×

Spoti Xtra

HUYU AUBAMEYANG NI MOTO, SANCHEZ NAYE AANZA KUTUPIA

  STAA mpya wa Arsenal Pierre-Emerick Aubameyang jana alianza mchezo wake wa kwanza kwenye timu hiyo na kufanikiwa kuifungia bao...

READ MORE

Kwa Mkwara wa Simba, Ruvu Wanakula Nyingi

KOCHA wa Simba, Pierre Lecha-ntre ametamka kwamba hakuna chochote wanachokitaka leo kwa Ruvu Shooting yenye msemaji mwenye mbwembwe, Massau Bwire...

READ MORE

Washelisheli wa Yanga Waanza Visingizo

WAKATI wakiwa wanajiandaa kuvaana na Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa klabu ya St Louis ya...

READ MORE

Watanzania Walisifia Gazeti la Michezo la Spoti Xtra

Wakazi wa Sinza jijini Dar es Salaam wakisoma gazeti la michezo la Spoti Extra la leo Jumapili. Ofisa Masoko wa...

READ MORE

Dokta wa Yanga Amuanika Tambwe

DAKTARI wa Yanga, Edward Bavu amesena kuwa majeraha ya mara kwa mara yanayomkabili straika wa timu hiyo, Amissi Tambwe, yanatokana...

READ MORE

Ivo Mapunda: Manula wa Azam Sio wa Simba

  KIPA wa zamani wa Yanga, Ivo Mapunda amesema kuwa kiwango kinachoonyeshwa na kipa wa Simba, Aishi Manula kwa sasa...

READ MORE

Ujio wa Tshishimbi Noma

KIUNGO mahiri wa Yanga, Papy Kabamba Tshishimbi leo atasimama kwenye kiungo cha juu kuhakikisha kwamba Ruvu Shooting haifurukuti kwenye mechi...

READ MORE

MWONEKANO WA WA GAZETI LA SPOTI XTRA LEO JUMAPILI

Mwonekano wa ukurasa wa mbele na wa nyuma wa gazeti la Spoti Xtra, lipo mtaani leo Jumapili, kwa jero tu,...

READ MORE

Kwa Kilichoonekana Mapinduzi, Simba, Yanga Zijipange CAF

MSIMU mpya wa michuano ya kimataifa Barani Afrika unaanza mwezi ujao. Simba inashiriki kombe la Shirikisho wakianza dhidi ya Gendemarie...

READ MORE

Pombe Za Johari Ilikuwa Stresi

  JOHARI amefunguka kuwa pombe alizokuwa akinywa zilikuwa zikichangiwa na msongo wa mawazo. Johari ameliambia Spoti Xtra kuwa kutokana na...

READ MORE

Amber Lulu Ajibatiza U-Mrs Prezzo

Amber Lulu amejibatiza jina la U-Mrs Prezzo baada uhusiano wake na MB Prezzo kukolea. Binti huyo mrembo ameamua kujipachika jina...

READ MORE

Nandy Natamani Kuwa Mke Wa Billnas

  BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy amefunguka kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio...

READ MORE

Kamusoko na Ngoma Warejea Kuokoa Jahazi

MASTAA wa Yanga kutoka Zimbabwe, Thaban Kamusoko na Donald Ngoma wanaanza matizi rasmi na kikosi hicho leo Jumapili kujiandaa na...

READ MORE

Panga La Mafaza Laja Yanga

PANGA kubwa ambalo litaondoka na mafaza kadhaa linakuja ndani ya Yanga, hii inatokana na mabadiliko makubwa yaliyoonyeshwa na wachezaji vijana...

READ MORE

Timu Tatu Zamuibukia Ronaldo Madrid

STAA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo inasemekena amepokea ofa kutoka klabu tatu za Ulaya. Real Madrid ilipokea ofa tatu, wiki...

READ MORE

Sasa Ndiyo Mtamjua Asante Kwasi Akiwa Simba

KWA muda mrefu, kikosi cha Simba kilikuwa kikihitaji mchezaji mmoja mwenye uwezo wa kufanya majukumu zaidi ya matatu uwanjani. Mwanzoni...

READ MORE

Mourinho, Conte Bifu Zito

MAKOCHA Jose Mourinho wa Manchester United na Antonio Conte wa Chelsea wameendeleza bifu lao kwa kutoleana kashfa nzito. Mourinho ndiye...

READ MORE

Okwi na Niyonzima Kumbe Lao Moja

EMMANUEL Okwi amewaambia mashabiki wa Simba kwamba licha ya yeye kutokuwa sehemu ya kikosi kwa sasa katika michuano ya Mapinduzi...

READ MORE

Chirwa Atua Dar Usiku

MZAMBIA wa Yanga, Obrey Chirwa, amerejea nchini juzi Ijumaa usiku akitokea kwao, huku uongozi ukisisitiza kwamba kuna ishu wanaweka sawa...

READ MORE

Spoti Xtra Ndiyo Gazeti Pekee Tanzania Linasoma Zaidi Siku Ya Jumapili

Spoti Xtra ndiyo Gazeti pekee Tanzania Kiboko kwa Takwimu za uhakika kitaifa na kimataifa, Lina kurasa nyingi zaidi za takwimu...

READ MORE

Mastaa Arsenal Wamnunia Sanchez

BIFU zito linatokota katika kikosi cha Arsenal kati ya Alexis Sanchez na baadhi ya wachezaji wenzake, ambao wanataka aondoke klabuni...

READ MORE

Omog Akutana Chemba Na Wachezaji 7 Simba

JOSEPH Omog kabla ya kuondoka nchini juzi Ijumaa alikaa kikao cha dharura na wachezaji wa timu hiyo wakiongozwa na nahodha...

READ MORE

Sasa Ndiyo Mtaielewa Yanga

IKIWAKOSA nyota wake watano muhimu kwenye kikosi cha kwanza, Yanga itajitupa uwanjani leo Jumapili kuikabili Mbao FC katika mechi ya...

READ MORE

Matokeo Ya Simba Yawatisha Yanga

BAADA ya juzi Ijumaa Simba kutupwa nje ya Kombe la Shirikisho (FA) na Green Warriors, watani wao Yanga wamefunguka kuwa...

READ MORE

Akili Za Kiuswahili Zimeiingiza Simba Kwenye Matatizo

SIMBA imeingia kwenye matatizo. Tena matatizo kwelikweli. Akili walizoingia nazo kwenye mechi ya Kombe la FA dhidi ya Green Warriors...

READ MORE

Usikose Gazeti la Spoti Xtra leo Jumapili Kwa 500/- Ni Uhondo Tu!

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra linatolewa na Kampuni ya Global Group linatoka kila siku ya Jumapili na linapatikana...

READ MORE

Gazeti la Spoti Xtra Lapokelewa Kwa Shangwe Mitaani

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra linatolewa na Kampuni ya Global Group, jana toleo lake la kwanza lilipokelewa kwa...

READ MORE

UZINDUZI WA GAZETI LA SPOTI XTRA ULIVYOBAMBA KITAA (Pichaz + Video)

GAZETI jipya la michezo la Spoti Xtra ambalo ni gazeti dada na Gazeti la Championi linalotolewa na Kampuni ya Global...

READ MORE