×

Uwazi

INASIKITISHA! USIOMBE YAKUKUTE YA MWANAMKE HUYU

USIOMBE yakukute! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na msichana Lilian Mwakyusa (28), kujikuta katika wakati mgumu baada ya kukutwa akiwa na...

READ MORE

KUFURU! BWA’MDOGO ANAYEDAIWA KUIPIGA MABILIONI SERIKALI YA JPM

UKISIKIA kuna bwa’mdogo wa miaka 34, tena anaishi Kongowe, Mbagala jijini Dar es Salaam, amefikishwa mahakamani akidaiwa kuipiga serikali ya...

READ MORE

WABUNGE WALIONUSURIKA KIFO KATIKA AJALI

ROHO wa ajali ashindwe na pepo mchafu aenezae hofu kipindi cha mwisho wa mwaka ambapo ajali nyingi hutokea naye alegee;...

READ MORE

WANAWAKE WANAVYODUMISHA NDOA ZAO KWA NJIA HATARISHI !

NI wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii ambapo tunazungumzia mada mbalimbali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi.  Namshukuru Mungu kwa...

READ MORE

SHILOLE ATAJA SIRI YA MAFANIKIO

Zuwena Mohammed ‘Shilole’ KUDORORA kwa fani za filamu na muziki nchini kumezidi kuwaongezea akili baadhi ya wasanii kwa kujiongeza na...

READ MORE

MATESO MTOTO HUYU USIPIME

IMEANDIKWA kwamba, kuna wakati wa kucheka na wakati wa kulia, wakati wa furaha na wakati wa huzuni; alipozaliwa lssaya Merikion...

READ MORE

NI SUMU? DAKTARI AMCHOMA MTOTO SINDANO, MKONO WAKAUKA!

TAHARUKI ya aina yake imezuka ndani ya hospitali moja kubwa mkoani hapa (jina linahifadhiwa kwa sababu maalum) baada ya madai...

READ MORE

BABU WA MIAKA 73 ANASWA UBAKAJI WA BINTIYE

BABU mwenye umri wa miaka 73, aliyefahamika kwa jina la Nnko, mkazi wa Kikatiti Wilaya ya Arumeru mkoani hapa, amejikuta...

READ MORE

NIMEPATA DAWA YA TRAFIKI WALA RUSHWA; TUITUMIE !

KAZI ya kufanya kila siku bila kuimaliza inachosha. Hata kula nako kusikokuwa na kikomo ni hatari kwa afya; vipi suala...

READ MORE

WASANII 15 BONGO WALIOKUZWA NA SANAA WAKANG’ARA KISIASA

SIASA hasa ya vyama vingi lazima ukubali kuwa na makundi mawili ya wanaokupenda na wanaokuchukia; utake usitake.  Kwenye sanaa makundi hayo...

READ MORE

HII KALI! WATAPIKA MSIBANI WAKIDAI KUNYWA MAJI YA SUMU

ZAIDI ya waombelezaji 10 katika msiba wa marehemu Mugusuhi Mwita wa Kitongoji cha Kwinyunyi katika Kijiji cha Matongo Wilaya ya...

READ MORE

MREMBO ADAIWA KUMUUA MCHUMBA WAKE!

MREMBO ambaye ukimuona unaweza kusita kuamini anachodaiwa kukifanya, yuko mikononi mwa polisi akituhumiwa kumuua mchumba wake aitwaye Erick Msodiki mkazi...

READ MORE

KIGOGO POLISI ALIYENASWA NA KABINTI KITANDANI, UTATA WAIBUKA!

SIKU nane baada ya kigogo aliyekuwa Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani wa Mkoa (RTO) kabla ya kustaafu, Mashaka Mdachi...

READ MORE

DIAMOND KAKUBALI KUJISHUSHA, VIPI KIBA?

MARA kadhaa nimekuwa siyo muumini wa kuamini kwamba eti Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’ wakikubali...

READ MORE

TUMEKWISHA! HIVI NDIVYO WENYE SIMU ZENYE PICHA ZA NGONO WATAKAVYONASWA

KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale am­bao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu...

READ MORE

MAMA ASIMULIA GARI LA SERIKALI LILIVYOMKATA MIGUU

INASIKITISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama mmoja, Amina Isumaili Jola (59), Mkazi wa kijiji na Kata ya Nyengedi, Wilaya...

READ MORE

ASKARI WAFARIKI DUNIA WAKIFUKUZANA NA RAIA

ASKARI wa wanyama pori wa Hifadhi ya Taifa (Tanapa), Charles Ndakama na mwenzake, John Magwe wamefariki dunia baada ya kufukuzana...

READ MORE

SIRI YA TAMBIKO LA WAZIRI KIGWANGALLA YAFICHUKA

SIRI ya Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini la mkoani Tabora, Dk....

READ MORE

MCHUNGAJI TAJIRI WA KUTISHA MWENYE KANISA BONGO

UKIFIKA jijini Dar Es Salaam eneo la Makongo Juu ndipo lilipo kanisa la En­lightened Christian Gathering ‘ECG’ la Mchungaji Shepherd...

READ MORE

MB DOGG ATOBOA SIRI YA KUPOTEA, NCHI ALIYOKIMBILIA

KWA wale waliokuwa wakipenda kusikiliza Muziki wa Bongo Fleva miaka ya 2006 watakuwa wanaelewa mashairi ya ngoma hii ya Si...

READ MORE

MZEE MIAKA 80 ADAKWA KWA UNGA

KAMISHNA Mkuu wa Tume ya Kudhibiti Madawa ya Kulevya nchini, Rogers Sianga alisema wamedhibiti uingizaji wa dawa za kulevya nchini...

READ MORE

SERIKALI YAFUNGUKIA WALIOSAMBAZA VIDEO YA ULAWITI YA AMBER RUTTY

GUMZO kubwa mtaani kwa sasa ni juu ya kesi inayomkabili mwanamuziki Ruth Abubakar ‘Amber Rutty’ ambaye video yake imevuja ikimuonesha...

READ MORE

KAMA MBABAISHAJI KWANINI, UNG’ANG’ANIE PENZI LAKE

ASSALAM alaikum mpenzi msomaji wangu wa safu hii. Ni matumaini yangu kwamba kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu umzima bukheri wa...

READ MORE

HIVI NDIVYO AMBER LULU ALIVYONUSURIKA AJALINI

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’ ameponea chupuchupu baada ya kupata ajali ya gari na kutoka salama licha...

READ MORE

BABU TALE ATOBOA SIRI YA KUMWACHA HAWA INDIA

MENEJA wa Kundi la Wasafi Classic Baby (WCB), Hamisi Taletale ‘Babu Tale’ ameibuka na kutoboa siri ya kumuacha nchini India...

READ MORE

WEMA; KAMWE SHERIA HAISAMEHI 7 MARA SABINI

  UMEFIKA wakati Wema Sepetu achunguzwe akili kwa sababu tabia zake zinatia mashaka huenda kuna shida kichwani mwake.     Likijulikana...

READ MORE

MTOTO ATUPA TUHUMA NZITO KWA POLISI

KITENDO cha kinyama alichofanyiwa mtoto wa miaka 8 (jina linafichwa) mkazi wa Vijimbweni, Kig­amboni jijini Dar kimemfanya atupie tuhuma nzito...

READ MORE

SIKU 3 ZA PAPARAZI NDANI YA DANGURO!

DANGURO moja maarufu lililopo Sinza Mori jijini Dar, licha ya mara kadhaa kikosi cha Operesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global...

READ MORE

ACHILIA ISHU YA MO, MASTAA HAWA NAO… WALITEKWA, WAKAZUA GUMZO!

WIKI mbili zilizopita kila kona kulikuwa na sintofahamu baada ya kutokea tukio la kutekwa kwa bilionea namba moja nchini, Mohammed Dewji...

READ MORE

BIBI NUSURA AFE AKIMLILIA LUKUVI

Bibi mmoja aliye­fahamika kwa jina la Rehema Shabani mkazi wa Kulangwa, Tegeta ‘A’ jijini Dar, hivi karibu­ni nusura afariki dunia...

READ MORE

WAKATI MO AKISAKWA ALIYETEKWA SIKU 14 A IBUKA KANISANI

WAKATI mfanyabi­ashara ambaye ni bilionea maarufu Bongo, Mohammed Dewji akisakwa kila kona bila mafanikio, kijana Chris­topher Stambuli (pichani) ambaye alitekwa...

READ MORE

NILICHOKIONA NYUMBANI KWA HAYATI NYERERE

 JUZI Jumapili, Oktoba 14, imetimia miaka 19 tangu kufariki dunia kwa muasisi wa taifa hili na rais wake wa kwanza,...

READ MORE

AKIKUSALITI UKAMUACHA, WEWE NI MSHAMBA WA MAPENZI !

NI matumaini yangu kwamba una shauku kubwa ya kujua nini nimekuandalia kwa leo. Ni yaleyale kuhusu maisha yetu ya kimapenzi...

READ MORE

WASTARA ATOBOA SIRI YA KUPENDA KUOLEWA

LICHA ya kuolewa zaidi ya mara tatu, msanii mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya filamu Bongo, Wastara Juma amesema siri...

READ MORE

KIWANJA CHA MIL. 97 CHA SANCHI CHAZUA GUMZO

MUDA mfupi mara baada ya kuanika kiwanja anachodai kukinunua kwa shilingi milioni 97 maeneo ya Bunju jijini Dar, mwanamitindo Jane...

READ MORE

SKENDO YA NGONO KANISANI

SKENDO ya ngono kuingia kwenye nyumba ya Mungu haipendezi; lakini kwa kuwa shetani yu kazini imedaiwa kufika ndani ya Kanisa...

READ MORE

MUNA ALIA NA WATOTO HAWA

MIEZI kadhaa baada ya mwanadada Rose Alphonce ‘Muna Love’ afiwe na mwanaye Patrick Peter, ameamua kumuenzi mwanaye huyo kwa kufanya...

READ MORE

SNURA AFUNGUKIA KUPEWA MIMBA NA BEN’TEN

UNAPOTAJA wasanii warembo wanaofanya vizuri Bongo Flevani, huwezi kuacha kulitaja jina la Snura Mushi ‘Snuu Sex’. Amelisumbua anga la Bongo...

READ MORE

MSHANGAO NYUMBANI KWA LISSU

WAKATI Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ‘akiwachimba biti’ waliompiga risasi na kumuacha na kilema, mshangao umeibuka nyumbani kwake Tegeta...

READ MORE

BETHIDEI YA KIKONGWE MIAKA 103 YATIKISA DAR!

NINI Wema Sepetu! Mbwembwe nyiiingiii kwenye bethdei yake ya kutimiza miaka 30, je, angekuwa Bibi Catherine Abdallah Batemayo aliyesherehekea kutimiza...

READ MORE