×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Aprili 20, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 20, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Liverpool Yaichakaza Man United, Ronaldo Apewa Dakika Moja ya Heshima

KATIKA mchezo wa Ligi kuu nchini Uingereza uliochezwa kwenye uwanja wa Anfield klabu ya Liverpool imeibuka na ushindi mnono wa...

READ MORE

Madereva wa Daladala Mkoani Songwe Wagoma Kutoa Huduma ya Usafirishaji

Madereva wa Daladala za Tunduma Mpemba Mkoani Songwe wamegoma kutoa huduma ya usafirishaji kwa madai ya Maslahi madogo. Wakizungumza na...

READ MORE

Winga wa Yanga Mwenye Spidi Dickson Ambundo Kasepa na Dakika 256

WINGA mmoja hivi mwenye spidi awapo uwanjani na ni mzawa ambaye aliweza kuwa shujaa mbele ya Polisi Tanzania alipoweza kufunga...

READ MORE

Mwizi Aogeshwa Maji ya Tope, Akimbia Kipigo Kutoka kwa Wananchi, Polisi Wamuokoa

KIJANA ambaye hajafahamika haraka jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 mpaka 30 mkazi wa Igoma halmashauri...

READ MORE

Mayele na Kagere Wote Wazee wa Kuetetema na Wachawi wa Dakika za Majeruhi

UNAIKUMBUKA ile mechi aliyokaa Ramadhan Kabwili langoni kwa mara ya kwanza akiwa langoni? Ilikuwa ni Februari 16, 2019 ni Kagere...

READ MORE

Mastaa Hawa Usishangae Kuwaona Wakikiwasha Bongo Msimu Ujao

  LIGI Kuu Bara msimu huu wa 2021/22 unazidi kupamba moto ukielekea ukingoni ambapo tayari baadhi ya timu tayari zimefanikiwa...

READ MORE

Tutawaonesha Kazi Orlando Pirates Kwao, Ahmed Ally Atamba Kutinga Nusu Fainali

BAADA ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Orlando Pirates kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Kombe...

READ MORE

Klabu ya Simba Yatoa Taarifa kwa Umma Kuhusu Kuchukua Hatua kwa Kocha wa Orlando

KLABU ya Soka ya Simba imetoa taarifa kwa Umma juu ya hatua iliyochukua kutokana na kauli zilizotolewa na Kocha wa...

READ MORE

Aucho Anaidai Yanga, Kagoma Kucheza? – Injinia Hersi Afunguka Ukweli Wote – Video

Global Tv imefanya mahojiano na mjumbe wa kamati ya Usajili wa Yanga, Injinia Hersi Said na amefunguka tetesi za kiungo...

READ MORE

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Linachunguza kwa Kina Kifo cha Padri Kangwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linachunguza kwa kina tukio la kifo cha Padri wa Kanisa...

READ MORE

Waethiopia Wakusanyika Katika Ubalozi wa Urusi Kujiandikisha kwa Vita Nchini Ukraine

VIJANA  wa Ethiopia wanaendelea kukusanyika katika ubalozi wa Urusi mji mkuu Addis Ababa, leo Jumanne Aprili 19, 2022 kufuatia uvumi...

READ MORE

Msemaji wa Yanga Haji Manara Alamba Dili la Ubalozi, Adai ni Baraka za Mke Mpya -Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesaini mkataba huo mbele ya waandishi wa habari na ameahidi kuitumikia vema kampuni...

READ MORE

Urusi Yaanza Awamu ya Pili ya Mapigano Nchini Ukraine Katika Jimbo la Donbas

MAPIGANO makali yametekelezwa katika miji ya Donbas ikiwa ni wiki kadhaa tangu Urusi iweze kusitisha mapigano yake katika nchi ya...

READ MORE

Mtoto Auawa Kwa Kumwagiwa Maji ya Moto na Bibi Yake Lyabukande Wilaya ya Shinyanga

Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga...

READ MORE

Kajala Kamjibu Harmonize? Atoa Ujumbe Mzito “Heri Kuwa Peke Yako Kuliko Kuwa na Asiyekufaa”

Harmonize au Konde Boy Mjeshi ni msanii mkubwa nchini Tanzania ambaye umepinduka mwezi mmoja sasa tangu alipoanza harakati za kumuomba...

READ MORE

Kiungo wa Simba Hassan Dilunga Kukaa Nje ya Uwanja kwa Wiki Nne Afanyiwa Upasuaji

KIUNGO mshambuliaji fundi wa Simba, Hassan Dilunga, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo....

READ MORE

Video: Waziri Nape Nnauye Azindua Studio Mpya Za Kisasa Za TBC 2, Mikocheni – Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnaye amezindua jengo la kisasa la studio za TBC2 mkoani Dar...

READ MORE

Mtoto wa Kiume wa Cristiano Ronaldo Afariki Dunia Baada Ya Kutarajia Mapacha

Kupitia ukurasa rasmi wa Cristiano Ronaldo wa Instagram, ametangaza kifo cha Mtoto wake wa kiume ambaye amezaliwa leo, hii inakuja...

READ MORE