×

Paula: Tunatumia Helikopta Kwenda Sokoni, Awaonya Wenye Makasiriko Kukaa Kimya

  KAMA wewe ni mfuatiliaji wa Bongo Movies utakuwa unamjua Kajala Masanja au Frida Kajala na kama ni mfuatiliaji wa...

READ MORE

Ziara ya Rais Samia Nchini Marekani Kuboresha Sekta ya Usafiri wa Anga

ZIARA ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan imechukua nafasi yake ya kipekee baada ya kutokea tukio la kihistoria ambapo...

READ MORE

Benki ya CRDB: Tuko Tayari Kufanya Kazi na Makampuni ya Bima ya TAKAFUL

  WATEJA wa Benki ya CRDB sasa wanaweza kupata huduma za Bima zinazofata misingi ya Shariah, ijulikanayo kama Takaful baada...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumamosi, Aprili 16, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Aprili 16, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Kamala Harris, Makamu wa Rais wa Marekani – (Picha +Video)

  RAIS Samia Suluhu Hassan Aprili 15, 2022 amekutana kwa mazungumzo na Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris karibu...

READ MORE

Kiungo wa Manchester United Matic Atangaza Rasmi Kuondoka Klabuni

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Manchester United raia wa Serbia Nemanja Matic amesema mwisho wa msimu huu anaondoka katika klabu...

READ MORE

Mwili wa Msanii Maunda Zahir Zorro Kuzikwa Kesho Kwenye Makaburi Yaliyopo Kibada, Kigamboni

MWILI wa Msanii wa Bongo Fleva, Maunda Zahir Zorro unatarajiwa kuzikwa kesho Jumamosi kwenye makaburi yaliyopo Kibada, Kigamboni ambako alikuwa...

READ MORE

Rihanna na ASAP Rocky Je Kweli Wamemwagana? Inasemekana Kisa ni Usaliti

    Habari inayotrend kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii kwa leo, ni madai kuhusu mastaa wawili wakubwa wa...

READ MORE

Kisa Simba, Nabi Apiga Mkwara Mzito Kambini Yanga, Ataka Waiwaze Namungo 

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewapiga mkwara mastaa wake kwa kuwataka kutofikiria mchezo wa Dabi ya Kariakoo na...

READ MORE

Familia ya Ricketts Imesitisha Ofa Yao ya Kuinunua Klabu ya Chelsea

TAARIFA iliyotolewa na Kampuni ya uwekezaji ya Ricketts imedai kuwa wameamua kujitoa kutokana na mambo kadhaa kutoelezewa vizuri juu ya...

READ MORE

CAF na FA Kunogesha Wikiendi Yako, Tiketi ya Ushindi Ipo Meridianbet Pekee!

NI hatua ya robo fainali kunako mashindano ya Afrika wakati barani Ulaya, ni mitanange ya nusu fainali ya Kombe la...

READ MORE

Daktari Matatani kwa Kuwapapasa, Kuwabusu Wagonjwa Wake Wakiwemo Wajawazito

DAKTARI mmoja kutoka North Lanarkhire nchini Scotland, Krishna Singh (72) amekutwa na hatia ya makosa 54 ya unyanyasaji wa kingono...

READ MORE

Nyumba Yanusurika Kuungua Baada ya Gari Kuteketea kwa Moto Nje ya Nyumba Hiyo

NYUMBA moja mali ya Bw. Rashid Adam mkazi wa Dodoma, imenusurika kushika moto kutokana na gari iliyokuwa imepaki nje ya...

READ MORE

Rais Samia Azungumza na Rais wa National Democratic Institute Jijini Washington

  RAIS Samia yupo katika ziara ya kikazi nchini Marekani ambapo amefanikiwa kukutana na viongozi mbalimbali wa kiserikali pamoja na...

READ MORE

Mshambuliaji wa Zanaco Phiri aitaka namba ya Yacouba Yanga, Adai ina Bahati

MSHAMBULIAJI wa Zanaco ya Zambia, Moses Phiri ambaye anahusishwa kujiunga na Yanga amesema kuwa anatamani kuona anavaa jezi namba 10...

READ MORE

Wakijiandaa Kuikabili Simba… Nabi Amuongezea Makali Mayele “Tumekuwa na Wakati Mzuri”

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi, ameweka wazi kuwa licha ya mwenendo bora walionao msimu huu, bado haridhishwi na kiwango...

READ MORE

Rais Samia Amfuta Kazi Mkurugenzi na Mtendaji Mkuu wa MSD, Afanya Uteuzi Mwingine

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemfuta kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Mtendaji Mkuu...

READ MORE

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Chico Majanga Tena, Aumia Akiwa Mazoezini

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Chico Ushindi, tangu ajiunge na timu hiyo amekuwa akikumbwa na majeraha ya mara kwa mara hali...

READ MORE