×

Trending

Picha 6: Cheki Billicanas ya Mbowe Ilivyobomolewa

     DAR ES SALAAM: Shirika  la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza kubomoa jengo la iliyokuwa Klabu Bilicanas na ofisi za...

READ MORE

Mistari ya Darassa ni Madongo kwa Diamond?

Darassa. Na Andrew Carlos | Gazeti la Ijumaa, Toleo la Jan. 06, 2017 YASEMWAYO yapo! Ukiusikiliza kwa makini Wimbo wa...

READ MORE

Inasikitisha Sana, Tazama Nando wa Big Brother Alivyoathiriwa na Matumizi ya Madawa ya Kulevya

HALI ya kiafya ya mwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Big Brother Afrika, 2013 nchini Afrika Kusini,  Ammy Nando inasikitisha...

READ MORE

Prof. Jay Amvisha Pete Mchumba Wake Grace

Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro na msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva, Joseph Haule maarufu kama Profesa...

READ MORE

Video: Akiwa Mahakamani, Simu ya Rais wa Bolivia Yapiga Kelele za Watu Wakifanya Mapenzi

HII ni miongoni mwa stori zilizotengeza headlines kwenye vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifa, siyo nyingine bali ni stori inayomhusu...

READ MORE

Exclusive: Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian Chali

Umeinyaka hii au kuisikia popote pale? Ile ndoa ya masupastaa iliyofungwa mwaka 2014 kati ya mwanamuziki, Kanye West na Kim...

READ MORE

Mkulima Achomwa Mkuki Mdomoni, Watokeza Shingoni

  OFISI YA MBUNGE Jimbo la Mikumi inalaani sana kitendo cha kinyama kilichofanywa na Ndugu zetu wa jamii ya wafugaji...

READ MORE

Ndege Yatekwa Nyara Nchini Libya, Yatua Malta

MALTA: Ndege moja ya abiria ya nchini Libya imeripotiwa kutekwa nyara leo Ijumaa, Desemba 23, 2016, ikiwa kwenye safari kutokea...

READ MORE

Roboti Inayoweza Kushiriki Ngono Kutengezwa

HII teknolojia sasa imekuwa too much! Kila kukicha wenzetu wazungu wamekuwa wakibuni vitu vipya tofauti kabisa na fikira za kawaida...

READ MORE

Haya Ndio Maisha Halisi ya Ben Pol, Mbali na Muziki Sana Analima Vitunguu

   Mwanamuziki mahiri wa Bongo Flava, Bernard Paul ‘Ben Pol’  akiwa na mtoto wake nyumbani kwake Tabata- Aroma, jijini Dar....

READ MORE

Mrembo Kutoka Puerto Rico, Stephanie Del Valle Ashinda Taji la Miss World 2016

Mshindi wa Miss World 2016, Stephanie Del Valle akivishwa taji na  Miss World 2015, Mireia Lalaguna Stephanie Del Valle akishindwa kuamini...

READ MORE

Dr Mwele Malechela Aliyetumbuliwa Asema ‘Safari Itasonga kwa Msaada wa Mungu’

BAADA ya kutenguliwa kwake na Rais Dkt. John Magufuli, aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, NIMR,...

READ MORE

Jide Akiri Kutoka Kimapenzi na Mnigeria Spicy ‘Rasta’

Jide akifafanua jambo wakati wa mahojiano na Global TV Online leo. Kushoto ni mpenzi wake Spicy ‘Rasta’. Mpenzi wa Jide,...

READ MORE

Historia Imeandikwa Kwenye Tuzo za EATV Mlimani City

 Host wa tuzo za EATV 2016, Salama Jabir akifanya yake usiku wa kuamkia leo katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar....

READ MORE

Video: Mzee wa Miaka 76 Amekuja na Sharti Jipya la Mke Anayemtaka, Wanawake Waanza kuchuana kwa Kasi

 DAR ES SALAAM: MZEE Athuman Mchambua (76), mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam ambaye amezua gumzo...

READ MORE

Diamond na Zari Wamepata Mtoto wa Kiume Leo Des. 6, Bofya Hapa Kuona Pichaz

Pretoria, Afrika Kusini: TAARIFA njema kwa mashabiki wa msanii wa Bongo Fleva hapa nchini, Nasbu Abdul “Diamond Platnumz” ambaye leo...

READ MORE

Shehe Mkuu Dar: Nipo Tayari Kuwafungisha Ndoa Diamond & Zari Bure! (Video)

Stori: AMRANI KAIMA, RISASI JUMAMOSI SHEHE Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum ameweka wazi kutopendezwa na...

READ MORE

Ajali; Ndege Iliyobeba Wanasoka wa Brazil Yaanguka Colombia, Yaua 76, Watano Wanusurika 

Mabaki ya ndege iliyoanguka. Kabla ya kuanza safari timu hiyo ilipiga selfie hizi. Ndege iliyoanguka hii hapa. Mmoja wa wachezaji...

READ MORE

Mzee wa Upako: Wachungaji na Manabii Walionipigia Kunipa Pole ni Wapumbavu!

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amewajia juu na kuwaita wapumbavu,...

READ MORE

Rais wa Zamani wa Cuba, Fidel Castro Afariki Dunia

HAVANA, CUBA: Rais wa zamani wa Cuba, na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha nchini humo, Fidel Alejandro Castro Ruz...

READ MORE

Msikilize JPM Akiongea Kwa Simu Na RC Makonda Jana Akiwa Mkutanoni Ubungo

DAR ES SALAAM: LEO Novemba 25, 2016 wakati Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Paul Makonda akizungumza kwenye...

READ MORE

Justin Bieber Amchapa Konde Shabiki Wake, Ampasua Mdomo

Mwanamuziki asiyeishiwa matukio, Justin Bieber amezua sintofahamu baada ya kumchapa konde na kumpasua mdomo shabiki wake aliyekuwa akimlaki wakati akiwasili...

READ MORE

Moses Machali Aihama ACT- Wazalendo na Kujiunga CCM

Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini kupitia NCCR-Mageuzi (2010–2015) kisha kuhamia ACT-Wazalendo mwaka 2015, Moses Machali leo amehamia...

READ MORE

Meya wa West Virginia Ajiuzulu Baada ya Kufurahia Andiko Lililomfananisha Mke wa Obama na Nyani

Meya wa mji wa Clay nchini Marekani, Beverly Whaling amejiuzulu wadhifa huo  baada ya kuunga mkono maandishi yenye ubaguzi wa...

READ MORE

Trump na Putin Zimeiva, Sasa Kupiga Kazi kwa Ushirikiano

Ikulu ya Urusi imesema kwamba rais Vladimir Putin amezungumza kwa njia ya simu na rais mteule wa Marekani Donald Trump,...

READ MORE

Facebook Yaonyesha Wafu Waliyo Hai

HALI isiyo ya kawaida, mtandao maarufu Duniani unaomilikiwa na bilionea Mark Zuckerberg wa Facebook umetoa ujumbe kimakosa unaoonyesha kuwa watu...

READ MORE

MTV EMA Wampokonya Tuzo Wizkid na Kumpa Alikiba

IKIWA ni siku chache baada ya waandaaji wa Tuzo za MTV EMA 2016 kutoa tuzo hizo na kumtangaza msanii wa...

READ MORE

Zitto Kabwe: Sitta Amenilea kwa Kunisomesha

Alfajiri ya tarehe 7 Novemba 2016, tunaamka na kukutana na habari za kusikitisha kuwa Mzee Samwel John Sitta, Spika Mstaafu...

READ MORE

Facebook Yafikisha Watumiaji Bilioni 1.8

Tajiri namba sita duniani, Mark Zuckerberg. Wafanyakazi wa kampuni ya Facebook inc wakielekezana jambo. Wafanyakazi wakiendelea na kazi. Ubao wa...

READ MORE

Jokate Amuandikia Ujumbe Huu Ali Kiba

Kupendwa raha! hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya staa kwenye tasnia ya mitindo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ kumuandikia mpenzi wake, Ali...

READ MORE

Fiesta 2016 Imooo Yatikisa Jiji la Dar

Mwanadada kutoka Nigeria, Yemi Alade akizikonga nyoyo za mashabiki waliohudhuria tamasha la Fiesta 2016 Imoooo katika Viwanja vya Leaders Club...

READ MORE

Binti wa Chuo Kikuu cha Makumira Adaiwa Kubakwa Hadi Kufa Kisha Mwili Wake Kutupwa

INASIKITISHA SANA: Binti mmoja ambaye ni model na mwimbaji wa muziki wa Bongofleva na ngoma za asili aliyetambulika kwa jina la...

READ MORE

Scorpion Apandishwa Tena Kizimbani Jana

Mtumiwa wa kesi ya unyang`anyi wa kutumia silaha, Salum Njwete (34), maarufu ‘Scopion’ jana alipanda kizimbani kwa dakika mbili. Askari...

READ MORE

Video: Mahakama Yaamuru Jide Awaombe Radhi Viongozi wa Clouds

   DAR ES SALAAM: Mahakama ya Wilaya Kinondoni leo Jumatano, Novemba 2, 2016, imemtia hatiani mwanamuziki nguli wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Kwenye ‘Mpunga’ Trump si Mtu wa Mchezo Mchezo!

Mgombea urais wa Marekani kwa tiketi ya Republican, Donald John Trump.  Ndege ya Donald Trump  Boeing 757, yenye thamani ya...

READ MORE

Matokeo ya Darasa la Saba 2016 Yatangazwa, Bofya Hapa Kuyatazama

NECTA: Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika Septemba 8 na 9, 2016...

READ MORE

Drake Amtambulisha Taylor Swift kwa Mama Yake, Penzi lake na Rihanna Njia Panda

  RAPA Aubrey Drake Graham, ‘Drake’ amempa hadhi ya juu mwanadada Taylor Swift ikiwemo kumtambulisha kwa mama yake pamoja na...

READ MORE

Mishahara Kupangwa Upya Na Serikali

SERIKALI imeahidi kuboresha na kuimarisha maslahi kwa watumishi wote wa umma kupitia Bodi ya Mishahara na motisha mara watakapokamilisha uhakiki...

READ MORE