×

Spoti Xtra

Panga Kubwa Lapita Azam

UONGOZI wa Klabu ya Azam, upo kwenye mipango ya kupitisha panga kubwa ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa ajili...

READ MORE

Simba Yashikwa Pabaya na Yanga

KUELEKEA fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam itakayopigwa Julai 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, kasi...

READ MORE

Bilionea Amfanyia Kufuru Fei Toto

BILIONEA na Mdhamini wa Yanga, Gharib Mohammed, amemfanyia kufuru kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwa kumzawadia gari...

READ MORE

Basi Jipya Yanga SC Kama Ulaya

ACHANA na basi jipya la Simba ambalo walilitambulisha hivi karibuni, wadhamini wa Yanga ambaoni Kampuni ya GSM, imejibu mapigo kwa...

READ MORE

Gabriel Jesus wa Man City Anukia Juventus

KLABU ya Juventus, imetajwa kuwa imeendelea kukomaa na dili la kutaka kumsajili straika wa Manchester City, Gabriel Jesus. Imeelezwa kuwa,...

READ MORE

Mil 160 Zasajili Kipa Yanga SC

UONGOZI unaomsimamia kipa Tape Eliezer Ira, umewaambia Klabu ya Yanga kuwa unahitaji dola 70,000 (sawa na Sh 161,584,000) ili kumuachia...

READ MORE

Guardiola Anamtaka Harry Kane

KOCHA Pep Guardiola amefunguka kuwa mpango wake ni kumsajili staa wa Tottenham, Harry Kane ila wanahitaji kuona dau lake linapunguzwa....

READ MORE

Madrid Kumuuza Varane Manchester United

KLABU ya Real Madrid, imesema haitamuongezea mkataba beki wake, Raphael Varane, huku ikiwa na mpango wa kumuuza nyota huyo kwa...

READ MORE

Morrison Ajirudisha Yanga

BERNARD Morrison maarufu mzee wa kukera, jana hakuwakera Yanga, alikuwa muungwana sana na kufanya kitendo kama cha kujirudisha ndani ya...

READ MORE

Mashabiki Yanga Watamba Hamtuwezi – Video

HAMTUWEZI! Hiyo ndiyo kauli waliyotoka nayo Wanayanga jana Uwanja wa Mkapa, Dar baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa...

READ MORE

Yanga Yawekewa Nusu Bilioni Mnyama Afe Kesho

BAADA ya GSM kukubali kufanya kazi na aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji, sasa mabosi hao wameelekeza nguvu kubwa katika...

READ MORE

Mugalu Arejea Kuivaa Yanga

MSHAMBULIAJI wa Simba, raia wa DR Congo Chriss Mugalu, amerejea kuwavaa Yanga hii ni baada ya kukosa mechi mbili zilizopita...

READ MORE

Biashara Yawaita Yanga Wafanye Biashara ya Kipa

UONGOZI wa Biashara United, umeweka wazi ikiwa mabosi wa Yanga wanahitaji saini ya kipa wao namba moja, Daniel Mgore ni...

READ MORE

Yanga: Ubingwa ni Wetu

OFISA Habari wa Yanga, Hassani Bumbuli, amefunguka kuwa, anaona matumani ya kuchukua ubingwa yapo karibu kwa upande wao kutokana na...

READ MORE

Yanga Yatenga Sh 8.1 Bil za CAF

KLABU ya Yanga, imetenga kitita cha Sh bilioni 8.1 ili kuhakikisha msimu ujao timu yao inafanya vizuri kwenye michuano watakayoshiriki...

READ MORE

Manji, Mo Uso Kwa Uso … Mchongo Mzima Upo Hivi

UPO uwezekano mkubwa wa wafanyabiashara na mabilionea hapa nchini, Yusuph Manji na Mohammed Dewji ‘Mo’ kukutana kwenye Dar es Salaam...

READ MORE

Aishi Manula Apewa Zoezi Maalum Kumzuia Yacouba

MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula, juzi Jumanne alikuwa na kibarua kizito mazoezini ambapo alipewa mazoezi magumu kwa...

READ MORE

Job Aandaliwa Kuisimamisha Simba

BEKI chipukizi wa Yanga, Dickson Job ambaye ni ingizo jipya kikosini hapo akitokea Mtibwa Sugar, anaandaliwa maalumu kwa ajili ya...

READ MORE

Yanga Yawekewa Mil 300 Kuiua Simba

TAYARI joto la kuelekea Dabi ya Kariakoo, limeshaanza kupanda, ambapo inaelezwa kwamba, nyota wa Yanga wameahidiwa shilingi milioni 300 ili...

READ MORE

Luis, Chama Wapewa Majukumu Maalum

UNAAMBIWA Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, hataki mchezo kabisa kuelekea kwenye mechi yao dhidi ya Yanga, huku...

READ MORE

Carlinhos Anaitaka Simba Tu

PAMOJA na kiungo mshambuliaji wa Yanga raia wa Angola, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu Carlinhos, kuumia na kutolewa...

READ MORE

Gomes Aiona Nusu Fainali Ligi ya Mabingwa Afrika

KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa, amefunguka kuwa malengo yao ni kuvuka hatua ya robo fainali ya...

READ MORE

Kocha Yanga Aibuka na Mikakati Mipya

KATIKA kuhakikisha wanafanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la FA, Kocha wa Makipa wa Yanga raia wa Kenya, Razack Siwa,...

READ MORE

Morrison Awafanyia Mazoezi Maalum Yanga

ZIKIWA zimebaki takribani siku tisa kabla ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Bernard...

READ MORE

PSG Yatoa Ofa Kwa Messi

KLABU ya Paris Saint Germain imeelezwa kwa sasa ipo kumshawishi staa wa Barcelona, Lionel Messi kujiunga na klabu hiyo, kumpa...

READ MORE

Lingard Aikataa Man United

NYOTA wa West Ham United, Jesse Lingard imeelezwa kuwa hana mpango wa kurejea kwenye timu yake ya Manchester United.  ...

READ MORE

Chama Apiga Hesabu za Nusu Fainali CAF

KIUNGO Mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amesema wachezaji wote wana shangwe la kutosha baada ya kufanikiwa kutinga hatua ya robo...

READ MORE

Manula Apambana na Makipa Watano CAF

HASHIKIKI! Hivyo ndivyo utakavyosema kwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula ambaye ameingia kwenye tano bora ya makipa wenye...

READ MORE

Namungo Kulipa Kisasi Kwa Nkana

NAMUNGO wamejinasibu kuwa, wamejipanga vizuri kulipa kisasi kwa kuhakikisha wanaibuka na ushindi katika mchezo wa leo Jumapili wa Kombe la...

READ MORE

Waarabu Waisaidia Simba iiue Al Ahly

NI kufuru ya matumizi ya fedha, ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kile ambacho Klabu ya Simba inaendelea kukifanya huko nchini Misri...

READ MORE

Niyonzima Afafanua Ishu ya Kustaafu Soka

KIUNGO wa Yanga na Timu ya Taifa ya Rwanda, Haruna Niyonzima, amesema hajafikia uamuzi wa kustaafu kuichezea Rwanda kama ambavyo...

READ MORE

Mwamnyeto Jembe la Kazi Yanga

LICHA ya makosa ambayo amekuwa akiyafanya ya mara kwa mara ndani ya uwanja, beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto,...

READ MORE

Polisi Tanzania Yasimamisha Watano

UONGOZI wa timu ya Polisi Tanzania, umetangaza kuwasimamisha wachezaji watano kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu.   Taarifa rasmi...

READ MORE

Yanga Yataja Mambo Matatu Aliyowafanyia Magufuli

WAKATI taifa likiwa kwenye majonzi mazito na maombolezo ya siku 21 ya kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

CAF Yamchongea Luis Kwa Al Merrikh

UNAAMBIWA kitendo cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF), kulitaja bao la Luis Miquissone, kama bao bora la wiki katika Ligi...

READ MORE

Yanga, Coastal Union Watamba …Lazima Tuwanyooshe

YANGA imekuwa ikipata tabu zaidi ndani ya Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga ambapo leo itacheza hapo dhidi ya wenyeji wao,...

READ MORE

Chikwende Aahidi Mabao Simba SC

PERFECT Chikwende, kiungo mshambuliaji wa Simba, amesema malengo yake ni kuisaidia timu hiyo kufanya vizuri kwenye Kombe la FA na...

READ MORE

Beki Simba SC Atua Ghana

KLABU ya Medeama inayoshiriki Ligi Kuu ya Ghana, imethibitisha kukamilisha usajili wa beki wa zamani wa Simba raia wa Ivory...

READ MORE

Lokosa Apata Dili Norway

IMEELEZWA kuwa, nyota mpya wa Simba, Junior Lokosa, yupo kwenye hesabu za kusajiliwa na timu ya Stromsgodset Toppfotball inayoshiriki Ligi...

READ MORE

Kocha wa Al Ahly Awapongeza Luis na Joash Onyango

BAADA ya kupokea kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba, Kocha Mkuu wa Al Ahly, Pitso Mosimane, ameibuka na kutamka...

READ MORE