×

Latest News

MAKONDA AISAPOTI KAMPUNI YA UKAMATAJI KAZI ZA WASANII

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameipiga jeki Kampuni ya Msama Auction Mart inayojishughulisha na ufuatiliaji na...

READ MORE

MELI YA JESHI LA CHINA KUTOA MATIBABU NCHINI

  MELI ya jeshi la majini kutoka China (Navy) na ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani,   imeingia nchini ili...

READ MORE

UJUMBE MZITO WA BARNABA KWA MZAZI MWENZIYE!

HIT maker wa ngoma ya ‘Mapenzi Jeneza’, Barnaba Boy, amemuandikia ujumbe mzito mzazi mwenziye, Zuu Namela, katika siku yake ya...

READ MORE

Amtosa Mumewe Ulaya, Achukuliwa na Kiserengeti cha Gambia

  MWANAUME mmoja mkazi wa Uingereza Andy Hepworth, amesimulia kwa huzuni jinsi mkewe Heidi Hepworth (44) alivyomtosa, akamwachia watoto tisa...

READ MORE

Bongo Movie niaje, Walimsusa Lulu au?

KUNA mambo katika maisha siyo kanuni, lakini utamaduni umeyafanya kuwa kama ndiyo utaratibu. Na haya yako mengi kutegemea na mila...

READ MORE

Uwoya Roho Mkononi Rwanda! Anaswa na Mabaunsa

  Siku chache baada ya Hamad Ndikumana ‘Katauti’ kufariki dunia, imedaiwa kuwa, usalama wa mzazi mwenziye marehemu, muigizaji Irene Uwoya...

READ MORE

Simba Yawafunga Tanzania Prisons Bao 1-0 Uwanja wa Sokoine Mbeya

SUB -Hamisi Maingo anaingia kuchukua nafasi ya Kimenya DAKIKA 3 ZA NYONGEZA Dk 90 Prisons wanaonekana kutokata tamaa, wanaendelea kupambana...

READ MORE

OFM Yanasa Mijengo ya Mhasibu Takukuru

DAR ES SALAAM: Siku mbili baada ya aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Godfrey John...

READ MORE

MAKONDA ATEMBELEA WAGONJWA WALIOPATA MIGUU BANDIA CCBRT

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amewatembelea wagonjwa 21 kati ya 35 waliotakiwa kupewa miguu ya...

READ MORE

Chuchu ‘Awaka’ Kuachana na Ray

  STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans kwa mara ya kwanza amegeuka mbogo ‘amewaka’ baada ya kuulizwa madai ya kuachana...

READ MORE

Ripoti Maalum: Usagaji Unavyowaathiri Wasichana Tanzania-2

WIKI iliyopita katika ripoti hii maalum tuliongelea maana nzima ya usagaji na sababu zinazopelekea mpaka wanawake wengi kujikuta wakitumbukia huko....

READ MORE

WATOTO WA KIKE WAELIMISHWA JUU YA MIMBA ZA UTOTONI DAR

KATIKA harakati za kuendelea kumlinda na kutetea haki za watoto wa kike, Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto  (CDF),...

READ MORE

Kamusoko: Naumia Sana

KIUNGO wa Yanga, Thabani Kamusoko raia wa Zimbabwe, ameonyesha wazi kuumizwa na kukaa kwake nje ya uwanja kutokana na majeraha...

READ MORE

Bei Za Kupiga Picha Daraja La Nyerere, Kigamboni

Baada ya kuwepo kwa mkanganyiko wa gharama za kupiga picha kwenye daraja la Nyerere Kigamboni hatimaye serikali imetangaza mchanganuo wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Awachimba Mkwara Mawaziri Kutoa Matamko Yasiyotekelezeka

Mawaziri na manaibu wao, wametakiwa kujiepusha na utoaji wa matamko yasiyotekelezeka ili kuepuka mikanganyiko serikalini. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu,...

READ MORE

Okwi: Nashindwa Kufunga Mkoani

MSHAMBULIAJI matata wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi amefunguka kuwa licha ya kutamani kufunga kwenye michezo ya timu hiyo ya mikoani...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Novemba 6, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Novemba 6, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Kwa Fabregas, Kila Kitu Kinawezekana

KESHO Jumapili, Chelsea itaikaribisha Manchester United katika Ligi Kuu England, kiungo wa timu hiyo Cesc Fabregas amesema timu yao itapambana...

READ MORE

MWAKIBINGA: ZITTO NI KAMA HARMORAPA – VIDEO

  KIJANA kutoka Kundi la Vijana Wazalendo nchini, James Mwakibinga, amekuja juu na kumshukia kiongozi wa Chama cha Act- Wazalendo,...

READ MORE

Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yamjibu Zitto Kabwe

  OFISI ya Taifa ya Takwimimu (NBS) imesema kuwa taairifa zilizotolewa na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Zuberi Kabwe juu...

READ MORE

JPM Amwaga Sh. Bilioni 9 Mwanza Kupanua Uwanja wa Ndege – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemuagiza Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kupeleka bilioni tisa mkoani Mwanza...

READ MORE

Seven Days in Hell (Siku Saba Kuzimu)- 39

ILIPOISHIA: Akaendelea kuniambia kwamba Shenaiza alikuwa akifahamu kinachofanywa na baba yake na kwa sababu ilifika hatua akawa amechoshwa na ukatili...

READ MORE

Aslay Afungukia Matumizi ya Kinga

STAA wa Ngoma ya Natamba, Aslay Isihaka, amefunguka kuwa, kwenye maisha yake ya faragha kamwe huwa haachi kutumia kinga kwa...

READ MORE

Idris: Nikiwa Lokesheni Nabadilika Mpaka Moyo

MCHEKESHAJI anayefanya poa Bongo, Idris Sultan amefunguka kuwa anapokuwa lokesheni kwa ajili ya kazi hujikuta anabadilika mpaka moyo wake kwa...

READ MORE

Hospitali ya Aga Khan Lazima Ibadilike, Vinginevyo Itaendelea Kuchafua Sura ya Kiongozi Wao wa Dini

  WIKI iliyopita nilielezea namna ambavyo nilimpeleka mama yangu Hospitali ya Aga Khan kutibiwa akiwa na tatizo la shingo (Spondylosis),...

READ MORE

RC AYOUB AKABIDHI MWENGE WA UHURU KWA SERIKALI

Baada ya mwenge wa uhuru kuanzia mkoani Katavi, hatimaye leo Oktoba 14, umewasili na unatarajia kuzimwa katika uwanja wa Taifa...

READ MORE

AGGREY & CLIFFORD WAJISHINDIA TUZO YA DHAHABU KUPITIA KAMPENI YA VODACOM

  Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao amekabidhiwa na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Aggrey & Clifford, Rashid...

READ MORE

POLISI WAUA WATUHUMIWA WALIOMJERUHI MEJA JENERALI MSTAAFU

KUUWAWA KWA MAJAMBAZI WAWILI NA KUPATIKANA KWA SILAHA AINA YA SMG RISASI KUMI NA TISA NA MAGANDA MAWILI Jeshi la...

READ MORE

Nafasi za Kazi Standard Bank Tanzania

Job Details Risk Management: understanding all risks – from the economic to the political – that could affect our global...

READ MORE

Mtukufu Aga Khan Amewasili Nchini Kwa Mwaliko Wa Rais Magufuli

  Kiongozi wa madhehebu ya Shia Ismailia duniani, Mtukufu Aga Khan amewasili nchini kwa mwaliko wa Rais John Magufuli. Mtukufu...

READ MORE

JPM Aongoza Kikao Maalumu Baada ya Kuwaapisha Mawaziri na Manaibu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 09 Oktoba, 2017 amewaapisha Mawaziri 8,...

READ MORE

Uwoya Atoa Sharti Kutazama ilamu zake

STAA wa filamu Bongo, Irene Uwoya ametoa sharti kwa mashabiki wake kwamba kila wanapokuwa wanataka kutazama filamu zake hasa zile...

READ MORE

AIRTEL YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUZINDUA OFA KAMBAMBE

  Airtel leo wamezindua shamra shamra za wiki ya huduma kwa mteja kwa kuwakaribisha wateja wake wote waliongia madukani kwao...

READ MORE

OMMY DIMPOZ: NAIJUA SABABU YA BARAKA KUTOKA ROCKSTAR400

MSANII wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz, anayetamba na wimbo wake mpya wa Cheche amefunguka juu ya sakata lake na Baraka...

READ MORE

Kutana na George Majaba, Mshindi wa Nyumba ya Global Publishers

Hatimaye George Majaba, mkazi wa Dodoma, Mshindi Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba iliyokuwa ikiendeshwa kwa zaidi ya miezi 6 na...

READ MORE

Live: Tamthiliya ya Shevola – Part 5

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA...

READ MORE

Benki ya Dunia Yatoa Magari 11 Mradi wa SWIOFish

BENKI ya Dunia leo imekabidhi magari 11 kwa wakurugenzi na wakuu wa taasisi za Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi...

READ MORE