×

Michezo

Victor Wanyama Apewa Mtaa Ubungo – Dar

  VICTOR WANYAMA: Meya wa Manispaa ya Ubongo Boniface Jacob, amemtunuku mtaa, Kiungo wa Tottenham ya England Victor Wanyama raia...

READ MORE

Rais Fifa Giovanni Infantino Hakuwahi Kucheza Soka

Kimataifa (Fifa), Giovanni Infantino ni Sports Administrator, yaani mtaalamu wa utawala wa michezo. Infantino ambaye jina lake la utani ni...

READ MORE

Duh! Majimaji Kusajili Timu Nzima

KOCHA wa Majimaji FC ya Ruvuma, Kali Ongala ameibuka na kusema anahitaji kufanya usajili makini kwa ajili ya kukiboresha kikosi...

READ MORE

Msuva Akataa Mshahara wa Mil 9 Kwa Mwezi

OFA ya Simon Msuva kwenda Morocco imekamilika na klabu ya Difaa El Jajida kutoka nchini humo iko tayari kumwaga dola...

READ MORE

Ninja: Nampoteza Emmanuel Okwi Uwanjani

YANGA imemsajili beki wa kati Abdallah Haji Shaibu maarufu kama Ninja kutoka Klabu ya Taifa Jang’ombe ya visiwani Zanzibar, tayari...

READ MORE

Singano Apewa Mshahara Mnono Morocco

RAMADHANI Singano maarufu kama Messi ataondoka nchini wakati wowote kwenda nchini Morocco kumalizia mipango ya kujiunga na Klabu ya Difaa...

READ MORE

Azam Bado Watatu Tu Mziki Utimie

BAADA ya kufanya usajili wa nguvu kwa kuwanasa Mbaraka Yusuph na Salmin Hoza, Azam FC imesema imebakiza nafasi tatu za...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya SportPesa Kusitisha Udhamini kwa Ligi Kuu ya Kenya

  KAMPUNI ya mashindano ya bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya mechi, SportPesa imetangaza kwamba itasitisha udhamini wake kwa Ligi...

READ MORE

Zimbwe Jr: Okwi Njoo Tuwanyooshe

BEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’, amesema ujio wa Emmanuel Okwi utasaidia kuhakikisha wanafanya vizuri na kuzima...

READ MORE

Wanyama: Samatta Atafika Mbali

KIUNGO wa Tottenham Hotspur, Victor Wanyama amesema iwapo straika Mtanzania, Mbwana Samatta atajituma zaidi katika timu yake ya KRC Genk...

READ MORE

Sh Milioni 180 Zampeleka Donald Ngoma Simba

SIMBA imeanza mazungumzo na straika wa Yanga, Donald Ngoma ambaye ameomba dola 80,000 sawa na Sh milioni 180 ili asaini...

READ MORE

TFF: Simba Bingwa Ligi Kuu 2017/18

MKURUGENZI wa Ufundi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Salum Madadi, amesema kwa mwenendo wa usajili wa Simba ulivyo, hakuna...

READ MORE

Tambwe Naye Mbioni Kuikacha Yanga

Sekeseke la usajili wa wachezaji wa Kimataifa unamuhusu pia Amissi Tambwe. SIKU chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza rasmi...

READ MORE

Juma Nyosso kikaangoni tena TFF

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) kupitia kamati yake ya nidhamu chini ya mwenyekiti wake, Tarimba Abbas, linatarajia kumjadili beki...

READ MORE

Simon Msuva: Nitammisi sana Niyonzima

  DAR ES SALAAM: KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva amefunguka kuwa, kitendo cha Haruna Niyonzima kuondoka kikosini hapo, kimemuachia...

READ MORE

Kesho Mapema… Okwi Atakuwa Simba

KLABU ya Simba, imetangaza rasmi kuwa, kesho Jumamosi itampokea straika wao wa zamani, Emmanuel Okwi, tayari kwa kumpa mkataba wa...

READ MORE

Safari ya Everton Kuja Tanzania Yaanza, Maandalizi Yote Yako Poa

Ujio wa klabu kongwe nchini England ya Everton, maandalizi yote yamekamilika. Julai 13, Everton itashuka kwenye dimba la Uwanja wa...

READ MORE

Taifa Stars: Tunaenda Kufanya Kweli Cosafa

  DAR ES SALAAM: KIKOSI cha wachezaji 22 wa timu ya Tanzania, Taifa Stars, jana Alhamisi kiliondoka nchini kuelekea Afrika...

READ MORE

Niyonzima Apewa Jezi no 8, Kazimoto Kwaheri Simba SC

DAR ES SALAAM: BAADA ya kiungo wa zamani wa Yanga, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda kutua Simba, imeelezwa kuwa atakuwa...

READ MORE

Video: Mashabiki wa Yanga Waichoma Moto Jezi ya Niyonzima

Mashabiki wa Yanga wameonyesha hasira zao kwa kuchoma moto jezi ya Haruna Niyonzima. Mashabiki hao wa Yanga wameonyesha kuchukizwa na...

READ MORE

Mkude: Majembe Yaliyosajiliwa Simba ni Hatari

SIKU chache baada ya kiungo mkabaji na nahodha wa Simba, Jonas Mkude kuongeza mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo,...

READ MORE

PICHAZ: Mwili wa Ali Yanga Alivyoagwa Dodoma

MWILI wa aliyekuwa shabiki maarufu ya Klabu ya Yanga, Ally Mohammed maarufu kama Ali Yanga jana uliagwa wilayani Mpwapwa mkoani...

READ MORE

Sanchez: Mbwa Wananipa Mafanikio

MOSCOW,URUSI STAA wa Arsenal, Alexies Sanchez ni kati ya wache­zaji mahiri sana kwenye soka akiwa na uwezo wa hali ya...

READ MORE

Simba Wasafiri na Niyonzima Kigali

DAR ES SALAAM: WAKATI kiungo mchezeshaji wa Yanga, Haruna Niyonzima akitarajiwa kurudi nyumbani kwao Kigali, Rwanda kwa ajili ya kwenda...

READ MORE

USAJILI: Kauli ya Yanga Kuhusu Kuondoka kwa Niyonzima

TAARIFA KWA UMMA ​ Yanga SC kupitia kwa Katibu Mkuu Boniface Mkwasa inapenda kuwajulisha wanachama, wapenzi na washabiki wa Yanga...

READ MORE

Victor Wanyama Atua Bongo, Azitaja Simba, Yanga

DAR ES SALAAM: KIUNGO wa Tottenham Hotspur, Victor Mugubi Wanyama, raia wa Kenya, jana asubuhi aliwasili nchini Tanzania kwa ajili...

READ MORE

Mkude: Majembe Yaliyosajiliwa Simba ni Hatari

Dar es Salaam: SIKU chache baada ya kiungo mkabaji na nahodha wa Simba, Jonas Mkude kuongeza mkataba mpya wa kuendelea...

READ MORE

Tshabalala Achimba Mkwara Mzito Simba

  BEKI wa kushoto wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amefunguka kuwa kamwe hatakubali kuona anapokonywa nafasi yake kirahisi na mchezaji...

READ MORE

Yanga Yashtuka, Yaanza Kumwekea Ulinzi Msuva

KLABU ya Yanga, imesema kuwa, inamlinda kiungo wake mshambuliaji, Simon Msuva dhidi ya watu wabaya wanaotaka kuharibu kipaji chake na...

READ MORE

Okwi aibana Simba, ataka 110m asaini

  MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Uganda, Emmanuel Okwi, amewataka viongozi wa Simba kama wanahitaji saini yake, waweke milioni 110 mezani...

READ MORE

Yanga: Himid Kataka 60m, Tunampa

DAR ES SAALM: YANGA baada ya kumkosa Jonas Mkude wa Simba aliyeamua kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia timu hiyo,...

READ MORE

Mo Adondosha Milioni 125 Simba

DAR ES SALAAM: JUZI uongozi wa Simba ulifanya hafla ya kutoa tuzo kwa wachezaji wake waliofanya vizuri katika michuano ya...

READ MORE

Kumnunua Ronaldo ni Sh. Trilioni 1.3 Waambiwa Man U, PSG

  REAL MADRID imesema inaweza kupokea Paundi milioni 350  ambazo ni sasa na Sh. Trilioni 1.3 ili kumruhusu mchezaji wao...

READ MORE

Taarifa Ya Usajili Kuhusu Niyonzima Kusaini Simba Miaka Miwili Hii Hapa…

Baada ya Yanga kumsajisili Ibrahim Ajibu kwa dau nono la shilingi milioni 50 pamoja na kumpa usajifiri wa gari, sasa...

READ MORE

Simba Wamtunuku Mo Dewji Tuzo Ya Heshima, Zimbwe Naye Apewa Tuzo Yake

Kundi la mtandaoni la WhatsApp la Simba HQ,  limetoa  tuzo maalum ya heshima kwa mwanachama wa muda mrefu wa Klabu...

READ MORE

Ufunguzi Ndondo Cup 2017… Makuburi FC Vs Stim Tosha Zatoshana Nguvu

LEO Jumamosi Juni 17 zilikuwa shamra shamra za uzinduzi wa michuano ya soka la mitaani maarufu kama Ndondo Cup 2017...

READ MORE

Uchaguzi TFF Kazi Ipo, Wanaowania Urais Dhidi Ya Malinzi Wafikia Watatu

Uchaguzi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), umepangwa kufanyika Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma. Tayari wagombea wameanza kuchukua fomu...

READ MORE

Makundi Na Ratiba Ya Kombe La Mabara Inayoanza Leo Hii Hapa..

Kombe la Mabara inatarajiwa kuanza leo Jumamosi nchini Urusi ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya kufanyika kwa fainali za Kombe...

READ MORE