×

Michezo

Mchungaji Mashimo Awaonya Simba Na Yanga Wasipotoa Sadaka – Video

Mchungaji Mashimo amesema kuwa kama Simba wasipoenda kutoa Sadaka ya Shukran kwake basi watafungwa na Al Ahly.

READ MORE

Hapa Ndipo Ulipo Ujanja Wa Maxi Bongo

MAXI Nzengeli nyota wa Yanga mwenye spidi na uwezo wa kutoa pasi ndefu na fupi akiwa ndani ya uwanja ujanja...

READ MORE

Mastaa Wajazwa Noti Mapemaaa robo fainali ya AFL dhidi ya Al Ahly

WACHEZAJI wa Simba washindwe wao tu sasa hivi hiyo ni baada ya kuhakikishiwa kupewa pesa ya maana katika michezo miwili...

READ MORE

Michezo Ya Kasino Mitandaoni Ndio Mchongo Mzima Pale Meridianbet Kwasasa

Mchongo mzima kwasasa ni Michezo ya Kasino mtandaoni pale Meridianbet ambapo wamekuja na promosheni yao ambayo itawawezesha wateja wao kupiga...

READ MORE

EURO Imekuja Kivingine Safari Hii Wengi Wanapiga Mkwanja Unasubiri NIni?

Wewe kama mteja wa Meridianbet je bado unajiuliza utamalizaje siku ya leo? Basi mimi nakwmabia hivi Jumanne ya leo imalizie...

READ MORE

Vifo vya Mashabiki Wawili wa Sweden Vyapelekea Mechi Kuahirishwa

Mchezo wa kufuzu EURO 2024 kati ya Ubelgiji na Sweden umeahirishwa baada ya wachezaji kugoma kurudi uwanjani kipindi cha pili...

READ MORE

Rais Samia Apewa Tano Kuimarisha Michezo Mashindano ya Cherehani CUP

Mashindano ya CHEREHANI CUP 2023 yamefika ukomo tarehe 15 Octoba 2023 katika uwanja wa Nyamilangano yakiwa yamefanyika kwa zaidi ya...

READ MORE

Job Amtuliza Che Malone Ndani ya mechi Tano Ashikilia Rekodi

MWABA Dickson Job, beki wa kazi ndani ya kikosi cha Yanga, amemtuliza mazima Che Malone Fondoh wa Simba kwenye kuzuia...

READ MORE

Simba Yaitisha Al Ahy Michuano ya African Football League

ZIKIWA zimesalia takribani siku nane kabla ya Simba hijacheza dhidi ya Al Ahly katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya...

READ MORE

Wafahamu Mastaa 10 wa Soka wasiokuwa na Tattoo Mwilini Mwao

  Mpira wa Miguu ni sehemu ya kaaida ya maisha ya wanadamu, mashabiki na wachezaji huwa na hisia moja ya...

READ MORE

Phiri Atangaza Balaa Jipya Simba Kuvuka rekodi ya Mabao

BAADA ya kuifungia Simba bao la ushindi katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate, Jumapili iliyopita,...

READ MORE

GGML wakabidhi basi jipya lenye thamani ya Mil. 500 kwa Geita Gold FC

Na Mwandishi Wetu Uongozi wa Mgodi wa Geita Gold Mining Limited (GGML) ambao ndio wadhamini wakuu wa Klabu ya Geita...

READ MORE

Simba: Yanga Inatupa Ubingwa baada ya kupoteza dhidi ya Ihefu kwa mabao 2-1

UONGOZI wa Simba, umesema kwamba, kupoteza kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu, kuliwaongezea nguvu ya...

READ MORE

Kila Ijumaa Meridianbet Inakurejeshea 10% Ukichezo Lucy6 na Keno

Ifanye Ijumaa kuwa ni siku ya bahati kwako, hata Cristiano Ronaldo anasema kwamba anaipenda namba 7 kwakuwa ni namba yake...

READ MORE

Pacome Atuma Salamu Simba Atamba kuendelea na Mwendelezo wa Kufunga

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga raia wa Ivory Coast, Pacome Zouzoua, amesema hatabweteka na mabao matatu aliyoyafunga katika Ligi Kuu Bara...

READ MORE

Taifa Stars Yapangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari...

READ MORE

Unamjua Osman Bey (Burak Ozcivit), Ana Utajiri wa Kiasi Gani?

Burak Ozcivit wengi mnamfahamu kwa jina la Osman Bey kama jina lake la uigizaji lilivyo, ndoto zake zilikuwa ni kuwa...

READ MORE

Kocha wa Yanga, Gamondi Ana Dawa Ya Wapinzani Ligi ya Mabingwa Afrika

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga, amesema kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuwatambua wapinzani wao katika hatua ya...

READ MORE

Kocha wa Simba Atamba Kupiga Wote Hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira ‘Robertinho’,  amefunguka kuwa, amefuatilia  timu anazokutana nazo kwenye hatua ya makundi ya Ligi...

READ MORE

Bosi Avujisha Siri Nzito Simba… Watamba Kuuchukua Ubingwa wa Ligi Kuu

AHMED Ally ambaye Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba, amesema ili wajihakikishie nafasi kubwa ya kuuchukua ubingwa wa Ligi Kuu...

READ MORE

Blackjack Live Inarahisisha Maisha Kila Ukicheza

Watengenezaji wa michezo ya kasino mtandaoni Expanse Studios, inakuletea mchezo rahisi kucheza na kushinda kupitia Meridianbet Kasino Mtandaoni, ukikutana na...

READ MORE

Kocha AS Vita Awapa Angalizo Simba, Yanga Michuano ya Kimataifa

KOCHA Msaidizi wa AS Vita ya DR Congo, Roul Shungu, amefunguka kuwa, Simba na Yanga zina uwezo wa kufika mbali...

READ MORE

Simba Yatamba Kuendeleza Rekodi Yake leo dhidi ya Singida Fountain Gate

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira, amesema kuwa wanahitaji kuendelea na rekodi zao za kupata matokeo mazuri kwenye mechi za...

READ MORE

ARSENAL DHIDI YA MAN CITY KUKUPA MKWANJA WA KUTOSHA NA MERIDIANBET WIKIENDI HII

Wikiendi hii itapigwa mechi kali sana katika simba la Emirates ambapo klabu ya Arsenal washika mitutu kutoka jiji la London...

READ MORE

Mwandishi na Mhariri Mtendaji, Saleh Ally Aweka Rekodi Mpya FIFA

Mwandishi mkongwe wa michezo nchini na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally, maarufu kama Salehjembe, ameandika rekodi nchini ya...

READ MORE

GGML waitia ndimu Geita Gold FC vs Yanga, basi jipya lawasili

NA MWANDISHI WETU HATIMAYE changamoto ya usafiri kwa timu ya Geita Gold FC. imetatuliwa baada ya basi jipya la timu...

READ MORE

Manula Aleta Tabasamu Simba kipa Ayoub Lakred Atajwa

WAKATI mashabiki wa Simba baadhi wakiwa hawana imani na kipa Ayoub Lakred kutokana na kuruhusu mabao katika mechi mbili za...

READ MORE

Ratiba Ya Makundi CAF: Simba Yapewa Wydad, Yanga Uso Kwa Uso Na Al Ahly

DROO ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika imekamilisha ambapo vigogo 16 wa Afrika wamebaini wapinzani wao huku...

READ MORE

Bingwa wa Kombe la Dunia Hulipwa Pesa Hizi

Kombe la Dunia ni kombe lenye thamani kubwa zaidi kwenye mchezo wa mpira wa miguu, ukiachilia mbali mashindano mengine ya...

READ MORE

Wababe wa Yanga Wamepangwa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika – Ratiba Ipo Hapa

WABABE wa Yanga na Singida Big Stars katika Kombe la Shirikisho Afrika USM Alger, Future wamepangwa kundi A kwenye mashindano...

READ MORE

Droo ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kuchezwa leo

Droo ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) inatarajiwa kuchezwa leo...

READ MORE

Simba Yabadili Gia Kwenye Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

UONGOZI wa Simba, umeweka wazi kuwa, utarejea ukiwa imara zaidi na mwendo mwingine kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Kiungo Aondolewa Yanga Spoti Xtra Yapata Taarifa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Farid Mussa, ameondolewa katika kambi ya timu hiyo, kutokana na maumivu ya misuli aliyoyapata mazoezini. Nyota...

READ MORE

Pesa, Pesa, Pesa Ipo Huku Meridianbet Kupitia Mechi za Europa

Kijana wa Kitanzania kwenye safari ya kutimiza ndoto zako najua utakuwa unawaza ni lini utazifikia hizo ndoto. Lakini mimi nakwambia...

READ MORE

Mashine 2 Zaipa Jeuri Simba leo Dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Sokoine

HUKU wakitarajiwa kuvaana na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaopigwa leo Alhamisi kwenye Uwanja wa Sokoine jijini...

READ MORE

Uhispania, Morocco na Ureno kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia mwaka 2030

Morocco, Uhispania na Ureno zimetajwa kuwa wenyeji wa Kombe la Dunia la soka mwaka 2030, huku Uruguay, Argentina na Paraguay...

READ MORE

Yanga Yakubali Kipigo Mbele Ya Ihefu Kwa Mara Nyingine Kwenye Dimba La Highland Estate – Video

KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi, amekaribishwa kwenye Ligi Kuu Bara rasmi baada ya jana kushuhudia kikosi chake kikikandwa na Ihefu...

READ MORE

Deuces Wild Pesa kama Zote!! Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako

Nafasi ya kuwa tajiri unayo mikononi mwako, lakini kuna kisa kimoja nataka ukifahamu kabla sijakupa mchongo kamili wa jinsi ya...

READ MORE

Ligi Ya Mabingwa Imerejea Kibabe Na Meridianbet

Najua unajua kuwa leo na kesho Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya itachzewa lakini je unaju kuwa ni wapi utapiga mkwanja...

READ MORE

Arteta Afichua Jambo Arsenal “Tunatakiwa Kushambulia kwa Haraka”

MIKEL Arteta, amesema timu yake ya Arsenal imekuwa ikiruhusu mabao mengi hasa ikicheza nyumbani kutokana na wachezaji wake kuwa na...

READ MORE