×

Maroboti Kuchezesha Kombe la Dunia

Shirikisho la Soka Kimataifa (FIFA) lipo kwenye mkakati wa kutambulisha maroboti watakaokuwa waamuzi wa pembeni katika michuano ya Kombe la...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Juni 10, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Juni 10, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Vijana Wapigwa Msasa Kuhusu Masuala ya Amani

SHIRIKA la Global Peace Foundation Tanzania kupitia mradi wa ‘Vijana Katika Ujenzi wa Amani’ limetoa mafunzo kwa vijana wa mkoa...

READ MORE

Dk. Mollel Apongeza Uwekezaji KHEN Sekta ya Afya

  SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na Mtandao wa Elimu ya Afya Kairuki (KHEN), kwenye sekta ya elimu ya afya kwani...

READ MORE

Ahukumiwa Miaka 20 Jela kwa Kosa la Kukutwa na Nyara za Serikali

Mahakama ya Wilaya ya Babati imemhukumu miaka 20 jela mwanaume mmoja mkazi wa kijiji cha Vilima Vitatu wilayani humo Mashaka...

READ MORE

Injinia Hersi Arudisha Fomu ya Kugombea Urais wa Klabu ya Yanga

WAKATI leo Juni 9,2021 ikiwa ni siku ya mwisho ya kurejesha fomu na kesho mchujo kuweza kuanza leo Injinia Hersi...

READ MORE

Rais Samia Azindua Mradi wa Maji wa Kyaka-Bunazi Mkoani Kagera

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amezindua mradi wa maji wa Kyaka-Bunazi mkoani Kagera leo Juni...

READ MORE

Aliyeiba Kanisani Aomba Kutubu kwa Mchungaji Kabla ya Kupelekwa Jela

KIJANA mmoja aliyebainika kuiba vifaa vya muziki kwenye kanisa la Kenya Assemblies of God (KAG) mjini Eldoret nchini Kenya ameomba...

READ MORE

Ambaka na Kumlawiti Mtoto (5) Mkoani Katavi Kisa Ahadi ya Kupewa Ng’ombe

KIJANA mmoja anayefahamika kwa jina la Juma Jackson (30) mkazi wa Kijiji cha Kagunga wilayani Tanganyika Mkoa wa Katavi anashikiliwa...

READ MORE

Rais Samia: Nimevutiwa Sana na Ajira Niliyoikuta Hapa Kiwanda cha Sukari – (Picha +Video)

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema amevutiwa sana na kiwango cha ajira kilichotolewa na...

READ MORE

Familia Yagoma Kuondoa Kaburi Katikati Ya Barabara, RC Kafulila Ajitosa

Familia ya Saguda Madako katika kijiji cha Nkindwabiye Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, imegoma kuhamisha kaburi linalodaiwa kuzikwa...

READ MORE

Mshambuliaji wa Arsenal Lacazette Ajiunga na Lyon kwa Miaka Mitano Bila Malipo

  MSHAMBULIAJI wa Arsenal Alexandre Lacazette amesajiliwa tena Lyon kwa uhamisho wa bila malipo miaka mitano baada ya kuondoka na...

READ MORE

Bodi ya Ligi Yatangaza Kombe Jipya Kwa Bingwa wa NBC 2021/2022(PICHA+VIDEO)

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Almas Kasongo ametambulisha Kombe Jipya atakalopewa Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu huu...

READ MORE

Fahamu Kiundani Sifa Kuu za Infinix Note 12 VIP, Inachaji Betri Haraka, Kamera 108MP

Infinix iko mstari wa mbele katika kutengeneza simu mahiri zinazofaa kwa watumiaji kwa kuchanganya teknolojia bora zaidi ya simu mahiri...

READ MORE

Video: Rais Samia Atembelea Kiwanda cha Sukari Kagera, Aongea na Wafanyakazi

 RAIS Samia Suluhu, leo Juni 09, 2022 ameendelea na ziara yake mkoani Kagera ambapo amezindua miradi mbalimbali pamoja na...

READ MORE

Meneja Mpya wa Harmonize Kajala Adaiwa Kumuondoa Mjerumani Konde Gang

  OGOPA mno kuchanganya mapenzi na kazi! Saa kadhaa baada ya Harmonize au Konde Boy kumtangaza Kajala Masanja au Mama...

READ MORE

Mke Amvizia Mumewe Akiwa Usingizini, Amkaba Koo Mpaka Kumuua

Mwanamke mmoja aitwaye Maria Matheo anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Tabora kwa tuhuma za kumvizia mumewe GABRIEL NGUWA (80)...

READ MORE

Video: Wabunge Wanambana Waziri Mkuu Kwa Maswali Ya Papo Kwa Papo

 WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akijibu maswali mbalimbali kutoka kwa wabunge katika bunge la...

READ MORE

Simulizi Ya Kusisimua: The Darkest Hours (Saa Za Giza Totoro)- 22

  MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Dakika chache baadaye, tuliona yale magari yanayotumika kubebea fedha na kuzisambaza kwenye benki...

READ MORE

Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi Afariki Katika Pambano (Video+Picha)

  Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia baada ya kuvuja damu kwenye ubongo kufuatia pambano la ndondi lililofanyika...

READ MORE