×

Live: Utata Zaidi Waibuka Askari Aliyejinyonga, Polisi Wanaswa Mikono, Maumivu Mgao Wa Umeme…Front Page

Karibu kutazama kipindi bora cha asubuhi ‘FRONT PAGE’ Hapa utapata kujua habari zilizojiri kutoka kwenye magazeti pamoja na uchambuzi makini…....

READ MORE

Nafasi ya Kazi INNOVEX, Audit Senior

Audit Senior Audit · Dar es Salaam, Dar Es Salaam Department Audit Employment Type Contract Minimum Experience Experienced INNOVEX is a...

READ MORE

Rihanna Aanika Ujauzito Wake

Mwanamuziki Rihanna pamoja na mpenzi wake rapa ASAP Rocky wameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za usoni. Wawili hao...

READ MORE

Moto Wateketeza Soko la Mbuyuni Kilimanjaro

MOTO mkubwa ambao chanzo chake bado hakijajulikana, usiku wa kuamkia leo Februari Mosi 2022 umeteketeza sehemu ya soko la Mbuyuni...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Jumanne, Feb. 1, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 31, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Wateja 25 Droo ya Mwezi wa kwanza, NMB MastaBata wazoa Mil 25/=

  WAKATI kampeni ya NMB MastaBata – Kivyako Vyako ikizidi kunufaisha wateja kwa washindi 25 wa mwezi wa kwanza wa...

READ MORE

Absa Yastahimili Dhoruba Ya Janga la COVID- 19

  Benki ya Absa Tanzania imeendelea kuimarika karika shughuli zake za kibiashara licha ya misukosuko kwenye soko iliyotokana na janga...

READ MORE

Wababe Waliotazamwa Zaidi YouTube Mwaka 2021

MTANDAO wa YouTube umeachia orodha ya wasanii 10 waliopata watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube kwa 2021 ndani ya nchi...

READ MORE

Aubameyanga Atimkia Barcelona

MUDA wowote kuanzia sasa, mshambualiaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang atajiunga na Barcelona kwa mkopo kabla ya dirisha la...

READ MORE

Hali Mbaya Mauaji ya Kutisha Kila Kona, Sababu Aaanikwa

NDANI ya muda mfupi kumekuwa na mlolongo wa mauaji ya kutisha karibu kila kona ya nchi, jambo linaloashiria hali ni...

READ MORE

Leo Kazi Anayo, Mastaa Wamvaa Aristote

MASTAA mbalimbali wa filamu na muziki Bongo, wamemjia juu Aristotee kufuatia kauli yake aliyoitoa kwa Wema Sepetu kwamba “miaka yote...

READ MORE

Auawa kwa Tuhuma za Kutengeneza Radi

MWANANCHI mmoja mkazi wa Halmshauri ya Nsimbo mkoa wa Katavi, Baraka Kabisu, ameuawa na wananchi wenye hasira kali wakimtuhumu kuwa...

READ MORE

Uwoya Ateketeza Milioni 20 na Wanaume “Wanawake Wanatamani Ufe”

UNAAMBIWA Irene Uwoya ametumia zaidi ya milioni 20 kula bata na marafiki zake wanne wa kiume huko Moshi mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Mchungaji Mbaroni kwa Kulala na Mke wa Mtu na Mabinti Zake Wawili

MCHUNGAJI Mmkuu wa Kanisa la Olomore Abeokuta, Mchungaji Timothy Oluwatimilehin, amekamatwa na maafisa wa Polisi wa Ogun nchini Nigeria kwa...

READ MORE

Wabunge wa CCM Wampitisha Dkt. Tulia Uspika

KAMATi ya Wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia kikao chao (Caucus) wamempitusha Mbunge wa Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson...

READ MORE

Kisa Kumchamba Wema Kupanda Uber, Aristote Yamkuta Mazito

MAMBO yametaradadi….. Hivyo ndiyo unavyoweza kusema baada ya mdau wa masuala ya sanaa, Aristote kumwangukia malkia wa Bongo Foeva, Wema...

READ MORE

Chameleon: Nikifa Nizikwe na Jeneza la Vioo

MSANII mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanjais maarufu kama Jose Chameleon ameushangaza umma baada ya kutaka siku akifariki...

READ MORE

Mbeya City Yaichimba Mkwara Yanga

KOCHA Mkuu wa  Mbeya City, Mathias Lule, ameitahadharisha Yanga, kuwa isitarajie kupata mteremko katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania...

READ MORE

Harmonize humuambii kitu kwa Kiba

MSANII mwingine mkubwa nchini Tanzania, Rajab Abdul almaarufu Harmonize amethibitisha kwamba humuambii kitu kwa msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba au...

READ MORE