×

Trending

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani,...

READ MORE

Siku Mwalimu Nyerere Alipofanya Maamuzi Magumu

ILIKUWA mwaka 1955 mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliamua kufanya maamuzi magumu ya kuamua kuachana na kazi yake ya ualimu kwenye...

READ MORE

Diamond Aanza Kupoteza Umaarufu

MWANAMUZIKI Diamond Platnumz wa Tanzania, anayefanya vyema kwenye ulimwengu wa muziki Bongo kwa maana muziki wa Bongo Fleva na nje...

READ MORE

Wanafunzi Wadaiwa Kuwacharaza Viboko Walimu Wao

Wanafunzi wa Kidato cha Sita Shule ya Sekondari Usevya wilayani Mlele Mkoa wa Katavi, wanadaiwa kuwashambulia kwa kuwacharaza viboko walimu...

READ MORE

Rais Wa Israeli Augua Kiharusi Na Kulazwa

JERUSALEM Rais wa zamani wa Israeli bwana Shimon Peres (93), anaumwa ugonjwa wa kiharusi na madaktari wamesema ugonjwa huo umepelekea...

READ MORE

Majaliwa Aongoza Harambe Kuchangia Waathirika Kagera

WAZIRI MKuu mheshimiwa Kassim Majaliwa jioni hii kaongoza harambe maalum iliyofanyika jijini Dar es Saalm ikiwakutanisha mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi...

READ MORE

Exclusive Picha za Marehemu Tupac Zavuja

  Leo tunaungana na mashabiki wa Hiphop duniani kote kumkumbuka rapper, Tupac Amaru Shakur ‘2PAC’ kifo chake ambacho kilitokea tarehe...

READ MORE

Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar Kuanzisha Mfuko Wa Hija

Rais  wa  Zanzibar  na  Mwenyekiti  wa  baraza la  Mapindunzi, Dk. Ali  Mohamed Shein SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) iko mbioni kuanzisha...

READ MORE

Sanamu Za Mugabe Zazua Utata

Rais Mugabe akiwa na mtengeneza sanamu Bwana Benhura. Sanamu mbili mpya za kiongozi wa muda mrefu wa Zimbabwe Robert Mugabe...

READ MORE

Hillary Clinton Augua Homa ya Mapafu, Aondolewa Kwenye Kumbukumbu ya Septemba 11

Mgombea Urais kutoka Chama cha Democratic, Hillary Clinton amegundulika kuwa na ugonjwa wa homa ya mapafu (pneumonia) baada ya kuugua...

READ MORE

Samsung Galaxy Note7 Zapigwa Marufuku Kwenye Ndege

Maafisa wa uchukuzi wa ndege nchini Marekani wamewatahadharisha abiria wanaosafiri kwa ndege kutofungulia au kuchaji simu za Samsung Galaxy Note...

READ MORE

Mwanamke Mdogo Mwenye Ndevu Ndefu Zaidi Duniani

Harnaam Kaur (24) ameshinda Guinness World Records kwa kuwa mwanamke mdogo mwenye ndevu ndefu zaidi duniani ambapo ndevu zake zina...

READ MORE

Mwanzilishi wa Facebook Achangia Mamilioni Kusaidia Kumbwaga Trump

Mmoja ya waanzilishi wa Facebook, Dustin Moskovitz amechangia $ 20m kwa Democrats, kusaidia kumbwaga mgombea urais wa Marekani kwa tiketi...

READ MORE

Videos: Bifu la Mama Wema na Man Fongo Lafikia Pabaya!

MAMA wa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu, Bi. Miriam Sepetu ameingia kwenye headlines mitandaoni baada ya kutofautiana na mkali wa...

READ MORE

Maji ya Mto Yageuka Rangi ya Damu

Wachunguzi wa masuala ya mazingira nchini Urusi wanajaribu kubaini chanzo cha maji ya mto ulio karibu na kiwanda cha Nikeli...

READ MORE

Azifukua Maiti na Kuzivika Suti Mpya

INDONESIA: Kabila la Torajan la nchini Indonesia wamefukua maiti za ndugu zao kwenye makaburi na kuzivika nguo mpya. Tukio hilo...

READ MORE

Kauli ya Kamanda Sirro Kuhusu Kukamatwa kwa Wanaolala Gesti Mchana, Dar

Kamishna wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam anatoa rai kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni...

READ MORE

Mr Blue, Barakah Da’ Prince Wapatana

BAADA ya kutibuana kisa kikiwa Naj, hatimaye wakali wa Bongo Fleva, Mr Blue na Barakah Da’ Prince wameamua kuwa kitu kimoja....

READ MORE

Analipwa pesa kwa kubikiri watoto, kufanya ngono na wajane!

Eric Aniva ‘Fisi ‘ mtajika aliyewabikiri zaidi ya watoto 10. Malawi KATIKA hali ya kawaida, tamaduni nyingi kote duniani mwanamke...

READ MORE