×

Meridianbet Kutoa Faraja ya Ziada kwa Wacheza Win&Go

Meridianbet inaendelea kuboresha uzoefu wa wateja wake kwa kuanzisha mpango wa kurejesha sehemu ya hasara kwa wachezaji wanaoshiriki mchezo wa...

READ MORE

Kwagilwa Aagiza Kusitisha Malipo Ya Mhandisi Mshauri Aliyechelewesha Mradi Wa Daraja Tabora

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb),...

READ MORE

Sababu Kuu Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume Zipo Hapa

Upungufu wa nguvu za kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamilifu au kushindwa kusimamisha via ya uzazi kwa mwanaume....

READ MORE

Katambi Ateuliwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Makonda Wizara ya Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuwateua na...

READ MORE

Taifa Stars Waweka Historia, Wapokelewa na Viongozi wa Serikali Dar (Picha +Video)

Viongozi mbalimbali wa Serikali, wakiongozwa na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Prof. Paramagamba Kabudi, walipokea kwa shangwe...

READ MORE

Rais Samia Azindua Majengo ya Taasisi ya Sayansi za Bahari Zanzibar (Picha +Video)

ZANZIBAR – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi majengo mapya ya Taasisi ya...

READ MORE

Marekani Yasitisha Viza kwa Raia wa Tanzania Kuanzia Januari 1, 2026

Serikali ya Marekani imetangaza kusitisha utoaji wa aina mbalimbali za Viza kwa Raia wa Tanzania kuanzia tarehe 1 Januari 2026,...

READ MORE

Polisi Ashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya raia, vifo vitatu vyachunguzwa

Jeshi la Polisi Tanzania linaendelea kufanya uchunguzi wa kina kuhusiana na matukio matatu tofauti ya vifo yaliyotokea katika maeneo ya...

READ MORE

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari Yatangaza Ukaguzi Maalumu Nchini

Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imetangaza kufanya ukaguzi maalumu katika vyombo vya habari na maeneo mbalimbali nchini, kwa...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Azungumza Na Machinga, Madereva Pikipiki Na Bajaji

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 08, 2026 anazungumza na Wamachinga, madereva pikipiki na bajaji za kubeba abiria katika...

READ MORE

Baada ya Kumng’oa Maduro, Trump Afungua Mlango wa Mazungumzo na Colombia

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema atakutana na Rais wa Colombia, Gustavo Petro, katika Ikulu ya White House hivi karibuni,...

READ MORE

Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo

Kampuni zinazoongoza kwenye huduma za maduka zinatafuta wasichana 27 wenye weledi na tabia nzuri za kuhudumia wateja. Nafasi hii ni...

READ MORE

RC Chalamila Afunguka: Tanzania Tumejifunza Morocco Kabla ya AFCON 2027

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema ofisi yake imetuma kikosi kazi maalum nchini Morocco kwa lengo...

READ MORE

Anza Safari Yako ya Kuwa Milionea na Meridianbet Leo

Je unajua kuwa sehemu pekee ya wewe kutimiza ndoto zako ni Meridianbet pekee?.  Tandika jamvi lako sasa na unanze safari...

READ MORE

Jennifer Lopez Aweka Sokoni Nyumba ya Ndoto Yake Beverly Hills

Msanii maarufu Jennifer Lopez ameweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo Beverly Hills, ambalo linatajwa kuwa miongoni mwa nyumba za...

READ MORE

Trump Aogopa Mashtaka ya Kikatiba, Aelekeza Macho Uchaguzi wa 2026 – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametoa onyo kali kwa wabunge wa chama chake cha Republican, akidai kuwa wasiposhinda uchaguzi wa...

READ MORE

Mke wa Saidi Fella Awaomba Watanzania na Rais Samia Kumsaidia mume wake – Video

Mke wa Saidi Fella, Sweet Fella, amewaomba Watanzania wajitokeze kumsaidia mume wake ili aweze kurejeshwa India kwa ajili ya matibabu...

READ MORE

Video: Mwenyekiti wa Mtaa wa Oysterbay Aeleza Mtego Uliowanasa Wachina

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Mololo Mwaisumo, ameuelezea umma namna walivyofanikiwa kuwaweka mtegoni na kuwanasa raia wawili wa...

READ MORE

Meridian Bonanza Kukupa Uzoefu Mpya Wa Kasino Mtandaoni

Meridian Bonanza imeingia sokoni kama mapinduzi ya kweli ndani ya ulimwengu wa kasino mtandaoni ya Meridianbet. Sio mchezo wa kawaida,...

READ MORE

Serikali Yazalisha Ajira Zaidi ya 1,400 Nje ya Nchi kwa Vijana na Wanawake

Serikali imefanikiwa kuzalisha ajira zaidi ya 1,400 za vijana na wanawake kwenda kufanya kazi nje ya nchi katika kipindi cha...

READ MORE