×

Kwa Taarifa Zaidi Ingia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu...

READ MORE

Pata Mkopo wa Haraka na Riba Nafuu Kupitia Wezesha Mzawa Microfinance

Katika maisha ya kila siku, mahitaji ya kifedha yanaweza kujitokeza ghafla ada za shule, matibabu, biashara au dharura nyingine. Watu...

READ MORE

Zaidi ya Mchezo, Meridianbet Missions Ni Mfumo wa Mafanikio

Ndani ya soko linalokua kwa kasi mtandaoni, Meridianbet inaendelea kujitofautisha kwa kuleta mifumo inayomweka mtumiaji katikati ya uzoefu. Kupitia Meridianbet...

READ MORE

Fahamu Nguvu ya USS Abraham Lincoln, Ngome ya Kijeshi ya Marekani Baharini – Video

USS Abraham Lincoln (CVN-72) ni meli kubwa ya kivita ya Marekani aina ya aircraft carrier (meli ya kubeba ndege za...

READ MORE

Fursa Kubwa kwa Watanzania: Nafasi 1,150 za Udereva Qatar Zinatangazwa

Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano, kwa kushirikiana na Almah Travel and Tours Company Limited, imetangaza fursa...

READ MORE

China Yapiga Marufuku Hidden Door Handles kwenye Magari

China imetangaza rasmi kuzuia matumizi ya milango ya gari yenye hifadhi iliyojificha (hidden door handles), hatua inayoweza kuathiri mtindo wa...

READ MORE

Washington Yatuma Dola Milioni 500 Kusaidia Huduma za Umma Venezuela

Marekani sasa imekamilisha marejesho ya dola milioni 500 zilizotokana na mauzo ya mafuta ya Venezuela, kama sehemu ya makubaliano mapya...

READ MORE

Prof. Shemdoe Akutana na Mkurugenzi wa Azania Kujadili Maeneo ya Ushirikiano

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekutana...

READ MORE

Waziri Mkuu Afanya  Mazungumzo  Na Waziri Wa Mambo  Ya  Nje Fedha  Na Taasisi  Ya  Kuke Ya Poland

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Wizara ya Fedha pamoja...

READ MORE

Nmb Yakabidhi Vifaa Vya Mil 105, Shule na Hospitali Manyara

Mkuu wa wilaya ya Hanang Alimish Hazali (kulia) akikabidhiwa benchi na Meneja wa Benki ya Nmb Kanda ya Kaskazinid ,Ladislaus...

READ MORE

Pep Guardiola Azungumzia Mauaji Marekani, Israel, Ukrane – Video

Pep Guardiola amesema atatumia nafasi yake kama mmoja wa watu wanaosikilizwa zaidi duniani kuzungumzia “maumivu” anayohisi kuhusu waathiriwa wa migogoro...

READ MORE

Taarifa ya Polisi Kuhusu Kundi la Uasi Mwanza – Video

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetoa wito kwa wananchi kuzipuuza taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii zenye kichwa cha...

READ MORE

Rais Samia Akizungumza Jambo na Makamu Rais wa UAE

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Makamu wa Rais wa...

READ MORE

Rais Samia Atangaza Fursa za Uwekezaji Tanzania Mbele ya Viongozi wa Dunia

Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa hakikisho la miundombinu bora ya uwekezaji nchini kwa wawekezaji duniani, akisema Tanzania imewekeza vema...

READ MORE

Makamu Nchimbi Kwenye Mazishi ya Munde Tambwe Tabora

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, amewasili katika Kata ya Cheyo, Manispaa ya Tabora mkoani...

READ MORE

Rais Kiir Awafutia Kazi Wasaidizi Wawili Baada ya Kuteua Marehemu

Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir, amewafuta kazi wasaidizi wake wawili waandamizi kufuatia kashfa ya kumteua mtu aliyefariki miaka mitano...

READ MORE

Ndege ya Iran Yadunguliwa na Jeshi la Marekani Karibu na Meli ya Kivita

Jeshi la Marekani limedungua ndege isiyo na rubani (drone) ya Iran baada ya kukaribia kwa umbali hatari meli ya kivita...

READ MORE

Utafiti Mpya Wabaini Pombe Haramu  kuhatarisha Afya Za Wananchi 

Tanzania Kugharimu Zaidi ya Shilingi Trilioni 1 za Kitanzania Dar es Salaam, Februari 5, 2026: Pombe haramu zinaendelea kuwa tishio...

READ MORE

Nafasi za Kazi: Walimu wa Chemistry, Physics, Biology na Mathematics Wanahitajika Haraka

Buchosa Smart Class inatangaza nafasi nne (4) za ajira kwa walimu wa Sekondari katika masomo yafuatayo: 1. Chemistry 2. Physics...

READ MORE

Leo Viwanja Vinawaka Moto: Mechi Kubwa Ulaya na Nafasi ipo mikononi mwako

Siku ya leo inaenda kubadilisha maisha yako moja kwa moja kwani mechi kibao zipo uwanjani na nafasi ya kuondoka na...

READ MORE