×

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Mei 4, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Raia Nchini China Apelekwa Mochwari Akiwa Hai, Daktari wa Zamu Atimuliwa Kazi

RAIA mmoja katika Jiji la Shanghai nchini China amepelekwa mochwari kwa bahati mbaya akidhaniwa ni maiti kumbe bado yupo hai...

READ MORE

Kocha Yanga Afunga Mjadala wa Fiston Mayele na Beki wa Simba, Henock Inonga

ALIYEWAHI kuwa Kocha Mkuu wa Yanga ambaye sasa ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunga...

READ MORE

Bakari Mwamnyeto, Aongeza Mkataba wa Miaka Miwili Jangwani, Injinia Hersi Atoa Tamko

  NAHODHA na beki wa kati tegemeo ndani ya Yanga, Bakari Mwamnyeto, ameongeza mkataba wa miaka miwili wenye thamani inayotajwa...

READ MORE

Watu 5 Wapoteza Maisha kwa Kufukiwa na Kifusi cha Udongo Songwe.

WATU 5 katika familia mbili tofauti wamepoteza maisha kwa kufukiwa na kifusi cha udongo kilichoporomoka kutokana na mvua zilizonyesha usiku...

READ MORE

Simba Yabanwa Mbavu na Namungo, Sasa Pengo na Yanga ni Alama 12

  KLABU ya Soka ya Simba imeambulia sare katika pambano lake la Ligi Kuu ya NBC dhidi ya Namungo kwenye...

READ MORE

Simba Kuachana na Mastaa Sita wa Kigeni Mwishoni mwa Msimu, Kusajili Majembe Mapya

KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara watakachokitumia katika michuano ya kimataifa msimu ujao, Simba SC imepanga kuachana na wachezaji sita...

READ MORE

Namungo Yaitishia Simba Leo Jumanne Kwenye Dimba la Ilulu, Lindi Ligi Kuu Bara

  KUELEKEA mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba utakaochezwa leo Jumanne kwenye Dimba la Ilulu, Lindi, Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Kocha wa Simba Pablo Akubali Yaishe Ligi Kuu Atoa Tamko Kuwa Yanga Bingwa

  KOCHA Mkuu wa Simba, Mhispania, Pablo Franco, amekubali yaishe baada ya kutamka kuwa watani wao wa jadi, Yanga tayari...

READ MORE

Rais Samia Awataka Waandishi Kuzingatia Mila, Desturi za Kiafrika Kuandika Mazuri -Video

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari kuandika habari kwa kutunza na kuheshimu mila na desturi za...

READ MORE

Papa Francis Kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin Kujadili Kuhusu Vita Nchini Ukraine

Papa Francis anasema amejitolea kusafiri hadi Moscow kukutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin ili kujadili kuhusu vita nchini Ukraine,...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Swala Ya Eid Katika Msikiti wa Mfalme, Muhammad wa Sita wa Morocco, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2022 ameshiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Swala Ya Eid El Fitri Katika Msikiti Mkuu Wa Bakwata Kinondoni Dar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Mei 3, 2022 ameshiriki  Swala ya Eid El...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Exim Bank, Relationship Manager

Job Category : Management Job Code : 2021 Job Name : Branch Manager Details :JOB TITLE: Relationship Manager REPORTING TO: ...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Mei 3, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 3, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nafasi ya kazi MDH, Administration and Operation Manager

ADMINISTRATION AND OPERATIONS MANAGER ADMINISTRATION AND OPERATIONS MANAGER(1 Post) LOCATION: MDH HEAD OFFICE REPORTS TO: DIRECTOR OF HUMAN RESOURCES Position...

READ MORE

Fahamu Mfumo wa Uagizaji Mafuta wa Pamoja Ulivyoepusha Bei Kupaa Zaidi

Licha ya taifa kupitia changamoto ya ongezeko la bei ya mafuta  ya petrol na dizeli inayotokana na ongezeko la bei...

READ MORE

Fulham Yaichakaza Luton 7-0 Yarudi Ligi Kuu ya Uingereza kwa Kishindo

KLABU ya Fulham imetwaa ubingwa wa Ligi Daraja la Kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship.   Fulham imechukua Ubingwa huo...

READ MORE

 Kibwana, Saido Hofu Yatanda, ni Kuhusu Hatima Yao Ndani ya Klabu

WAKATI wachezaji Kibwana Shomari na Saido Ntibazonkiza wakiwa wanafanya vyema ndani ya Yanga, habari mbaya zaidi kwa upande mwingine ni...

READ MORE