×

Nafasi za Kazi 2 VETA, ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – AGRO – MECHANICS

POST ASSISTANT VOCATIONAL TEACHER – AGRO – MECHANICS(RE-ADVERTISED) – 2 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION FARMING AND AGRIBUSINESS EMPLOYER...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Kufanya Mazungumzo na Rais wa Ghana Nana-Akufo Addo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ghana Nana-Akufo Addo,...

READ MORE

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Apokea Tuzo ya Heshima Nchini Ghana (Picha +Video)

  RAIS Samia anapokea tuzo ya mwaka 2022 ya Babacar Ndiaye kwa mafanikio ya Serikali ya awamu ya sita katika...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi, Mei 26, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Mei 26, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Taasisi Yaanzisha Mafunzo Kuwanoa Wadau wa Mawasiliano

TAASISI mpya ya Mahusiano na Mawasiliano ya Umma nchini Tanzania (IPRT) imetangaza hatua kutoa mafunzo kuhusu mawasiliano ya kimkakati mahususi...

READ MORE

Victoria Foundation Yatoa Msaada wa Taulo za Kike, Mtwara na Lindi

Katika kuonyesha mwanamke anatimiza ndoto na kuwa kinara katika jamii bila kuwa na changamoto mbalimbali zitakazo mkatisha tamaa katika kufikia...

READ MORE

NMB Teleza Kidijitali Ndani ya A-town

Kwa mara nyingine tena, Benki ya NMB katika kuendeleza ubunifu na kuwarahisishia huduma wateja wake, inaendelea kuinadi kampeni ya Teleza...

READ MORE

Kero ya Maji kwa Wakazi wa Kijiji cha Nega  B Wilayani Iringa Mbioni Kumalizika

Ukosefu wa maji katika kijiji cha Nega  B wilayani Iringa umesababisha wakazi wa eneo hilo kuoga maji pungufu katika familia...

READ MORE

GGML Yamwaga Magari VETA Mwanza

Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) imetoa msaada wa magari manne aina ya Toyota Land Cruiser kwa Mamlaka ya...

READ MORE

Rais Samia Suluhu Afanya Uteuzi Katika Idara Mbalimbali

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Sauda Kassim Msemo kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, kabala ya uteuzi...

READ MORE

Jina la Mayele Lajadiliwa Kambini Simba Kuelekea Mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la FA

  KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco amefichua kuwa amewaonya mabeki wa timu hiyo, wakiwemo Henock Inonga na Joash Onyango...

READ MORE

Mbatia: Mimi Bado ni Mwenyekiti Halali wa NCCR-Mageuzi

MWENYEKITI aliyesimamishwa wa Chama Cha NCCR- Mageuzi James Mbatia amesisitiza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti halali wa Chama cha NCCR-...

READ MORE

Maua Chenkula Adai Kusingiziwa Kifo Kulimpoteza Kwenye Ramani ya Muziki

MSANII wa nyimbo za Asili Maua Chenkula ambaye amekuwa akifanya mahojiano katika studio za 255globaradio na Global TV kwenye kipindi...

READ MORE

Video: IGP Sirro Akemea Mauaji – “Kama Umemchoka Achaneni Vizuri, Wanawake Wapo Wengi”

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amesema miongoni mwa matukio machache yanayowasumbua ni mauaji yanayotokana na...

READ MORE

George Mpole: Ufungaji Bora Ligi Kuu ni Suala la Muda Tu, Ataja Siri ya Mafanikio

STRAIKA mzawa ambaye anafanya vizuri kwa sasa kwenye Ligi Kuu Bara, George Mpole anayekitumikia kikosi cha Geita Gold, amefunga mabao...

READ MORE

Bulaya, Musukuma Wataka Wabunge Waende JKT

Mbunge wa Viti Maalum Ester Bulaya ameshauri wabunge vijana wote waliopo Bungeni kupelekwa kupata mafunzo ya JKT ili kuwajengea uzalenzo...

READ MORE

Diwani Wilayani Makete Amgomea Mkuu wa Wilaya Kujenga Bweni la Shule

NI maelekezo ya Mkuu wa Wilaya ya Makete mkoani Njombe Juma Sweda aliyoyatoa wiki moja iliyopita kwa kumuagiza Afisa Tarafa...

READ MORE

Aisha Vuvuzela: Kuvunjika kwa Bendi ya Yah Tmk Kumenifaidisha

MSANII wa kitambo wa Taarab, Aisha Vuvuzela amesema kuvunjika kwa Bendi ya Taarab ya Ya TMK kumemfaidisha kwa sababu baada...

READ MORE

Breaking News: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Yamsimamisha Mbatia – Video

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia na sekretarieti yake...

READ MORE