×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Februari 22, 2022

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Februari 22, 2022 Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Maelekezo Ya Mchengerwa Yafikia Pazuri

MAELEKEZO ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa ya kutaka mchakato wa mwaka huu wa utoaji wa Tuzo...

READ MORE

Nandy: Nenga Asante Kwa Kunichagua

NANDY The African Princess ni mwanadada wa Kitanzania aliyejaaliwa kipaji kikubwa cha muziki na uigizaji. Kwa miaka kadhaa Nandy amejitengenezea...

READ MORE

Huyu ndiye aliyemuoa Diva

USIKU Waopendanao duniani, Valentine’s Day 2022; muda wa saa mbili usiku, mtangazaji wa Wasafi, Diva Gissele Malinzi au Diva The...

READ MORE

Brook Amchapa Amir Khan Kwa TKO

BONDIA Kell Brook ameshinda pambano lake dhidi ya Amir Khan baada ya mwamuzi kuingilia kati katika raundi ya sita kufuatia...

READ MORE

Nabi aukwepa mtego wa Simba

WAKATI Simba SC wakiingia kwenye mtego wa kudondosha pointi pale Manungu dhidi ya Mtibwa Sugar, Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia,...

READ MORE

Aliyemgongelea Misumari Mwenzake Kwenye Mti Asakwa

Wakazi wa Kaunti ya Vihiga Magharibi mwa Kenya, walipigwa na butwaa baada ya kumuona kijana mwenye umri wa miaka 19,...

READ MORE

Yanga Yashusha bei za Jezi, Yatamba Kuibamiza Mtibwa

KLABU ya Yanga imepunguza bei ya jezi zake ili kuwapa nafasi mashabiki wake kununua jezi za timu yao kwa bei...

READ MORE

Akamatwa kwa kuoa wanawake 17

JESHI la Polisi katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India limemkamata mwanaume anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...

READ MORE

ASFC: Simba Kuivaa Pamba, Yanga Dhidi ya Geita

DROO ya mechi za kombe la Azam Sports Federation Cup (ASFC) hatua ya robo fainali imefanyika leo Februari 21, ambapo...

READ MORE

Waziri wa Afya Zanzibar Apokea Mashine za Oxygen.

  Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amepokea mashine tatu za...

READ MORE

Watoto 7 Wauawa Kwenye Shambulio la Anga

WATOTO saba wameuawa nchini Niger katika shambulio la anga la jeshi la Nigeria likiwalenga “majambazi”, wenye silaha mpakani mwa nchi...

READ MORE

Kauli ya Nape Kuhusu Bunge Live

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema serikali inaliangalia suala la kurejesha Bunge Live ili wananchi...

READ MORE

DC Jokate Amsaka Aliyeweka Picha Yake Kwenye Bajaj

MIONGONI mwa mambo yanayoweza kukufanya uishi vizuri na watu ni pamoja na upendo na kuwathamini watu wote bila kujali ni...

READ MORE

Mama Na Wanaye Wakamatwa Kwa Kumpiga “Mchepuko” Wa Mume

Jeshi la Polisi nchini Malawi, linawashikilia watu watatu wa familia moja, akiwemo mwanamke Rosina Matewere na wanaye wawili, Deus Matewere...

READ MORE

Mbaroni Kwa Kuoa Wanawake 17

POLISI  katika jimbo la Bhubaneshwar nchini India wamemkamata Ramesh Chandra Swain anayedaiwa kuwalaghai wanawake 17 kwa kujifanya daktari na wakati...

READ MORE

Wahuni Wavunja Makaburi na Kuiba Misalaba

MKUU wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza Salum Kalli amekerwa na vitendo vya baadhi ya wananchi kuvunja makaburi na kutoa...

READ MORE

Mtibwa Yaahidi Kuitibulia Yanga

UONGOZI wa Mtibwa Sugar, umebainisha kuwa, kikosi chao kipo tayari kuvunja rekodi ya Yanga ya kutopoteza mchezo hata mmoja kwenye...

READ MORE

Neema Yawadondokea Ray, JB

WAANDAAJI wa filamu Afrika Mashariki hususa ni waandishi wa miswada (script writters) watanufaika na mpango maalum ulioandaliwa na Taasisi ya...

READ MORE