×

Mwili wa Msanii Maunda Zahir Zorro Kuzikwa Kesho Kwenye Makaburi Yaliyopo Kibada, Kigamboni

MWILI wa Msanii wa Bongo Fleva, Maunda Zahir Zorro unatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi kwenye makaburi yaliyopo Kibada, Kigamboni ambako alikuwa...

READ MORE

Rihanna na ASAP Rocky Je Kweli Wamemwagana? Inasemekana Kisa ni Usaliti

    Habari inayotrend kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa leo, ni madai kuhusu mastaa wawili wakubwa wa...

READ MORE

Kisa Simba, Nabi Apiga Mkwara Mzito Kambini Yanga, Ataka Waiwaze Namungo 

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na...

READ MORE

Familia ya Ricketts Imesitisha Ofa Yao ya Kuinunua Klabu ya Chelsea

TAARIFA iliyotolewa na Kampuni ya uwekezaji ya Ricketts imedai kuwa wameamua kujitoa kutokana na mambo kadhaa kutoelezewa vizuri juu ya...

READ MORE

CAF na FA Kunogesha Wikiendi Yako, Tiketi ya Ushindi Ipo Meridianbet Pekee!

NI hatua ya robo fainali kunako mashindano ya Afrika wakati barani Ulaya, ni mitanange ya nusu fainali ya Kombe la...

READ MORE

Daktari Matatani kwa Kuwapapasa, Kuwabusu Wagonjwa Wake Wakiwemo Wajawazito

DAKTARI mmoja kutoka North Lanarkhire nchini Scotland, Krishna Singh (72) amekutwa na hatia ya makosa 54 ya unyanyasaji wa kingono...

READ MORE

Nyumba Yanusurika Kuungua Baada ya Gari Kuteketea kwa Moto Nje ya Nyumba Hiyo

NYUMBA moja mali ya Bw. Rashid Adam mkazi wa Dodoma, imenusurika kushika moto kutokana na gari iliyokuwa imepaki nje ya...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa National Democratic Institute Jijini Washington

  RAIS Samia yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo amefanikiwa kukutana na viongozi mbalimbali wa kiserikali pamoja na...

READ MORE

Mshambuliaji wa Zanaco Phiri aitaka namba ya Yacouba Yanga, Adai ina Bahati

MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10...

READ MORE

Wakijiandaa Kuikabili Simba… Nabi Amuongezea Makali Mayele “Tumekuwa na Wakati Mzuri”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha ya mwenendo bora walionao msimu huu, bado haridhishwi na kiwango...

READ MORE

Rais Samia Amfuta Kazi Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa MSD, Afanya Uteuzi Mwingine

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemfuta kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Chico Majanga Tena, Aumia Akiwa Mazoezini

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali...

READ MORE

Meli ya Kivita ya Urusi Moskva Imezama, Wizara ya Ulinzi ya Urusi Yadhibitisha

Meli ya Urusi ya kusafirisha makombora imezama katika “bahari yenye dhoruba” wakati ikivutwa baada ya kutokea mlipuko wa risasi ulioathiri...

READ MORE

Kisa Simba… Fei Toto, Aucho Wawekwa Chini ya Uangalizi Yanga, Wameanza Mazoezi

JOPO la madaktari wa Yanga chini ya Mtunisia, Youssef Ammar, umewaruhusu viungo wao, Feisal Salum ‘Fei Toto’ na Khalid Aucho...

READ MORE

Waziri Mkuu Ataka Vyombo vya Habari Vifanye Kazi kwa Kuzingatia Weledi na Maadili

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ili kuhakikisha wananchi wanapata habari sahihi vyombo vya habari havina budi kufanya kazi kwa kuzingatia...

READ MORE

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara Anaoa Mke wa Pili Dar, Mastaa Wampongeza

Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara akiwa anaoa mke wa pili Aprili 14, 2022. Kupitia Ukurasa wake wa Instagram...

READ MORE

Simba Yaipa Yanga Siku Tano Tu Kuandaa Silaha za Kuwaangamiza Ligi Kuu

UONGOZI wa Simba SC, umesema hivi sasa nguvu zao wamezielekeza katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Aprili 15, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 15, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE