×

Michezo

Pape Ousmane Sakho Ashinda Tuzo ya Goli Bora la Mwaka katika Usiku wa Tuzo za CAF Nchini Morocco

KIUNGO Mshambuliaji wa Klabu ya Simba Pape Ousmane Sakho, ang’aa kwenye usiku wa utoaji wa tuzo za Shirikisho la Mpira...

READ MORE

Morrison Ampiga Mkwara Mzito Kapombe, Atamani Ligi Ianze Wamalizane

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, raia wa Ghana, Bernard Morrison, ameahidi kuwagaragaza mabeki atakaokutana nao msimu ujao akiwemo beki wa kulia...

READ MORE

Chelsea Mbioni Kukamilisha Usajili wa Beki Mbadala wa Christensen

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza ipo mbioni kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati wa klabu ya Sevilla ya nchini...

READ MORE

Manara Afungiwa Kujihusisha na Soka kwa Miaka 2, Apigwa Faini ya Milioni 20.

KAMATI ya Maadili ya TFF imetoa hukumu ya kumfungia Msemaji wa Yanga Haji Manara kujihusisha na masuala ya soka kwa...

READ MORE

Kamati Ya Maadili (Tff ) Inazungumza Muda Huu na Waandishi wa Habari

KAMATI ya Maadili ya TFF inazungumza na waandishi wa habari juu ya sakata la Msemaji wa Yanga Haji Manara na...

READ MORE

Barcelona Yamfungia Kazi Azpilicueta, Chelsea Yaandaa Mbadala Wake Kutoka Ujerumani

KLABU ya Barcelona ya nchini Hispania ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha uhamisho wa beki na Nahodha wa klabu...

READ MORE

Aishi Manula Asaini Mkataba Mpya Kuendelea Kubaki Mitaa ya Msimbazi

GOLIKIPA namba moja wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania Aishi Manula ameongeza mkataba mpya wa kuendelea...

READ MORE

Azam FC Wamepania, Washusha Beki Kitasa Kutoka Ligi Kuu ya Nchini Senegal

BEKI wa kati Malickou Ndoye raia wa Senegal amefunga rasmi usajili wa Azam FC katika dirisha kubwa la msimu wa...

READ MORE

Manara Athibitisha Yanga Kuweka Kambi Avic Town, Atangaza hatma ya Ushindi

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amebainisha kuwa klabu yake itaweka kambi katika eneo la Avic Town lililopo Kigamboni...

READ MORE

Live: Manara Afunguka Pre Season ya Yanga Kufanyika Kigamboni, Atangaza Balaa la Wiki ya Mwananchi-Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara pamoja na Hassan Bumbuli, wamezungumza na waandishi wa habari leo Julai 19, 2022...

READ MORE

Mshambuliaji wa Borussia Dortmund Agundulika na Saratani ya Tezi Dume

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Borussia Dortmund raia wa Ivory Coast Sebastien Haller amegundulika kuwa na matatizo ya saratani ya tezi...

READ MORE

Bayern Munich Yamnasa Beki wa Juventus De Ligt, Kusaini Mkataba wa Miaka Mitano

KLABU ya Juventus ya Italia imekubali kumuuza Beki wake wa kati, Matthijs de Ligt (22) kwenda  kwa mabingwa wa Ujerumani...

READ MORE

Kagere Amalizana na Simba Licha ya Kwenda Misri Hatakuwa Sehemu ya Kikosi Msimu Ujao

INAELEZWA kuwa, straika wa Simba, Meddie Kagere, tayari amemalizana na uongozi wa klabu hiyo kwa baadhi ya mambo ambapo hatakuwa...

READ MORE

Simbachawene: Kampeni GGM Kili Challenge Imesaidia Mapambano ya Kudhibiti Ukimwi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amesema jitihada za Kampeni ya GGM...

READ MORE

Simba Yawekewa Ngumu Kwenye Usajili wa Manzoki, Vipers Yadai Bado Ana Mkataba

KLABU ya Simba ipo kwenye wakati mgumu kuhakikisha inamalizana na straika wa Vipers, Cesar Manzoki ambaye mkataba wake umebaki miezi...

READ MORE

Barcelona na Lewandowski Jambo Limeisha Asaini Mkataba wa Miaka Mitatu

BARCELONA wamefikia makubaliano na Klabu ya Bayern Munich kwa ajili ya kumsajili Robert Lewandowski kwa mkataba wa miaka mitatu.  ...

READ MORE

Rais wa Yanga Akabidhi Kadi za Uanachama kwa Wanandoa Wapya Nandy na Billnass

RAIS  wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said jana amekabidhi kadi za uanachama kwa Wasanii Faustina Mfinanga Maarufu Nandy na...

READ MORE

Akpan Awachimba Mkwara Yanga SC Awaambia Wasubiri Moto Wake Mchezo wa Ngao ya Jamii

KIUNGO mpya wa Simba, Mnigeria, Victor Akpan, ameanza kwa kuwachimba mkwara wapinzani wao Yanga kwa kuwaambia kuwa wasubirie moto wake...

READ MORE

Beki Yanga Apewa Mkataba wa Mwaka Mmoja Wenye Masharti Magumu

MABOSI wa Yanga wamempa mkataba mgumu wa mwaka mmoja wenye masharti beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ hiyo ikiwa...

READ MORE

Majaribio ya VAR Kuanza Kutumika Leo Nusu Fainali Ligi ya Vijana

Teknolojia ya Usaidizi wa marejeo ya picha za mnato kwa Waamuzi ‘VAR’ inataraji kutumika leo Ijumaa, Julai 15, 2022 kwa...

READ MORE

Imeisha Hiyo! Hatimaye Klabu ya Yanga Rasmi Yamtambulisha Aziz Ki

Kiungo mshambuliaji  Raia wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki (26) hatimaye ametangazwa rasmi kuwa mchezaji wa klabu ya Yanga kabla...

READ MORE

Tarimba Atoa Tamko Zito kwa Masikitiko, Awatakia Simba Kila Lakheri

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa SportPesa, Tarimba Abbas, amewatakia heri Klabu ya Simba kwa kuingia mkataba mpya na M-Bet,...

READ MORE

Yanga Yampa Mkono wa Kwaheri Kaseke, Awashukuru Mashabiki kwa Sapoti Waliompa

KLABU ya Yanga SC, leo Alhamisi, Julai 14, 2022 imetangaza kuachana na mchezaji wake mwandamizi, Deus Kaseke ‘Mwaisa’ na kumtakia...

READ MORE

Bumbuli: Aziz Ki Ameshatua Tanzania Wananchi Wasiwe na Wasiwasi ni Suala la Muda Tu

AFISA Habari wa Klabu ya Yanga Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa mchezaji Stephen Aziz Ki tayari ameshatua nchini Tanzania kwa ajili...

READ MORE

Geita Gold na Kocha Ndayiragije Wamalizana

KLABU ya Geita Gold imethibitisha kuwa imeruhusiwa kufanya usajili na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) baada ya kukidhi vigezo...

READ MORE

Sterling Aaaga Rasmi Manchester City, Akwea Pipa Kuelekea Marekani Kujiunga na Chelsea

MCHEZAJI wa Manchester City na Timu ya Taifa ya Uingereza Raheem Sterling (27) ameandika ujumbe maalum wa kuwaaga mashabiki wa...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jembe Jipya Kutoka Nchini Ghana, Takwimu Zake Zinatisha

KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah akitokea Bechem United.   Okrah amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Chelsea Yafikia Makubaliano na Napoli Kumsajili Beki Kalidou Koulibaly

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki...

READ MORE

Baada ya Kutangaza Kustaafu Soka Wilshare Alamba Dili ya Ukocha Arsenal

KLABU ya Arsenal imempatia dili kiungo wake mshambuliaji wa zamani Jack Wilshare kuwa kocha wa timu ya vijana chini ya...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Kocha Mpya Zoran Maki, Adai Yupo Tayari kwa Dabi Dhidi ya Yanga

KLABU ya Simba imemtambulisha Kocha wao mpya Zoran Maki mbele ya waandishi wa habari na kuanika mipango yao mipya kuelekea...

READ MORE

Sistiinho: Sakata la Msuva na Wydad Casablanca Liwe Fundisho kwa Wachezaji Wazawa

MCHAMBUZI wa soka kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na Global TV na Global Radio amesema sakata la Kiungo mshambuliaji...

READ MORE

Klabu ya Yanga Yamtangaza Lomalisa Kama Mchezaji Wao Mpya Kuelekea Msimu Ujao

KLABU ya Yanga imemtambulisha rasmi mchezaji mwingine wa kimataifa raia wa Congo DR, Joyce Lomalisa Mutambala kuwa mchezaji wao kwa...

READ MORE

Saleh Jembe: Ukaribu wa Injinia Hersi na Arafat Unatia Wasiwasi kwa Mafanikio ya Yanga

MCHAMBUZI wa soka nchini Saleh Jembe kupitia kipindi cha Krosi Dongo amebainisha wasiwasi wake juu ya ukaribu na urafiki alionao...

READ MORE

Kocha wa Man United Erik Ten Hag Athibitisha Ronaldo Hauzwi, Adai Zilizopo ni Tetesi Tu.

KOCHA wa Manchester United raia wa Uholanzi Eric Ten Hag amewaambia waandishi wa habari kuwa mshambuliaji wa klabu hiyo Cristiano...

READ MORE

Simba Yafanikiwa Kuinasa Saini ya Kiungo Nasoro Kapama Kutoka Kagera Sugar

KLABU ya Simba imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo nyota Nassoro Kapama kutoka Kagera Sugar kwa mkataba wa miaka miwili.  ...

READ MORE

Rasmi: Pogba Arejea Juventus Asaini Mkataba Mrefu Baada ya Miaka 6 na Man United

KIUNGO raia wa Ufaransa Paul Pogba amekamilisha usajili wake wa kujiunga kwa mara nyingine na miamba ya soka nchini Italia...

READ MORE

Lewandowski Asalimu Amri, Aamua Kurudi Ujerumani Kujiunga na Timu Yake

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Bayern Munich na Timu ya Taifa ya Poland Robert Lewandowski amesalimu amri na kukubali yaishe baada...

READ MORE

Raphinha Aitosa Chelsea Akaribia Kujiunga na Barcelona, Leeds United Yakubali Ofa ya Barca

WINGA wa klabu ya Leeds United ya Uingereza raia wa Brazil Raphinha anakaribia kujiunga na klabu ya FC Barcelona ya...

READ MORE

Messi Atishia Kuondoka PSG Endapo Klabu hiyo Itamsajili Cristiano Ronaldo

RIPOTI zinaeleza kuwa, staa wa Paris Saint-Germain, Lionel Messi, ametishia kuondoka kikosini hapo endapo klabu hiyo itamsajili Cristiano Ronaldo.  ...

READ MORE

Kiungo Fundi Raia wa Nigeria Victor Akpan Atua Rasmi Simba, Asaini Miaka Miwili

KLABU ya  Simba imetangaza kukamilisha usajili  wa Kiungo Victor Patrick Akpan kutoka Coastal Union raia wa Nigeria kwa mkataba wa...

READ MORE