×

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar Linachunguza kwa Kina Kifo cha Padri Kangwa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema linachunguza kwa kina tukio la kifo cha Padri wa Kanisa...

READ MORE

Waethiopia Wakusanyika Katika Ubalozi wa Urusi Kujiandikisha kwa Vita Nchini Ukraine

VIJANA  wa Ethiopia wanaendelea kukusanyika katika ubalozi wa Urusi mji mkuu Addis Ababa, leo Jumanne Aprili 19, 2022 kufuatia uvumi...

READ MORE

Msemaji wa Yanga Haji Manara Alamba Dili la Ubalozi, Adai ni Baraka za Mke Mpya -Video

MSEMAJI wa Klabu ya Yanga Haji Manara amesaini mkataba huo mbele ya waandishi wa habari na ameahidi kuitumikia vema kampuni...

READ MORE

Urusi Yaanza Awamu ya Pili ya Mapigano Nchini Ukraine Katika Jimbo la Donbas

MAPIGANO makali yametekelezwa katika miji ya Donbas ikiwa ni wiki kadhaa tangu Urusi iweze kusitisha mapigano yake katika nchi ya...

READ MORE

Mtoto Auawa Kwa Kumwagiwa Maji ya Moto na Bibi Yake Lyabukande Wilaya ya Shinyanga

Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga...

READ MORE

Kajala Kamjibu Harmonize? Atoa Ujumbe Mzito “Heri Kuwa Peke Yako Kuliko Kuwa na Asiyekufaa”

Harmonize au Konde Boy Mjeshi ni msanii mkubwa nchini Tanzania ambaye umepinduka mwezi mmoja sasa tangu alipoanza harakati za kumuomba...

READ MORE

Kiungo wa Simba Hassan Dilunga Kukaa Nje ya Uwanja kwa Wiki Nne Afanyiwa Upasuaji

KIUNGO mshambuliaji fundi wa Simba, Hassan Dilunga, anatarajiwa kukaa nje ya uwanja kwa wiki nne baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo....

READ MORE

Video: Waziri Nape Nnauye Azindua Studio Mpya Za Kisasa Za TBC 2, Mikocheni – Dar

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnaye amezindua jengo la kisasa la studio za TBC2 mkoani Dar...

READ MORE

Mtoto wa Kiume wa Cristiano Ronaldo Afariki Dunia Baada Ya Kutarajia Mapacha

Kupitia ukurasa rasmi wa Cristiano Ronaldo wa Instagram, ametangaza kifo cha Mtoto wake wa kiume ambaye amezaliwa leo, hii inakuja...

READ MORE

Video: Bungeni, Wabunge Wanatoa Hoja Konki, Spika Tulia Anaongoza Kikao…

 Vikao vya Bunge la 12, mkutano wa saba kikao cha nane linaendelea leo jijini Dodoma. Wabunge wanaiuliza Serikali na...

READ MORE

Urusi Yaanza Mashambulizi Mashariki Mwa Ukraine, Zelenskiy Afunguka

Urusi hatimaye imeanza kufanya mashambulizi yaliyokuwa yamesubiriwa kwa muda mrefu mashariki mwa Ukraine. Haya yamesemwa na Rais wa Ukraine Volodomyr...

READ MORE

RC Tabora Kufungua Maadhimisho ya Elimu Igunga

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian anatarajiwa kufungua Maadhimisho ya wiki ya Elimu Aprili 25, 2022 Wilayani...

READ MORE

Nabi Ajifungia Kumsoma Sakho Akijiandaa na Kariakoo Dabi Aprili 30 kwa Mkapa

BENCHI la Ufundi la Yanga pamoja na wachezaji wa timu hiyo, waliutumia mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la Shirikisho...

READ MORE

Rais Samia Azindua Filamu ya The Royal Tour Jijini New York Marekani (Picha +Video)

FILAMU ya The Royal Tour imezinduliwa katika ukumbi wa Guggenheim Museum Jijini New York nchini Marekani kwa mara ya kwanza...

READ MORE

Rais Samia Atoa Wito kwa Vijana Kuchangamkia Fursa za Maendeleo ya Teknolojia

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watanzania hususa ni Vijana, kuchangamkia fursa za maendeleo ya...

READ MORE

Simba Queens Waikataa Dabi Yao na Yanga Princess bora Fountain Princess

MENEJA wa Simba Queens, Seleman Makanya, amesema kwa sasa hawana tena dabi na Yanga Princess, ni bora wahamie kwa Fountain...

READ MORE

Ligi ya Beach Soccer Imeendelea Tena Katika Viwanja vya Coco Beach

LIGI ya Beach Soccer imeendelea  katika viwanja vya Coco Beach ambapo mechi za makundi mawili A na B zilichezwa.  ...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Ngorongoro Conservation Area Authority, MEDICAL DOCTOR

POST MEDICAL DOCTOR II – 1 POST POST CATEGORY(S) HEALTHCARE AND PHARMACEUTICAL EMPLOYER Ngorongoro Conservation Area Authority(NCAA) APPLICATION TIMELINE: 2022-04-14...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

JIpatie nakala ya Gazeti la Spoti Xtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS...

READ MORE

Raia Nchini Kenya Ahukumiwa Kifo Baada ya Kuiba Gari la Rais Kenyatta

MWANAUME mmoja raia wa nchini Kenya ambaye anadaiwa kuiba gari la Rais Uhuru Kenyata mwaka 2014 amehukumiwa kifo. Mwanaume huyo...

READ MORE