×

Michezo

Chelsea Yajiandaa Kuachana na Nyota Wake Wawili, Kocha Abariki Waondoke

KLABU ya Chelsea inajiandaa kuachana na nyota wake wawili ambao wanatarajia kuondoka klabuni hapo kwa mkopo wa msimu mzima.  ...

READ MORE

Yanga Kucheza Dhidi ya Mabingwa wa Uganda Kilele cha Wiki ya Wananchi

KLABU ya Yanga inatarajiwa kucheza dhidi ya Mabingwa wa Ligi ya nchini Uganda klabu ya Vipers katika kilele cha wiki...

READ MORE

Yanga Wana Jambo Zito, Wanazungumza na Waandishi na Habari Muda Huu-Video

KLABU ya Yanga inaongea na wananchi kupitia kwa waandishi wa habari muda huu. 

READ MORE

Klabu ya Simba Yaja Kivingine Yatambulisha Slogan Mpya “We Are Unstoppable”

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema kuwa msimu huu klabu hiyo imejipanga kurudisha makombe yote ya ndani na kuhakikisha...

READ MORE

Yanga ni Raha na Vicheko Yatamba Kubeba Makombe Yote Tena Msimu Huu

NDANI ya Yanga kwa sasa ni raha na vicheko tu kutokana na fedha ambazo zinaendelea kuingia kwenye timu hiyo kupitia...

READ MORE

CEO wa Yanga Senzo Abwaga Manyanga Sababu za Kifamilia Zatajwa

KAMATI ya Utendaji ya Klabu ya Yanga ambayo iliketi jana Julai 30, 2022 ilipokea na kujadili pendekezo la  Senzo Hammilton...

READ MORE

NBC Dodoma Marathon Kutikisa, Mamilioni Yatangazwa kwa Washindi

TAYARI maandalizi ya kuelekea kwenye mbio za Kimataifa za NBC Dodoma Marathon, yamekamilika.   Ambapo kesho Julai 31 mwaka huu,...

READ MORE

Arsenal Yamtangaza Odegaard Kuwa Nahodha Mpya, Arithi Mikoba ya Xhaka

KLABU ya Arsenal imemtangaza rasmi Martin Odegaard kama Nahodha mpya kuelekea msimu mpya wa 2022/2023.   Arsenal ilimsajili mchezaji huyo...

READ MORE

Chelsea Kumnasa Cristiano Ronaldo, Wachambuzi Wadai Kwa Sasa Hastahili Kuchezea Man United

KLABU ya Chelsea wametakiwa kufanya kila wawezalo ili kumnasa Cristiano Ronaldo katika usajili mkubwa, wakati anataka kuondoka Manchester United au...

READ MORE

Mayele Avunja Ukimya Aanika Mkataba Wake, Akanusha Kuwa kwa Mkopo Yanga

HATIMAYE Mshambuliaji wa Yanga, Fiston Mayele amevunja ukimya juu ya mkataba wake na Yanga, ambapo ameweka wazi kuwa yeye si...

READ MORE

Kocha Maki Awachimba Mkwara Mzito Mastaa wa Simba Okrah, Chama, Sakho

BAADA ya  Jumatano kukubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Klabu ya Haras El Hadood ya Misri kwenye mchezo wa...

READ MORE

Pogba Ahofia Kukosa Kombe la Dunia Kama Akifanyiwa Oparesheni ya Goti

KIUNGO wa Juventus, Paul Pogba, ana hofu kuwa anaweza kukosa fainali za Kombe la Dunia kama atalazimika kufanyiwa oparesheni ya...

READ MORE

Mbio za Marathon Jumuiya ya Madola Kurindima Asubuhi Hii Birmingham, Simbu Yumo

TANZANIA leo inatupa kete za kwanza katika riadha Michezo ya Jumuiya ya Madola wakati wanariadha wanne wa mbio ndefu (Marathon)...

READ MORE

Pawasa awafungia kazi Malawi Beach Soka

      TIMU ya taifa ya Tanzania ya Ufukweni walipoteza dhidi ya Malawi ugenini kwa mabao 3-2 ambapo mchezo...

READ MORE

Sistiinho: Nimemuelewa Sana Sheria Ngowi kwenye Ubunifu Wake wa Jezi za Yanga

MCHAMBUZI wa soka kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na Studio za Global TV na 255 Global Radio Sistiinho, ameoneshwa...

READ MORE

Pitso Akubali Ombi la Yanga, Sasa Kutua Dar kwa Wiki ya Mwananchi

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Al Ahly ya Misri, Pitso Mosimane raia wa Afrika Kusini ameitikia ombi la Klabu ya Yanga...

READ MORE

Saleh Jembe: Tarimba Hahusiki kwa Simba Kujitoa kwenye Dili la Udhamini wa SportPesa

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally Jembe ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazoeneo mitandaoni kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...

READ MORE

Mfaume: Yanga Haikustahili Mkataba Ule na SportPesa, Tarimba Ameweka Ushabiki

MCHAMBUZI wa Soka kutoka kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na Studio za Global TV na Global Radio, Mfaume Nalinga ametoa...

READ MORE

Chelsea Yamfungia Kazi Winga wa Zamani wa Manchester United, Kutengeneza Pacha na Sterling

BAADA ya kukamilisha usajili wa winga wa Uingereza kutoka katika klabu ya Manchester City, Raheem Sterling klabu ya Chelsea imehamishia...

READ MORE

Yanga Yalamba Dili la Bilioni 12 Kutoka SportPesa, Yaweka Rekodi Mpya

KLABU ya Yanga imeingia makubaliano na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa wenye thamani ya Shilingi Bilioni 12.033 ambao...

READ MORE

Yanga Wanasaini Mkataba wa Kihistoria Muda Huu, Rais Hersi Ahudhuria-Video

KLABU ya Yanga Inasaini Mkataba wa Kihistoria na Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya SportPesa kwa ajili ya Udhamini wa...

READ MORE

Mapya Yaibuka Sakata la Ronaldo na Manchester United, Mendez Apigilia Msumari

SAKATA la mshambuliaji wa Manchester United ya nchini Uingereza Cristiano Ronaldo limechukua sura mpya mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika jana...

READ MORE

TFF Yasikitishwa na Madai ya Manara, Yatoa Tamko Rasmi Kuhusu Sakata Hilo

KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa Klabu ya...

READ MORE

Manara Amtaka Waziri Mchengerwa Asimamie Haki ya kiapo Chake cha Katiba

MSEMAJI wa Yanga Haji Manara ameongea na waandishi wa habari kuelezea sakata lake la kufungiwa kujihusisha na masuala ya michezo...

READ MORE

Simba Yapata Mbadala wa Sakho, Ni Baada ya Wydad Kutuma Ofa ya Bilioni 1.6

JEAN Morel Poé, ndiyo jina lililopo kwenye meza ya majadiliano ya viongozi wa Klabu ya Simba wakiangalia uwezekano wa kumsajili...

READ MORE

Live: Manara Anatoa Tamko Rasmi Kuhusu Hukumu Yake, Atangaza Maamuzi Magumu Mbele ya Wanahabari-Video

KWA mara ya kwanza afisa muhamasishaji wa Yanga, Haji Manara, amefunguka mbele ya wanahabari kuhusiana na hukumu yake ya kufungiwa...

READ MORE

Chelsea Kumbakiza Lukaku Mazima Inter Milan, Waongeza Mkataba wa Mkopo Wake

KLABU ya Chelsea imeripotiwa kufikiria uwezekano wa kumbakiza kwa mkopo wa mwaka mwingine zaidi mchezaji wake Romelu Lukaku hadi mwisho...

READ MORE

Saleh Jembe: Wazee wa Yanga Waheshimu Mamlaka, Hata Mama Samia Anaelewa

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ ameoneshwa kushangazwa na kitendo cha wazee wa klabu ya Yanga kutaka kwenda kuonana...

READ MORE

Sh bilioni 1.1 zakusanywa kampeni GGM Kili Challenge 2022

    KAMPUNI ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kwa kushirikiana na Tume ya Kudhibiti Ukimwi nchini (TACAIDS), imeendelea kuweka...

READ MORE

Yanga Rasmi Yaanza Mazoezi Avic Town, Kocha Nabi Awakosa Mastaa 7

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa, mastaa 7 wa timu hiyo watajiunga na wenzao kambini mara baada ya kumaliza majukumu...

READ MORE

Sopu Ang’ara Stars Ikiichapa Somalia Kufuzu Kwa Michuano Ya CHAN 2023

TIMU ya Taifa ya Tanzania, inayonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen, jana iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...

READ MORE

Sistiinho: Outtara ni Mbadala Sahihi wa Serge Wawa, Yanga Hawana Tatizo Lolote

MCHAMBUZI wa soka kupitia kipindi cha Krosi Dongo  na Sports Zone kinachorushwa na studio za 255Global Radio na Global TV...

READ MORE

Msuva Apata Dili Jipya Timu ya Uarabuni, Alamba Milioni 28 kwa Wiki

MCHEZAJI raia wa Tanzania Simon Msuva (28) amesaini mkataba wa mwaka mmoja na klabu ya Al Qadsiah inayoshiriki Ligi Daraja...

READ MORE

PSG na AS Roma Wafikia Makubaliano ya Uhamisho wa Wijnaldum

KLABU ya Paris Saint German ya nchini Ufaransa na AS Roma ya Italia imefikia makubaliano ya uhamisho wa kiungo raia...

READ MORE

Manara Aaachane na Marafiki Wanafiki Wanaomdanganya kuwa Hana Makosa

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Ally ‘Jembe’ amesema Haji Manara anapaswa kujiweka mbali na marafiki wanafiki ambao wanamjaza upepo (Kumdanganya)...

READ MORE

Poulsen Asikitishwa Taifa Stars Kunyimwa Fursa ya Kuutumia Uwanja wa Benjamin Mkapa

KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Kim Poulsen amesikitishwa na kitendo cha Mamlaka za soka kuinyima ruhusa...

READ MORE

Klabu ya Simba Yakamilisha Usajili wa Beki Kisiki Kutoka Sudan, Anaingia Kuziba Pengo la Wawa

  KLABU ya Simba imekamilisha usajili wa mlinzi wa kati kutoka klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan Mohamed Ouattara....

READ MORE

Rais wa Senegal Ampongeza Pape Ousmane Sakho kwa Kutwaa Tuzo ya CAF

RAIS wa Senegal Macky Sall amempongeza mshambuliaji wa Simba raia wa Senegal Pape Ousmane Sakho kwa kutwaa tuzo ya bao...

READ MORE

Aliou Cisse, Kocha wa Timu ya Taifa ya Senegal ashinda Tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka

ALIOU Cisse, amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwaka na Shirikisho la Soka Afrika (CAF).   Aliou Cisse, 46, aliiongoza Senegal...

READ MORE