×

Michezo

Mzunguko Wa Kwanza England… Mambo Yamekwisha

WIKIENDI ijayo timu zote kwenye Ligi Kuu England zinamaliza mzun­guko wake wa kwanza wa ligi hiyo yenye mshikemshike wa kutosha....

READ MORE

Tanzania Yashuka Nafasi 33 Viwango Fifa

  TANZANIA imezidi kuporomoka katika viwango vya soka vinavyotolewa kila mwezi na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) ambapo hivi...

READ MORE

Mo Rasmi Aanza Kumwaga Fedha Simba

MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’ ameanza rasmi kazi ya kuihudumia Klabu ya Simba.   Mo ameanza kuihudumia klabu...

READ MORE

Simba Wafanya Mazoezi ya Mwisho Kuwavaa Green Warriors

KLABU ya Simba mapema leo imefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kesho jioni kuwavaa wapinzani wao, Green Warriors kwenye...

READ MORE

Simba Yamzuia Asante Kwasi Kwenda Polisi

SIMBA ni kama wameshtukia kitu vile, ni baada ya mabosi wa timu hiyo kumzuia beki wao mpya Mghana, Asante Kwasi...

READ MORE

Dakika 20 Za Straika Mpya Yanga Ni Hatari

AKIICHEZEA kwa mara ya kwanza timu yake mpya ya Yanga, mshambuliaji mpya, Yohana Nkomola, amethibitisha ubora wake baada ya kuonyesha...

READ MORE

Kamusoko Arejea Mazoezini Yanga

KIUNGO mkabaji wa Yanga raia wa Zimbabwe Thabani Kamusoko, baada ya kuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi miwili,...

READ MORE

Baada ya Usajili Simba, Asante Kwasi Azua Mapya, Aingia Mitini

KLABU ya Soka ya Lipuli inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara (VPL) imesema mlinzi Asante Kwasi bado ni mchezaji halali wa...

READ MORE

Cannavaro: Akirudi Manji, Mtatutambua

WAKATI mabosi wa Yanga wakiwa kwenye mipango ya kumpa mwekezaji klabu yao, beki na nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub...

READ MORE

Yanga Yaazimia Kumfuta Uanachama Mzee Akilimali

KLABU ya Yanga imeonyesha hali ya kuchoshwa na tabia ya Katibu wa Baraza la Wazee wa Yanga Ibrahim Akilimali za...

READ MORE

INAUMA SANA: Zanzibar Heroes Wamwaga Machozi Hadharani – (Video)

NDOTO ya timu ya taifa ya Zanzibar, Zanzibar Heroes kutwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji iliota mabawa jana Jumapili baada...

READ MORE

Mo Ibrahim Akomba Milioni 50 Simba

UONGOZI wa Klabu ya Simba umempatia kiasi cha milioni 50 kiungo wake Mohamed Ibrahim ‘Mo’ kwa ajili ya kuongeza mkataba...

READ MORE

Ngassa Awaibukia Mbeya City Kudai Mkwanja

LICHA ya kutua Ndanda FC, kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa amepanga kurejea kwenye timu hiyo kwa ajili ya kudai malipo yake...

READ MORE

Gazeti la Spoti Xtra Lapokelewa Kwa Shangwe Mitaani

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra linatolewa na Kampuni ya Global Group, jana toleo lake la kwanza lilipokelewa kwa...

READ MORE

MANCHESTER UNITED YASHINDA, LUKAKU ATUPIA APOTEZEA KUSHANGILIA

Manchester United haijakata tamaa katika kuifukuzia Manchester City kwenye mbio za ubingwa wa Premier League baada ya kupata ushindi wa...

READ MORE

ZANZIBAR YASHINDWA KWA PENATI, KENYA YATWAA UBINGWA WA CHALENJI

  Ubingwa huo umepatikana baada ya matokeo ya mabao 2-2 katika dakika 120, awali timu hizo zilimaliza dakika 90 zikiwa...

READ MORE

Zanzibar Heroes Kurudia Maajabu Fainali Ya Chalenji Dhidi Kenya Leo

ZANZIBAR Heroes leo Jumapili inacheza fainali ya kombe la chalenji dhidi ya mwenyeji Kenya kwenye Uwanja wenye miundo mbinu ya...

READ MORE

Man City Haikamatiki, Yaipiga Tottenham Hotspur Mabao 4-1

NI kama haina mpinzani katika Ligi Kuu ya England kwani Manchester City jana usiku iliifunga Tottenham Hotspur mabao 4-1 na...

READ MORE

Hivi Hii TFF Inawataka Nini Mashabiki

ISHU sasa ni ushiriki wa aibu wa timu ya taifa ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika michuano ya Kombe la...

READ MORE

Mkude Apeleka Meseji Ya MO Kwa Wachezaji

KIUNGO na aliyewahi kuwa nahodha wa Simba, Jonas Mkude amewataka wachezaji wenzake kutambua thamani ya kuvaa jezi ya Simba kwa...

READ MORE

Thaban Kamusoko, Papy Tshishimbi Wapewa Viatu Maalum

DAKTARI wa Yanga, Edward Bavu ameshauri kiungo nyota wa klabu hiyo, Papy Kabamba Tshishimbi atumie viatu visivyokuwa na meno chini...

READ MORE

Gazeti la SPOTI XTRA Siku Ya Kwanza Sokoni leo…Usikose Kujipatia Nakala Yako Kwa 500/- Ni Uhondo Tu

GAZETI jipya la Michezo na Burudani la Spoti Xtra, limezinduliwa rasmi Ijumaa wiki hii, jijini Dar es Salaam. Spoti Xtra...

READ MORE

Kutana na Mapacha wa Neymar, Ronaldo, Messi, Zlatan – (Video)

KATIKA dunia, kufanana ni jambo la kawaida lakina ni nadra sana kukutana na mtu ambaye unaweza kufanana naye kwa asilimia...

READ MORE

Gazeti La Spoti Xtra Kuingia Mtaani Kesho

GAZETI jipya la Michezo na Burudani la Spoti Xtra, limezinduliwa rasmi jana Ijumaa, jijini Dar es Salaam. Spoti Xtra litaanza...

READ MORE

Simeone: Tutamruhusu Griezmann Aondoke

KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesisitiza kwamba klabu yake inaweza kumuuza staa wake, Antoine Griezmann kama walivy-ofanya kwa Diego...

READ MORE

Mourinho Anamshusha Gareth Bale

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho anaamini straika wake Zlatan Ibrahimovic aliyerejea uwanjani hataweza kucheza vizuri kama ilivyo-kuwa awali, hivyo...

READ MORE

Uzinduzi wa Gazeti la Spoti Xtra Waitikisa Arusha, Sasa Mtaani Jumapili Hii

KAMPUNI ya Global Publishers inayochapisha magazeti ya Amani, Ijumaa, Uwazi, Risasi na Championi imezindua Gazeti  Jipya na Bora la Michezo...

READ MORE

Zanzibar Yaichapa Uganda, Yatinga Fainali CECAFA

TIMU ya Taifa ya Zanzibar ‘Zanzzibar Heroes’ imefanikiwa kutinga Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na CECAFA Challenge...

READ MORE

Pialali, Shiva Wapima Uzito Kuzichapa Kesho Bagamoyo

MABONDIA wa ngumi za kulipwa, Mtanzania, Idd Pialali na Shiva Gurgaon mapema leo wamepima uzito tayari kwa pambano la ubingwa...

READ MORE

YANGA WAANZA MCHAKATO WA MABADILIKO

MABOSI wa Yanga wameanza mchakato wa muundo mpya wa uendeshaji wa klabu yao katika kuleta mabadiliko. Hiyo, ikiwa ni siku...

READ MORE

Iniesta: Haitapendeza Neymar Kwenda Madrid

KIUNGO mkongwe wa Barcelona, Andres Iniesta amesema hana hofu kuhusu Neymar kujiunga na Real Madrid lakini akakiri kuwa ikitokea hivyo...

READ MORE

Man City Yavunja Rekodi Ya Arsenal

USHINDI wa mabao 4-0, dhidi ya Swansea City umeifanya Manchester City kuvunja rekodi ya Arsenal ya kushinda mechi nyingi mfululizo...

READ MORE

SIMBA YAPANGWA KUANZA NA TIMU YA DJIBOUTI KOMBE LA SHIRIKISHO

Simba imepangwa kuanza katika raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wawakilishi wa Djibouti, Gendarmerie Tnale.  ...

READ MORE

Yanga, Simba Wapangiwa Vigogo Hawa Michuano ya CAF

Wapinzani wa Simba na Yanga katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho inayoandaliwa na Shirikisho la Soka...

READ MORE

Mo Ibrahim wa Simba Afiwa na Mtoto Wake

  Kiungo wa klabu ya Simba, Mohammed Ibrahim amepata pigo jana baada ya kumpoteza mtoto wake wa kiume aliyefariki dunia...

READ MORE

RATIBA YA SIMBA NA YANGA RAUNDI YA PILI KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM HII HAPA

 Baada ya droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam (Azam Sports Federation Cup – ASFC), kukamilika Jumatano Desemba...

READ MORE

Tambwe arejea, Tshishimbi atoweka

    MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe amerejea rasmi ndani ya kikosi hicho na kuanza mazoezi huku straika mwenzake Mzambia...

READ MORE