×

Odemba Adaiwa Kumbemenda Msanii wa Konde Music, Afunguka Mapya

Miriam Odemba; ni mwanamitindo wa kimataifa wa Tanzania mwenye umri wa miaka 40 ambaye amegonga vichwa vya habari akidaiwa kumbemenda...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Aprili 30, 2022 …Yanga vs Simba Kitawaka

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 30, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Uzinduzi The Royal Tour Arusha… Wema Atamba “Tumerudi Enzi Zetu za Filamu”

  Wema Isaac Sepetu siku hizi wanamuita Last Born (Kitindamimba au Mziwanda) wa Taifa; ni miongoni mwa mastaa wa Bongo...

READ MORE

Ripoti Inaonesha Wanawake Wanaongoza kwa Magonjwa ya Ngono Meatu

Kamati ya Ukimwi Halmashauri ya Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, imesema kuwa katika Wilaya hiyo takwimu zinaonyesha uwepo wa idadi...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Atoa Heshima za Mwisho Akiaga Mwili wa Mwai Kibaki

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza maelfu ya Wakenya katika maombolezo ya kitaifa ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Mwai Kibaki leo...

READ MORE

Salah Atwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa Mwaka nchini Uingereza

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Liverpool raia wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Ligi Kuu...

READ MORE

Mafuriko Yakata Mawasiliano Mufindi, Yakatisha Masomo kwa Wanafunzi

ZAIDI ya ekari 20 za mashamba yenye mazao mbali mbali katika kijiji cha Kitasengwa kata ya Makungu wilaya ya Mufindi...

READ MORE

Mbio za Top 4 na Ubingwa Kutawala Viwanjani, Meridianbet Tunakupatia Odds na Bonasi Kubwa Wikiendi Hii!

Wakati tukiwa tunaelekea ukingoni mwa mwezi April na kuukaribisha mwezi Mei wikiendi hii, ligi kuu soka nchi mbalimbali nazo zinaelekea...

READ MORE

Promota Semunyu: Selemani Kidunda Dhidi ya Tshimanga Katompa Rasmi Julai 30 Songea

  PROMOTA wa mapambano kutoka Kampuni ya Peak Time Media (PTM), Meja Seleman Semunyu ameweka wazi rasmi kuwa pambano la...

READ MORE

Picha: Shuguli ya Mazishi ya Kitaifa ya Rais wa Zamani wa Kenya Emilio Mwai Kibaki

MAZISHI ya kitaifa yanafanyika leo Ijumaa kwa ajili Rais wa zamani wa Kenya Mwai Kibaki aliyefariki wiki moja iliyopita akiwa...

READ MORE

Manara Atema Cheche Adai Wachezaji wa Kitanzania Hawajitambui – Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara kupitia kipindi cha Krosi Dongo kinachorushwa na 255globalradio na Global TV amesema kumekuwa...

READ MORE

HADITHI YA KUSISIMUA: THE DARKEST HOURS (SAA ZA GIZA TOTORO)- 8

MTUNZI: Hashim Aziz (Hashpower) 0719401968 ILIPOISHIA: Ghafla niliinuka huku ‘bomba’ likiwa mkononi, kidole kikiwa kwenye ‘trigger’, nikazichekecha kwa mtindo wa...

READ MORE

Simba Yapata Balaa Jingine, Kiongozi Afrika Kusini Aishitaki CAF

MTENDAJI MKUU wa Shirikisho la Mpira wa Miguu la nchini Afrika Kusini Tebogo Motlanthe amesema kitendo cha Klabu ya Simba...

READ MORE

Watani wa Jadi Kesho Kitawaka Kwa Mkapa, Yanayonogesha Kariakoo Dabi Yapo Hapa

KESHO kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi katika Ligi kuu Tanzania Bara ambapo Yanga itaikaribisha Simba. Simba katika mchezo...

READ MORE

‘Panya Road’ Wanawake Waibuka Dar, Wawakata Watu Mapanga, Wavamia Nyumba 21 Usiku -Video

 Tukio hilo la kustaajabisha limetokea usiku wa kuamkia Aprili 24, 2022 katika mtaa wa Gogo, Kata ya Chanika jijini...

READ MORE

GSM Aweka Dau la Mil 400 Kama Bonasi kwa Wachezaji wa Yanga Ili Simba ifungwe

KATIKA kuhakikisha wanapata ushindi dhidi ya Simba, Mdhamini wa Yanga, Bilionea Gharib Said Mohammed ‘GSM’, juzi alifanya kikao kizito na...

READ MORE

Makombora Makali Yapiga Kyiv, Huku Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Akifanya Ziara Ukraine

MJI mkuu wa Ukraine  usiku wa kuamkia leo Aprili 29, 2022 umetikiswa na mashambulio makali yaliyofanywa na majeshi ya Urusi...

READ MORE

Itel Yawakumbuka Watoto Wenye Uhitaji Maalum, Yawasapoti Kimasomo

    KAMPUNI ya simu za mkononi ya itel Tanzania leo Aprili 29 mwaka 2022 imerudisha fadhila kwa jamii kwa...

READ MORE

Nafasi ya Kazi World Bank Group, Municipal Engineer

Municipal Engineer Job #: req17219 Organization: World Bank Sector: Urban Grade: GF Term Duration: 3 years 0 months Recruitment Type:...

READ MORE