NI simanzi kuu! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia familia ya Mbwana Said, mkazi wa Kimanzichana wilayani Mkuranga, Mkoa wa Pwani kukumbwa...
READ MOREDUNIA haina huruma! Hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia mkasa uliomtokea Julius Wambua. Mwanaume huyu anatumikia kifungo cha maisha katika Gereza lenye...
READ MOREHAKUNA shaka tulio wengi tupo katika uhusiano wa kimapenzi wa mashaka. Hakuna hata mmoja wetu ambaye anaweza kujiaminisha kwa asilimia...
READ MOREUGONJWA wa homa ya ini huambukizwa kwa njia ya virusi ambavyo vikishaingia mwilini, hushambulia ini na usipodhibitiwa mapema hugeuka kuwa...
READ MOREKUNA unyama ambao ukisimuliwa unaweza kusisimkwa na mwili; mfano ni huu wa mtu kuchukua kitu chenye ncha kali na kumkata...
READ MOREKIPINDI kile mwanadada Gift Stanford ‘Gigy Money’ anaanza kujulikana, hakuna aliyejua kwamba alikuwa na lengo la kuja kuwa mwanamuziki. Wengi...
READ MORENI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini umzima na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku...
READ MOREUKIULIZWA ‘Kwa nini umemchoma kisu mwenzio na kumuua?’ Na ukagundua kuwa kosa lake lilikuwa ni kuvaa raba zako nyeusi za...
READ MOREMSIBA mbichi ni wa mwanahabari nguli nchini, Ephraim Samson Kibonde (47) ambaye alifariki dunia ghafla Machi 7, mwaka huu na...
READ MORELEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...
READ MORESIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya. Leo tunaainisha...
READ MOREFIGO ni viungo vilivyomo ndani ya mwili vyenye kazi ya kuchuja uchafu uliomo kwenye damu. Vinahusika pia na uratibu wa...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mwanariadha maarufu ambaye alishiriki mbio za marathon mwaka 2017/18 Mtwara na kushinda, Denis Mathias (pichani) mkazi wa...
READ MOREMPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...
READ MOREARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, babu mwenye umri wa miaka 70, mkazi wa Mtaa wa Kilimaji, Kata ya Moshono...
READ MOREUKIAMBIWA kaa chonjo usifikiri kuna jambo la heri linakuja, ni hatari tupu! Onyo hili liwafikie wanaume wote kutokana na kuibuka...
READ MOREGAZETI hili kwanza lina kila sababu ya kuipongeza serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Pombe Magufuli. Ndani...
READ MOREKATI ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi sehemu za siri ambayo husababishwa na uwepo wa fangasi...
READ MOREPOLISI wa Kituo Kikuu cha Kati (Sentro),Vincent Laurent na mwalimu wa Shule ya Keko-Magurumbasi, Jacqueline Mbawala wamejishindia kila mmoja kiasi...
READ MOREKATIKA ulimwengu wa sasa, wapenzi wapo wa aina tofauti. Kuna wale ambao mwanamke anafanya kazi mwanaume hana kazi, mwanaume ana...
READ MOREKUNA msemo wa Kingereza usemao; “Don’t judge a book by it’s cover”. Zipo tafsiri zisizo za moja kwa moja za...
READ MORENI SIMANZI juu ya simanzi! Kufuatia ajali iliyoua watu wanne katika mteremko wa Nyangoye, Bukoba mkoani hapa, mtoto wa mmoja...
READ MOREEEE Mungu wangu! Hutaacha kusema hivyo ukifanikiwa kumuona Nezia Maregesi, mkazi wa Majita mkoani Mara ambaye ana uvimbe mguuni wenye...
READ MOREYAPO madai mengi mtaani kuhusiana na wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa wanaopelekwa mahabusu ama kwa kunyimwa dhamana au kufungwa. Kwamba, kuna...
READ MOREMOROGORO: Kijana mmoja dereva wa bodaboda ambaye jina lake halikufahamika mara moja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 20, amepokea...
READ MORENAJARIBU kuvuta picha siku ya kwanza kabisa kukutana na mwanadada anayefanya fresh kwenye game la muziki Bongo. Huyu si mwingine...
READ MOREMambo yamezidi kunoga kwenye ile Chemsha Bongo inayoendeshwa na Gazeti la Uwazi ambapo wasomaji mbalimbali wamejizolea zawadi za pesa...
READ MOREMAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...
READ MOREDUNIANI kuna taabu, lakini jipe moyo! Mwanadada aitwaye Adelina Peter (25) (pichani), mkazi wa Yombo-Kilakala jijini Dar, amepatwa na janga...
READ MOREKUFAULU mtihani wa kidato cha nne kwa mtoto wa muigizaji maarufu Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Sonia George aliyepata Division One,...
READ MOREINAUMA sana! Watu wanne katika Kata ya Kapalamsenga, Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi, wamepigwa risasi na askari wa wanyamapori, ambapo...
READ MOREKATIKA ndoa za siku hizi, wakati mwanaume na mwanamke wakikutana na kukubaliana kuoana, utadhani hakuna jambo baya linaloweza kutokea kati...
READ MOREIKIWA unaishi maisha yako kwa raha mustarehe, afya yako ikiwa njema, unapaswa kushukuru kwani upande wa pili kuna wengine wanataabika...
READ MORENI mwaka mpya na mambo mapya lakini kiukweli kwenye suala la mapenzi hakuwezi kuwa na mambo mapya. Mambo ni yaleyale...
READ MOREMKURANGA: Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha; mfano ni hili tukio la kutisha...
READ MORENI asubuhi ya Januari 31, 2016, mitaa ya kijiji fulani nchini Nigeria imetulia, watu wanaendelea na shughuli zao za...
READ MOREMWANZA: Tukio la Jeshi la Polisi jijini Mwanza kukamata kilo 323.6 za dhahabu na maburungutu ya fedha taslim kiasi cha...
READ MORESIKU moja alifika staa mmoja wa kike katika ofisi zetu kwa lengo la kufanyiwa mahojiano. Ni staa mkubwa tu wa...
READ MOREFAMILIA ya Chacha Kiguha Babere inaweza kusema mvumilivu hula mbivu baada ya Mahakama ya Rufaa Tanzania kuuamuru Mgodi wa Dhahabu...
READ MORESAKATA la mtoto Issaya Merikioni aliyechomwa sindano na daktari na kunyauka mkono kisha ukakatwa linaendelea; sasa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
READ MORE