×

Michezo

Lwandamina Aanza Kazi Rasmi, Awafagilia Wachezaji Yanga

   KOCHA mkuu wa Yanga SC George Lwandamina aliyeingia mkataba na Yanga SC hivi karibuni akitokea Zesco United nchini Zambia,...

READ MORE

Pichaz: Hayawi Hayawi… Kocha Lwandamina Atambulishwa Rasmi Yanga SC

DAR ES SALAAM: HAYAWI HAYAWI YAMEKUWA; Kocha mpya wa Klabu ya Yanga, George Lwandamina ametua kikosini hapo na kukabidhiwa jukumu...

READ MORE

Steven Gerrard Atangaza Ramsi Kutundika Daruga

UINGEREZA: Aliyewahi kuwa nahodha wa timu ya soka ya Liverpool na timu ya Taifa ya Uingereza, Steven Gerrard atangaza ramsi...

READ MORE

Man United Kumuongezea Mkataba Zlatan Ibrahimovic

KLABU ya Manchester United imesema kuwa itamuongezea kandarasi ya mwaka mmoja mshambuliaji wake mahiri, Zlatan Ibrahimovic kulingana na kauli iliyotolewa...

READ MORE

Mahakama Yataka Neymar Afungwe Jela Miaka 2

WAENDESHA mashtaka nchini Hispania wamemtaka mshambuliaji wa Barcelona Neymar kufungwa jela miaka miwili kufuatia kuhusika kwake katika kesi ya ufisadi...

READ MORE

Matumaini ya Arsenal Kuongoza Kundi Yamebuma Yatoka Sare Na PSG bao 2-2

Mshambuliaji wa PSG, Edinson Cavani akifunga bao dakika ya 18 kipindi cha kwanza usiku wa kuamkia leo  Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Pichaz: Manchester United Wajiwinda Dhidi ya Feyenoord Kesho

Kikosi cha kwanza cha Manchester United chini ya bosi wao Jose Mourinho leo kimefanya mazoezi katika Uwanja wa mazoezi wa...

READ MORE

Mbunge Mkuranga Azindua Ulega Cup

Mbunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega (kulia) akijiandaa kuupiga mpira ili kuzindua mashindano hayo. Ulega (katikati) akiwa katika picha...

READ MORE

Yanga Yamtangaza Rasmi Lwandamina Kuwa Kocha Wao, Kuanza Kazi Mzunguko wa Pili

Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC leo asubuhi akihojiwa na waandishi wa habari, amefafanua kwa kina ujio wa kocha mpya George...

READ MORE

Tamasha la Mziki Mnene Lawapagawisha Wakazi wa Mwananyamala Chini ya Vodacom Tanzania

Wasanii wa muziki wa Singeli wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki huo kwenye tamasha lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania la Mziki...

READ MORE

Makamu Mwenyekiti wa Zamani Yanga Afariki Dunia

KLABU ya Yanga leo alfajiri imepata pigo baada ya kuondokewa na mmoja kati ya  viongozi wake wa juu waliopata kuiongoza...

READ MORE

Manchester United Watoshana Nguvu na Arsenal

Manchester United wanaonolewa na Kocha asiyeishiwa maneno, Jose Mourinho waliyokuwa nyumbani kweye uwanja wao wa Old Trafford, wameshindwa kutamba mbele...

READ MORE

Tabiri Mshindi wa Leo Kati Manchester United Vs Arsenal

Here it is – your @Arsenal team to play Manchester United#MUFCvAFC pic.twitter.com/sHEgfu4okr — Arsenal FC (@Arsenal) November 19, 2016 Today’s...

READ MORE

Antoine Conte na Hazard Wanyakua Tuzo

Kocha wa Chelsea Antoine Conte na kiungo wake Eden Hazard wametangazwa washindi wa tuzo za EPL za mwezi October, Conte...

READ MORE

Wakati Mourinho Akimfanyia Figisu, Bastian Schweinsteiger Anyakuwa Tuzo Kwao Ujerumani

Kiungo wa Kimataifa wa Ujerumani anayechezea Man United ya England Bastian Schweinsteiger ameshinda tuzo ya heshima ‘Special Jury’ kwa mchango wake katika...

READ MORE

Rekodi za Jose Mourinho vs Arsene Wenger, Kesho Hapatoshi Old Trafford

Moja kati ya michezo ya soka itakayovuta hisia za watu wengi ni mchezo kati ya Man United dhidi ya Arsenal...

READ MORE

Rooney Alewa Harusini, Ampigia Magoti Meneja Wake

Wayne Rooney amemuomba radhi Kaimu Meneja wa Timu ya Taifa ya Uingereza, Gareth Southgate baada ya picha kutolewa zikimuonesha akiwa...

READ MORE

Lwandamina Siwezi Kuwatema Wachezaji Kabla Ya Kuwaona

  Kocha mpya wa Yanga, George Lwandamina  (kushoto) akiwa na Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally. Na Saleh...

READ MORE

Kampuni ya Wajapani Yaijaza Barcelona Mamilioni

Hiroshi Mikitan (kulia) ambaye ni Mmliki wa Kampuni ya Rakuten akiwa na Rais wa Barcelona baada ya kusaini mkataba mpya....

READ MORE

Azam FC Yawasajili Nyota Wawili Kutoka Ghana

Uongozi wa Klabu ya Azam FC jana ulisaini mikataba na washambuliaji wawili nyota kutoka nchini Ghana ambao ni Samuel Afful...

READ MORE

Guardiola Huwataka Wachezaji Kutofanya Mapenzi Baada ya Saa 6 Usiku

Mchezaji wa Ufaransa katika safu ya kati Samir Nasri amefichua kwamba mojawapo ya ufanisi mkubwa wa mkufunzi Pep Guradiola ni...

READ MORE

Ligi ya Vijana Under 20 Kuzinduliwa Leo Bukoba

Ligi ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 za klabu zote za Ligi Kuu ya Vodacom inatarajiwa kuanza...

READ MORE

Zimbambwe Yaichapa Taifa Stars 3-0

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) leo kimeshindwa kufurukuta baada ya kukubali kipigo cha mabao 3-0 kutoka...

READ MORE

Waziri Nape Atembelea Uwanja wa Nyamagana Mwanza

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye (wa nne kulia), akiteta jambo na Afisa Habari, Ofisi ya Mkuu...

READ MORE

Mabingwa wa NBA Wakiongozwa na LeBron James Walivyoenda Kumuaga Obama Ikulu

MAREKANI: Staa wa kikapu nchini Marekani katika Ligi ya NBA, LeBron James ameiongoza timu yake ya Cleveland Cavaliers kutembelea ikulu...

READ MORE

Brazil Yainywesha Argentina Bao 3-0, Messi Hoi kwa Neymar!

Kujua anajua sana na uwezo wake ni wa tofauti na wengine. Akiwa na miaka 17-18 tu tayari alikuwa ngumzo nchini...

READ MORE

Taifa Stars Yaondoka Mchana Huu Kuelekea Zimbabwe

DAR ES SALAAM: Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeondoka leo Ijumaa, Novemba 11, saa 7.15 mchana,...

READ MORE

Yanga SC Watuma Salamu za Rambirambi kwa Kifo cha Mbunge Ali Tahir

Uongozi wa klabu ya soka ya Yanga unasikitika kutangaza kifo cha mwanachama wake Mhe Hafidh Ally Tahir kilichotokea mjini Dodoma...

READ MORE

Yanga Waipa Kichapo cha Bao 2-1 Ruvu Shooting (Pichaz+Video)

DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga leo imeichapa timu ya maafande wa Ruvu Shooting kwa bao 2-1, mchezo wa kukamilisha...

READ MORE

Maofisa wa TFF Wapandishwa Mahakamani Kwa Tuhuma Za Rushwa

Maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Juma Matandika na Martine Chache, leo Jumatano wamepandishwa kwenye Mahakama ya Kisutu jijini...

READ MORE

Mamia Wamzika Bosi wa Azam Dar

     Maziko ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Azam, Said Mohammed yakifanyika katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Lwandamina Aachia Zesco, Aanika Anakoelekea Baada ya Hapo

Lusaka, Zambia: KOCHA Mkuu wa Klabu ya Zesco United ya Zambia, George Lwandamina amejiuzulu nafasi yake hiyo jana baada ya...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Aongeza Mkataba Madrid Hadi 2021, Anyakua Tuzo LaLiga

Madrid, Hispania: Straika wa Klabu ya Real Madrid na nahodha wa Timu ya Taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amekubali kuongeza...

READ MORE

Video ya Magoli: Africans Lyon Ilivyovunja Rekodi za Simba SC

African Lyon imekuwa timu ya kwanza kuifunga Simba SC tangu kuanza kwa ligi kuu Tanzania bara msimu huu wa 2016/17....

READ MORE

Kikosi cha Yanga SC Leo Dhidi ya Tanzania Prisons

1. Beno Kakolanya 2. Mbuyu Twite 3. Mwinyi Haji 4. Vicent Bossou 5. Kelvin Yondani 6. Thabani Kamusoko 7. Yusufu...

READ MORE

Hawa Ndiyo Mafundi 23 wa Soka Watakaowania Tuzo ya Mchezaji Bora wa FIFA 2016

Orodha ya wachezaji 23 waliotajwa jana na Shirikisho la Soka Duniani kuwania tuzo ya Mchezaji Soka Bora wa Kiume 2016....

READ MORE

Haya ni Maneno ya Yaya Toure Akiwaangukia Miguuni Man City

MANCHESTER: Kiungo wa kati wa Manchester City amesalimu amri na kumuomba msamaha wasimamizi wa klabu hiyo baada ya kutochezeshwa kwa...

READ MORE

Europa: Man U Yachapwa Ugenini, Genk ya Samatta Yapigwa 5-3 Hispania

Michuano ya Ligi ya Europa iliendelea jana usiku, November 3 kwa michezo kadhaa kupigwa huku Manchester United ikiendelea kupoteza michezo...

READ MORE