×

Mdundo Yawatakia Watanzania Ramadhan Kareem Na Kuwakaribisha Katika Mwezi Mtukufu

Imani na muziki zitaungana pamoja kwenye Mdundo.com ili kukonga nafsi za waumini wote katika kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan...

READ MORE

Beki Simba: Ubingwa Bado ni Mgumu “Kwa sasa Huwezi Kusema Nani Atakuwa Bingwa”

BONIPHACE Pawasa, beki wa zamani wa kikosi cha Simba, amesema kuwa kwa sasa bado vita ya ubingwa ni ngumu kutokana...

READ MORE

Spika Tulia Anaongoza Kikao Cha Kwanza, Mawaziri Wawekwa Kikaangoni-Video

SPIKA Mpya wa Bunge, Dkt Tulia Ackson, leo Aprili 05, ameongoza kikao ikiwa ni mkutano wa kwanza tangu Bunge lirejeshwe...

READ MORE

Video: Rais Samia Afungua Mkutano Wa Kitaifa Wa Haki, Amani Na Maridhiano Tanzania – Dodoma -Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Kitaifa wa haki, Amani na Maridiano Tanzania...

READ MORE

Yanga Yawaandalia Mtego Azam, Simba Benchi la Ufundi la Yanga Wafunguka Mikakati Mipya

KATIKA kuhakikisha wanapata matokeo kwenye ratiba ngumu ya michezo yao miwili ijayo ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam keshokutwa...

READ MORE

Utata Chadema, NCCR Wagoma, Wataka Kukutana Rais Samia, Bunge ‘Live’ Larejea | Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne, Aprili 5, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 5, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Adebayor: Nimewapenda sana Watanzania, Wametuonesha Upendo na Ukarimu Mkubwa

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa USGN ya Niger Victorien Adebayor amekiri kuridhishwa na mazingira ya Tanzania tangu alipowasili akiwa na kikosi...

READ MORE

Ajali Yaua Wanne na Kujeruhi Tisa Dodoma, Basi la Geita Express Lagongana na Fuso

Watu wanne wamefariki dunia na 19 kujeruhiwa mkoani Dodoma katika ajali iliyohusisha basi la Geita Express kugongana na Fuso jana...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Afanyiwa Unyama, Vibaka Wamburuza na Bodaboda Barabarani

DOREEN Reguna almaarufu Queen Magali; ni mkongwe kwenye tasnia ya Bongo Muvi ambapo aliwahi kujizolea umaarufu na Kundi la Mishemishe...

READ MORE

Hamisa: Tutaishia Kugombana

HAMISA Mobeto; ni mwanamitindo, msanii wa muziki na Bongo Movies ambaye anasema kuwa, huwa anachukizwa na baadhi ya watu kudharau...

READ MORE

Kenya Yakumbwa na Uhaba wa Mafuta, Foleni Ndefu Zashuhudiwa Sheli

UHABA wa mafuta umeendelea kuikumba nchi ya Kenya, huku miji mikuu ikiripoti kuwa na foleni ndefu kwenye vituo vichache vya...

READ MORE

Waziri Nape Baada ya Simba Kutinga Robo Fainali, Ajilipua – “Hili Jambo Nimeliingilia Mwenyewe Sasa”-Video

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza mara baada ya Simba kuichapa USGN ya Niger kwa...

READ MORE

Rais Samia Azindua Ugawaji wa Vitendea Kazi kwa Maafisa Ugani Kilimo-Video

Rais samia leo april 4, 2022, amezindua zoezi la ugawaji wa vitendea kazi ikiwemo pikipiki kwa maafisa ugani kilimo wa...

READ MORE

Waziri wa Uingereza Masuala ya Afrika, LATAM na Visiwa vya Caribbean Atembelea Serengeti

    MOSHI, Tanzania; Aprili 3, 2022: Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Latini Amerika na Caribbean Vicky Ford, leo...

READ MORE

Askofu Mwaikali Atikisa, Aongoza Mamia Ya Waumini, Chadema, ACT Wataka Bunge Lifupishwe…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini....

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazet la Ijumaa Wikienda kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Aprili 4, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 4, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE