×

Waziri Jafo Aipongeza NEMC Kwa Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira

Pongezi hizo  zimetolewa na Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mhe.Selemani Jafo alipokuwa akiongea na waandishi wahabari...

READ MORE

Simba Yatambulisha Jembe Jipya Kutoka Nchini Ghana, Takwimu Zake Zinatisha

KLABU ya Simba imemtambulisha kiungo mshambuliaji raia wa Ghana Augustine Okrah akitokea Bechem United.   Okrah amesaini mkataba wa miaka...

READ MORE

Rais wa Sri Lanka Atoroka Nchi kwa Kutumia Ndege ya Jeshi, Ndugu Yake Atimkia Marekani

RAIS wa Sri Lanka Gotabaya Rajapaksa (73) ametoroka nchi yake kwa kutumia ndege ya jeshi la nchi hiyo akiwa yeye...

READ MORE

Nane Wafariki Ajalini, Watano wa Familia Moja

Watu nane wakiwamo watano wa familia moja ambao ni mama na watoto wake wanne, wamefariki dunia baada ya magari mawili...

READ MORE

Mwanajeshi Mstaafu Aua Wakigombea Mpaka

MSTAAFU wa Jeshi la Wananchi (JWTZ), Jonas Ziganyige (71), anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam...

READ MORE

Mwizi Amuua Binti wa Kazi za Ndani na Kuuficha Mwili Huo Katika Stoo

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limemkamata na linamshikilia Selemani Haruna maarufu Kwata (24), Mkazi wa Kimara...

READ MORE

Chelsea Yafikia Makubaliano na Napoli Kumsajili Beki Kalidou Koulibaly

KLABU ya Chelsea ya nchini Uingereza imefikia makubaliano na klabu ya Napoli ya nchini Italia juu ya uhamisho wa Beki...

READ MORE

Nafasi za Kazi Absa Group Limited Manager, Internal Audit (Cyber and Technology)

locations Absa House – ABT time type : Full time posted on Posted Yesterday job requisition id R-15935076 Bring your...

READ MORE

Wabunge wa Sri Lanka Kumchagua Rais Mpya Mapema Wiki Ijayo, ni Kutoka Miongoni Mwao

  Wabunge nchini Sri Lanka wamefikia muafaka wa  kumchagua rais mpya wa nchi mapema wiki ijayo lakini, licha ya kufikia...

READ MORE

UN Wametoa Taarifa Kwamba Idadi ya Watu Itaongezeka hadi Kufikia Watu Bilioni 8 kufikia Novemba 15

UMOJA wa Mataifa wametoa taarifa siku ya Jumatatu juu ya ongezeko la watu duniani ambapo inatarajiwa kwamba idadi ya watu...

READ MORE

Watu Wawili Wakamatwa Wakidaiwa Kuhusika na Tukio la Ufyatuaji Risasi Nchini Afrika Kusini

Polisi nchini Afrika Kusini wamesema kwamba wamewakamata watu wawili wanaohusishwa na moja ya mashambulizi mawili kwenye bar ambayo yalisababisha vifo...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano, Julai 13, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Julai 13, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

CRDB, IFC Kuongeza Upatikanaji wa Mitaji kwa Wajasiriamali Tanzania na Burundi

Benki ya CRDB na Shirika la Fedha la Kimataifa (IFC) leo wameingia mkataba wa uwezeshaji utakaongeza upatikanaji wa fedha kwa...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi leo July-13, kwa nusu bei na uingie katika droo kujishindia zawadi ya hadi...

READ MORE

Baada ya Kutangaza Kustaafu Soka Wilshare Alamba Dili ya Ukocha Arsenal

KLABU ya Arsenal imempatia dili kiungo wake mshambuliaji wa zamani Jack Wilshare kuwa kocha wa timu ya vijana chini ya...

READ MORE

Benki ya Exim Yakabidhi Msaada wa Madawati 100 Tabora

Benki ya Exim Tanzania imekabidhi msaada wa madawati 100 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 mkoani Tabora ikiwa...

READ MORE

Waziri wa Elimu: Waombaji Mikopo 2022-2023 Someni Mwongozo

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amewahimiza waombaji mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023...

READ MORE

Kajala na Harmonize Wapania Kufanya Kufuru, Waanza na Qatar na Dubai

      MSANII wa Bongo Movies ambaye pia ni mpenzi na Meneja wa Harmonize, Kajala Masanja ameanza rasmi majukumu...

READ MORE

Rayvanny Aaga Rasmi: Ni Wakati wa Kuondoka WCB na Kuanza Maisha Mapya

MSANII maarufu wa Bongo Fleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ ametangaza kuondoka rasmi katika Lebo yake ya Wasafi ‘WCB’ na kwenda kuanza...

READ MORE