×

Kocha Mpya wa Manchester United, Erik Ten Hag Avunja Mkataba Wake Ajax

  BOSI mpya wa Manchester United, Erik ten Hag amevunja mkataba wake ili kuiwahi klabu yake hiyo mpya tayari kwa...

READ MORE

Rais Samia Anazindua Barabara Ya Tabora – Koga – Mpanda, Yenye Urefu Wa Km. 342.9-Video

 Rais Samia leo mei 18 2022, amezindua barabara ya Tabora – Koga – Mpanda, yenye urefu wa KM. 342.9...

READ MORE

Diamond Vitani Tena na Burna Boy, Wizkid Kuwania Tuzo Kipengele Kimoja Ghana!

  DIAMOND Platnumz au Simba; ni supastaa wa muziki nchini Tanzania ambaye kwa mara nyingine ameingia vitani na wasanii wakubwa...

READ MORE

Fahamu Ubabe wa Simu ya Infinix HOT 12, Kwa Kugusisha tu Kwenye Nishati ya Umeme Inakupa 25% Papo Hapo

Moja ya simu janja ambayo mapokezi yake ni makubwa sana ni Infinix HOT 12, simu mpya hii ilizinduliwa tarehe 10...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 21

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: “Tunapoingia kazini, lazima mjue kwamba lengo letu siyo kuua watu wasio na hatia, kama...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Outstanding Solutions, Accounts Receivable

Accounts Receivable Responsibilities Main Duties: Administration To facilitate human resources development and maintain effective communication within the department and with...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Mei 18, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 18, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Benki ya Exim Yazindua ‘Wajasiriamali Akaunti’

Dar es Salaam: Mei 18, 2022; Benki ya Exim imezindua huduma maalum kwa ajili ya wafanya biashara wadogo wadogo na wajasiriamali...

READ MORE

Sure Boy Ampa Kiburi Bosi Yanga, Afunguka Mazito ni Kikosi cha Msimu Huu ni Hatari

  MJUMBE wa Kamati ya Mashindano ya Yanga na Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said, anajivunia usajili bora...

READ MORE

Ni Kweli Paula Anasomea Udaktari? Wanafunzi Wanaosomea Fani ya Udaktari Wafunguka

  PAULA Kajala au Pau; ni mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii (sosholaiti) ambaye baadhi ya wanafunzi wanaosomea fani ya...

READ MORE

Mapacha Wenye Miaka 9 Mkoani Arusha Wanaishi kwa Kula Magodoro

Mapacha wenye umri wa miaka 9 mkoani Arusha wanaoishi huku wanakula magodoro, wanaomba msaada ili wakatibiwe.   Mama mzazi wa...

READ MORE

RC Kafulila Atoa siku 7 Mkataba na Mkandarasi Didia Co. Ltd Uvunjwe

MKUU wa Mkoa wa Simiyu David Kafulila ametoa muda wa siku saba kwa wakala wa Barabara mjini na vijijini (Tarula)...

READ MORE

Rais Mstaafu Kikwete Atia Saini Kitabu cha Maombolezo Ubalozi wa UAE

RAIS Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,  ametia saini Kitabu cha Maombolezo katika Ubalozi wa...

READ MORE

Injinia Hersi Atamba Yanga Kufanya Usajili Babu Kubwa Utakaokuwa Gumzo Afrika

  MJUMBE wa Kamati ya Mashindano na Usajili wa Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa GSM, Injinia Hersi Said,...

READ MORE

Rais Samia Azindua Barabara ya Nyahua – Chaya, Tabora Yenye Urefu wa KM 85.4 (Picha +Video)

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali ya awamu ya Sita inaendelea kukamilisha miradi yote ya maendeleo iliyoanza wakati...

READ MORE

Kocha wa Mbeya Kwanza Afungiwa Miaka Mitano, Namungo Wapewa Pointi 3

Kocha wa Mbeya Kwanza, Mbwana Makata na Meneja David Naftali wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja kwa...

READ MORE

SIMULIZI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 20

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Alitufundisha kwanza kwa maneno huku akituonesha, akatufundisha namna ya kuweka risasi kwenye bunduki na...

READ MORE

Chadema Yacharuka Sakata la Akina Mdee na Wenzake – Video

 KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe ameonesha kushangazwa na uamuzi wa Spika wa...

READ MORE

Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma Ahimiza Wadau Kusoma Hukumu za Mahakama

  Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amewahimiza Wadau wa mnyororo wa utoaji haki nchini kusoma hukumu...

READ MORE