×


Mikasa

MWANARIADHA ATOWEKA SIKU 240

DAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa Tabata, Dar ametoweka katika mazingira…

SOMA ZAIDI


TAHARUKI MAKABURINI DAR!

DAR ES SALAAM: Taharuki ya aina yake imeibuka hivi karibuni maeneo Kiwalani jijini Dar ambapo baadhi ya wananchi wamedai kuwa, katika zoezi la uhamishaji wa…

SOMA ZAIDI

MCHUNGAJI AZUA BALA AGESTI

DAR ES SALAAM: Dunia ina mambo! Mchungaji na nabii aliyejulikana kwa jina la Stekamba Bin Mariam anayetoa huduma ya uponyaji kwa hisia ‘Meditation’ amezua balaa…

SOMA ZAIDI

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA POLISI

BUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada ya kutoroka katika Kituo cha…

SOMA ZAIDI

MKE WA MBUNGE YAMFIKA MAZITO

IKIWA imepita takriban miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ afariki dunia, mkewe mdogo aliyefahamika kwa…

SOMA ZAIDI


Mwendawazimu Aliyefufuka-03

ILIPOISHIA… Alipogeuka nyuma, akamwona jamaa anahangaia kuvuka barabara, wakati huo yeye tayari alikuwa amekwisha likabili daladala lililokuwa tayari kwa kuondoka. Upesi akatumia nafasi hiyo kuingia…

SOMA ZAIDI


Mrembo achomwa visu akilazimishwa penzi

WAKATI wapendanao duniani wakiadhimisha Sikukuu ya Valentine’s Day kesho (Alhamisi) kwa kila mmoja kuonesha mahaba niue kwa mwenza wake, hali imekuwa mbaya kwa mrembo Winnie…

SOMA ZAIDI