×

Mikasa

MTOTO MIAKA 5 KUONDOLEWA KIZAZI!

DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji...

READ MORE

KUMEKUCHA TENA…NABII TITO AKIRI KUANGAMIZA WATU

KUMEKUCHA tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Nabii Tito Machibya kuibuka na kusema ameokoka kwa sasa yeye na mkewe ambapo...

READ MORE

MATESO YA FAMILIA HII TEMEA MATE CHINI!

JE! Mungu mwenye upendo anawezaje kuruhusu mateso ya namna hii kuendelea katika ulimwengu aliouumba? Ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kusoma...

READ MORE

ANASWA KWA WIZI FEDHA MTANDAONI

MOROGORO: Kijana mmoja ‘Sharobaro’ ambaye jina lake halikupatikana mara moja amepokea kochapo kutoka kwa wananchi waliomshutumu kuiba pesa kwa njia...

READ MORE

AUAWA KWA VISU, ATUPWA BWAWANI

MWANAUME mmoja ambaye hajafahamika jina wala makazi yake ameuawa kwa visu na watu wasiojulikana kisha mwili wake kutupwa katika bwawa...

READ MORE

ALIYEKUFA AJALI YA MWENDOKASI MAPYA YAIBUKA!

KILOSA: Moja ya ajali mbaya zilizotokea katika msimu huu wa Sikukuu ya Pasaka ni pamoja na ile iliyotekea siku ya...

READ MORE

WAZAZI KAENI CHONJO.. SIRI NZITO UTEKAJI WATOTO

WAKATI janga la watoto kuibwa na kutekwa katika mazingira ya kutatanisha likitikisa maeneo mbalimbali nchini huku wengi wakihoji kulikoni, binti...

READ MORE

AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA…MAMA AOZA HUKU AKITEMBEA

HICHO ndicho anachokutana nacho mwanamama Rhobi Mwita Chacha, mkazi wa Sirari-Tarime mkoani Mara ambaye amejikuta akioza huku akitembea.  Rhobi hana...

READ MORE

MSHANGAO HAUSIBOI ANASWA LIVE AMEVAA NGUO ZA BOSI WAKE WA KIKE

HEE! Ndivyo unavyoweza kupata mshangao baada ya kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Jack, Mkazi wa Mikocheni A jijini Dar,...

READ MORE

MADAI MAZITO BOSI AFANYA UKATILI RPC

MBEYA : Ni ukatili mzito! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya watu wanne akiwemo bosi mmoja kushikiliwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

MZUNGU AGEUZA KITUO CHA WATOTO YATIMA KUWA DANGURO

UKISHANGAA ya Musa utayaona ya firauni! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Mjerumani, Bernhard Bery Glaser, kukamatwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

USIOMBE YAKUKUTE… MREMBO YAMFIKA MAZITO MTAANI

“WALIANZA kunipigia ndani, baadaye wakanitoa nje wakaanza kunitembeza mtaani huku wakinipiga.” Simulizi ya Anastazia Ernest mkazi wa Mbagala jijini Dar...

READ MORE

RADI YAPENYA CHUMBANI, YAUA MAMA NA MWANAYE, WATU 6 HOI

NI simanzi kuu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia ya Mbwana Said, mkazi wa Kimanzichana wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani kukumbwa...

READ MORE

AIBU! NJEMBA ANASWA WIZI NGUO ZA NDANI ZA KIKE

MBEYA: AMEJUA kutuweza! Kwa kawaida wizi haukubaliki na utakapotiwa mbaroni kwa wizi ujue yatakukuta makubwa, lakini utakapodakwa katika tukio la...

READ MORE

DAKTARI NUSURA AUE MTOTO!

MTU akiitwa daktari maana yake ni: “Mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa; mganga aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa...

READ MORE

ASINGIZIWA KUMBAKA BINTIYE, AFUNGWA MAISHA, MKE AKOMBA MALI

DUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...

READ MORE

UKWELI MAMA DIAMOND KUMTUSI MCHUNGAJI HUU HAPA!

DAR ES SALAAM: Mama wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Bi Sandra’ hana furaha...

READ MORE

VIKOBA VYAZUA BALAA DAR !

KIKUNDI cha Vicoba cha Upendo chenye masikani yake huko Kibugumo-Kigamboni jijini Dar kimejikuta katika sintofahamu kufuatia mweka hazina wake aliyefahamika...

READ MORE

WAZIRI WA JPM ANG’AKA RAIA KUNYWESHWA SUMU INATISHA

HALI inatisha! Waziri wa Madini, Dotto Mashaka Biteko ameng’aka kwa hasira baada ya kujionea maji yenye sumu yanayotiririka na kunywewa...

READ MORE

MADAI YA KUKUTWA NA MKE WA MTU CHUMBANI, ASKARI AKATWA NYETI

KUNA unyama ambao ukisimuliwa unaweza kusisimkwa na mwili; mfano ni huu wa mtu kuchukua kitu chenye ncha kali na kumkata...

READ MORE

Ukame Waua Waturkana, Mifugo Yafa kwa Njaa!

UKAME unaozidi kushika kasi katika maeneo mbalimbali yanayokaliwa na watu wa kabila la Waturkana nchini Kenya umesababisha kupoteza maisha ya...

READ MORE

MCHUNGAJI MATATANI KIFO CHA KIBONDE

MCHUNGAJI wa Kanisa la Emmaus Bible Church, Mbezi Luis jijini Dar, Daudi Mashimo amejikuta mikononi mwa poli­si baada ya kuzungumzia...

READ MORE

SIMANZI! MWANAFUNZI AFA AKIOGELEA

MBEYA: Simanzi ilita­wala baada ya Samwel James Chacha (25) ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa Chuo cha Ualimu...

READ MORE

KIFO CHA MLINZI CHAIBUA UTATA!

BUKOBA: Utata! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya aliyekuwa mlinzi kwenye makampuni mbalimbali, Edward Rweyemamu Ngamera Mkazi wa Nyakanyasi, Manispaa ya...

READ MORE

BABA MATATANI UBAKAJI WA MWANAYE

DAR ES SALAAM: AMA kweli dunia imekwisha! Wakati wazazi wengi wakiaminika kuwalea watoto katika maadili mema hali imekuwa tofauti kwa...

READ MORE

ADAIWA KUMCHOMA VISU MWENZAKE, AMSUBIRIA AFE!

UKIULIZWA ‘Kwa nini umemchoma kisu mwenzio na kumuua?’ Na ukagundua kuwa kosa lake lilikuwa ni kuvaa raba zako nyeusi za...

READ MORE

HUKU JPM AKIIBUA ISHU YA MO MKURUGENZI DAR ATEKWA SAA 5,700

INATISHA! Wale watu wasiojulikana wanadaiwa kumteka mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kampuni maarufu ya kusambaza vifaa tiba jijini Dar...

READ MORE

WANAWAKE WATUMIKA WIZI WA BAJAJ KIMAFIA

MOROGORO: Ni hatari tupu! Hicho ndicho kinachotokea kwa sasa mjini hapa kufuatia staili mpya ya wanawake kutumika katika wizi wa...

READ MORE

MWANARIADHA ATOWEKA SIKU 240

DAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa...

READ MORE

KIJANA: NAKUFA NA JIONA AELEZA ANAVYOTESEKA, INAUMA SANA

KIJANA Lusubilo Sinunu (18), mkazi wa Kata ya Kisegese-Busokelo Wilaya ya Rungwe mkoani hapa ametamka maneno mawili; “Ninakufa ninajiona.”  Lusubilo alitoa...

READ MORE

TAHARUKI MAKABURINI DAR!

DAR ES SALAAM: Taharuki ya aina yake imeibuka hivi karibuni maeneo Kiwalani jijini Dar ambapo baadhi ya wananchi wamedai kuwa,...

READ MORE

MCHUNGAJI AZUA BALA AGESTI

DAR ES SALAAM: Dunia ina mambo! Mchungaji na nabii aliyejulikana kwa jina la Stekamba Bin Mariam anayetoa huduma ya uponyaji...

READ MORE

KIJANA ADAIWA KUUAWA NA POLISI

BUKOBA: Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Salehe Ally Mujaheji (pichani) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi mara baada...

READ MORE

BAADA YA KUKAA MPWEKE…BABU ALILIA MKE MKUTANONI

ARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, babu mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Kilimaji, Kata ya Moshono...

READ MORE

MAMA, BINTIYE WALIOPIGWA RISASI DAR UNDANI WA ANIKWA

MKAZI wa Tu­wamoyo, Kig­amboni jijini Dar, Halima Ibrahim ‘54’ na binti yake, Neema Andrea ‘24’ walijeruhiwa kwa risasi Jumatano iliyopita...

READ MORE

ALIYEPASULIWA KICHWA BADALA YA MGUU… MIL. 100 ZAMTESA

KIJANA mmoja Emmanuel Di­das Marishay (30) mkazi wa Kigogo, jijini Dar es Salaam ambaye alipasuliwa kichwa badala ya mguu, shilingi...

READ MORE

ALIYEKUWA MUME WA DAVINA AVUNJIWA MJENGO

ALIYEKUWA mume wa staa wa filamu za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’, Abdallah Shakoor ambaye pia ni mzazi mwenzake na staa...

READ MORE

MKE WA MBUNGE YAMFIKA MAZITO

IKIWA imepita takriban miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ afariki...

READ MORE

KISA WIVU WA KIMAPENZI… BABU ADAIWA KUMPA KICHAPO BIBI

ARUSHA: Inasikitisha! Bibi aliyejulikana kwa jina la Ester Taiko (64), mkazi wa Kata ya Ilkiurei wilayani Arumeru jijini hapa, anadaiwa...

READ MORE

Mwendawazimu Aliyefufuka-03

ILIPOISHIA… Alipogeuka nyuma, akamwona jamaa anahangaia kuvuka barabara, wakati huo yeye tayari alikuwa amekwisha likabili daladala lililokuwa tayari kwa kuondoka....

READ MORE