×

Music Videos

Best Naso Ft Nay Wa Mitego – Hellena (Official Video)

BAADA ya kupotea kwa muda mrefu, Best Naso amekuja na ngoma mpya aliyoipa jina la Hellana akimshirikisha Nay wa Mitego...

READ MORE

Hamsa Mia – Prezzo X Dogo janja (Official Video)

Msanii Prezoo kutoka nchini Kenya na Dogo Janja  wameachia ngoma mpya ‘Hamsa Mia’ ngoma hiyo Audio imetengenezwa na Daxo Chalii...

READ MORE

Mrisho Mpoto Ft Harmonize – Nimwage Radhi (Official New Video)

MSANII Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ ameachia video ya wimbo wake mpya aliyomshirikisha Harmonize, ngoma inaitwa Nimwage Radhi. Video imeshutiwa na kuongozwa...

READ MORE

Video Mpya: Gib Carter -Kata Tu

 Msanii wa muziki Bongo, Gib Carter ameachia ngoma mpya ‘Kata Tu’ pia ndio msanii anaefananishwa na wizkid kutoka bongo...

READ MORE

MSAGA SUMU FT KISA KABABY..GOMA LIPO UWANJANI (OFFICIAL VIDEO)

 Msanii wa muziki wa Singeli Bongo, Msaga Sumu ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Goma Lipo Uwanjani’ ambao amemshirikisha...

READ MORE

Ray C Aibuka Na Mahaba Kimbunga Kutoka Tornado

MWANAMUZIKI maarufu nchini Tanzania Rehema Chalamila ‘Ray C’, baada ya ukimya wa muda mrefu hatimaye ameibuka upya na wimbo mpya...

READ MORE

Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona (Official Video)

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia ngoma mpya ‘Ona’ ambayo amemshirikisha Rich Mavoko

READ MORE

New Audio: Lulu Diva Ft Rich Mavoko – Ona

 Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia ngoma mpya ‘Ona’ ambayo amemshirikisha Rich Mavoko.

READ MORE

Video Mpya: Alikiba – Mvumo Wa Radi

 MKALI wa Muziki wa Bongo Fleva, Alikiba ‘King Kiba’ameachia video ya nyimbo yake ya Mvumo Wa Radi.

READ MORE

Video: Jini Kisirani ‘Behind The Scenes’ – Amber Lulu

 MWANADA-SHOSTI wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ ameachia yalikuwa nyuma ya pazia wakati wa kushuti video yake ya...

READ MORE

New Video: Mbosso – Alele (Official Music)

 Msanii wa muziki Bongo, Mbosso amechia video ya ngoma yake mpya ‘ Alele ’, video imeongozwa na Kenny.

READ MORE

Nicki Minaj Atoa Video Mbili Kwa Mpigo …Zipo Hapa

STAA wa kike wa Muziki wa Hip Hop, Onika Tanya Maraj ‘Nicki Minaj’ Baada ya kupita miezi minne bila ya...

READ MORE

Nandy – Ninogeshe (Official Video & Audio)

Msanii zao la Jumba la Kuibua Vipaji ‘THT’, Faustina Charles ‘Nandy ameachia wimbo wake Ninogeshe baada ya Kivuruge kufanya vizuri....

READ MORE

VIDEO: WALTER CHILAMBO – ONLY YOU

 Msanii Walter Chilambo ameachia  wimbo wa “Only You”.  Sikiliza hapa umeimbwa kwa hisia kali sana.

READ MORE

Video Mpya: Ommy Dimpoz featuring Seyi Shay – Yanje

 ‘Yanje’ is a sensational ballad by Ommy Dimpoz’s featuring Nigeria sensational Seyi Shay. This is Ommy Dimpoz second official...

READ MORE

Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Behind The Scene)

Wasanii kutoka label ya WCB, Harmonize  na Diamond Platnumz wametoa video ya kuonyesha maandalizi ya video ya Kwangwaru.

READ MORE

Harmonize feat Sarkodie – DM Chick (Official Music Video)

Msanii wa muziki Bongo kutoka label ya WCB, Harmonize ameachia video ya wimbo wake Sarkodie MPYA aliyomshirikisha Sarkodie.

READ MORE

New Video: T Max ft. Nay wa Mitego – Tungi

Msanii wa muziki kutoka Burundi, T Max ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Tungi’ ambayo amemshirikisha Nay wa Mitego, video...

READ MORE

Video Mpya: Lava Lava – Tattoo (Piano Version)

Msanii wa muziki Bongo kutoka label ya WCB, Lava Lava ameachia video ya wimbo wake Tattoo MPYA ikiwa ni Piano...

READ MORE

Harmonize Ft Diamond Platnumz – Kwangwaru (Official Music Video)

Mwanamuziki Harmonize ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Kwangwaru ambao amemshirikisha mwanamuziki Diamond Platnumz.

READ MORE

Lulu Diva – Homa (Official Video)

Msanii wa muziki Bongo, Lulu Diva ameachia video ya wimbo wake unaokwenda kwa jina la Homa, video imeongozwa na Nisher....

READ MORE

TID Mnyama feat Rich Mavoko – We dada (Official Video)

Msanii mkongwe wa muziki, TID ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la We dada. Itazame hapa.

READ MORE

Mbosso – Picha Yake (Official Music Video)

Muimbaji kutoka label ya WCB, Mbosso ameachia video ya ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la Picha Yake. Itazame hapa.

READ MORE

SNURA – VUMBI LA MGUU (Official video)

 STAA wa miondoko ya mduara Bongo, Snura Mushi ametoa Wimbo wake wa Vumbi la Mguu.

READ MORE

Video Mpya: NISHA BEBE- BACHELA

 Msanii wa filamu Bongo, Nisha Bebe ameachia wimbo wake wa kwanza kwa kuachia kwa kuanza na video ya ngoma...

READ MORE

New Video: Saida karoli – Kachumba bunula

Mwanamuziki Mkongwe Bongo, Saida karoli ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Kachumba bunula’, video imeongozwa na Hanscana. Itazame hapa. 

READ MORE

Ben Pol – Natuliza Boli (Official Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol naoitwa Natuliza Boli. Global Publishers App...

READ MORE

Abdu Kiba – Jeraha (Official Music Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Abdu Kiba naoitwa – Jeraha. Global Publishers App...

READ MORE

Aslay – Nibebe (official Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa msanii wa Bongo Fleva, Aslay unaoitwa Nibebe ingia Global App na kama...

READ MORE

Hamsa Mia – Prezzo X Dogo Janja (Official Video)

WASANII Prezzo wa Kenya na Dogo Janja wameachia video ya wimbo wao mpya uitwao Hamsa Mia. Audio ya ngoma hiyo...

READ MORE

Video: Weusi x Christian Bella – Nijue

  Kundi la Weusi limeachia video ya wimbo wa “Nijue” ambao limeshirikiana na King of the best melodies, Christian Bella....

READ MORE

DIAMOND PLATNUMZ ft OMARION – African Beauty (Official Music Video)

Kuwa wa kwanza kuangalia video wa wimbo wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz unaoitwa African Beauty ingia Global App...

READ MORE