mzimbabwe, Donald Ngoma kuoneka­na siyo lolote mbele ya mashabiki wa timu hiyo kutokana na kushindwa...

READ MORE

Unafiki Ndiyo Utamfukuzisha Kazi Omog

‘OMOG afuku­zwe’, ‘Omog abaki’, ‘Omog hatufai’, ‘Omog ni tatizo’, ‘timu haziche­zi vizuri tatizo ni Omog’. Hizo ni baadhi ya kauli...

READ MORE

Mtibwa: Bahati Iliwabeba Ruvu Shooting

  TIMU ya Mtibwa Sugar kutoka mkoani Morogoro imedai kuwa bahati tu ndiyo iliyowaokoa Ruvu Shooting chini ya Msemaji wao,...

READ MORE

Mayweather Anunua Jumba la Bilioni 56, Cheki Picha

KWA watu wengi, kumiliki majumba Las Vegas na Miami ingetosha kuwafanya waone wameshamaliza kazi, lakini Floyd Mayweather yupo tofauti na...

READ MORE

Washindi Sita wa M-Bet Wajichotea Milioni 195/=

JUMLA ya washindi sita wa mchezo wa kubahatisha wameshinda kitita cha Sh milioni 26.7 kila mmoja baada ya kufanikiwa kubashiri...

READ MORE

Kocha Simba: Ajibu wa Sasa Anatisha

BAADA ya juzi Jumamosi, mshambuliaji Ibrahim Ajibu kuiongoza Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC ya...

READ MORE

Niyonzima: Tulieni, Simba Hii Bingwa

KIUNGO wa Simba, Myarwanda, Haruna Niyonzima, amewatu­liza mashabiki wa timu hiyo, akidai licha ya matokeo ya sare waliyoyatoa dhidi ya...

READ MORE

Omog Ndiyo Basi Tena Kwa Nyoni

BEKI kiraka wa Simba, Erasto Nyoni, amefanikiwa kumteka akili kocha mkuu wa timu hiyo, Mcameroon, Joseph Omog baada ya kufanikiwa...

READ MORE

Cannavaro: Tambwe Atafuta Ufalme wa Okwi

BEKI kisiki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, amesema kuwa licha ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi kufunga mabao sita hadi...

READ MORE

Yanga Yaitandika Ndanda Uwanja wa Uhuru bao 1-0

TIMU ya Yanga, leo Jumamosi imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ndanda FC kwenye Uwanja wa Uhuru jijini...

READ MORE

FT: YANGA SC 1-0 NDANDA FC

MPIRA UMEKWISHA SUB Dk 90+2 Yanga wanamtoa Ngoma na anaingia Emmanuel Martin SUB Dk 90+1 Abdul Hamis anaingia kwa Ndanda, anatoka...

READ MORE

NEYMAR AWEKWA NJE YA UWANJA PSG, HOFU YATANDA

Mshambuliaji Neymar huenda akaukosa mchezo wa timu yake ya PSG itakapopambana dhidi ya Montpellier kutokana na kudaiwa kuwa na majeraha...

READ MORE

Kocha Atangaza Kosi la Maangamizi Taifa Stars -(Video)

KOCHA wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza majina ya kikosi cha wachezaji watakaounda kikosi hicho...

READ MORE

Okwi: Mbao Siyo Watu Wazuri Kabisa

STRAIKA wa Simba, Emmanuel Okwi, amesema hakuweza kufanya vizuri katika mchezo dhidi ya Mbao FC, kwani mabeki wa wapinzani wao...

READ MORE

MWAMUNYANGE AKABIDHI KOMBE FAINALI ZA TULIA CUP TUKUYU MBEYA

Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Davis Mwamunyange amekabidhi kombe  kwa timu ya Ndanto FC, baada ya kushika nafasi  ya kwanza kwenye...

READ MORE

Nduda: Nikipona Tu Manula Anatoka Golini

SAID Mohamed ‘Nduda’ ni kipa wa Simba am­baye amesajiliwa msimu huu aki­tokea Mtibwa Sugar ya mko­ani Morogoro a m b...

READ MORE

Chamberlain Kapeleka Mikosi Liverpool

DIRISHA la usajili wa Ulaya lilifungwa tangu Agosti 31, mwaka huu, kabla ya kufungwa usajili ul­iowashangaza wengi ni Liver­pool kumsajili...

READ MORE

Rooney Akatwa Mshahara wa Wiki Mbili

KLABU ya Everton iliyo katika ligi kuu ya Uingereza (EPL), imempiga faini mchezaji wake, Wayne Rooney, kwa kumkata mshahara wa...

READ MORE

LIVE KUTOKA CCM KIRUMBA: MBAO 2-2 SIMBA (FULL TIME)

FULL TIME DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 89, Kipa wa Mbao FC anadaka vizuri shuti la faulo KADI Dk 88,Mohammed...

READ MORE

Spoti Hausi LIVE: Safari ya Gazeti la Championi Nchini Uingereza

#SpotiHausi ni kipindi cha #Michezo kinacholetwa kwako na #GlobalTVOnline kila #Alhamisi saa 10:00 jioni. Mwandishi mahiri wa Gazeti la Championi, Saleh...

READ MORE

Tshishimbi Aongoza Kwa Ubabe Yanga SC

KIUNGO mkabaji mpya wa Yanga, raia wa DR Congo, Pappy Kabamba Tshishimbi, ameanza na rekodi mbaya kwenye timu hiyo kwa...

READ MORE

Okwi Azitaka Pointi za Yanga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi, ametangaza kuwa kila mechi kwao ni fainali, hivyo watahakikisha wanapambana kushinda kila mechi...

READ MORE

Mzee Dalali: Emmanuel Okwi Bado Mashine Hatari

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Mzee Hassan Dalali ameibuka na kufunguka kuwa kamati ya usajili ya timu hiyo haikukosea kumsajili...

READ MORE