×

Washindi Wapya wa Vitabu vya Shigongo

DROO ya nne ya Promosheni ya Jipatie Kitabu cha Shigongo imefanyika jana ambapo jumla ya washindi wanne wamepatikana na kwa...

READ MORE

Mchungaji Mwanamke KKKT Auawa Kikatili

Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Elizabeth Ng’unga (36) ameuawa kikatili kwa kutobolewa macho...

READ MORE

Waitara: Marufuku Kupandisha Nauli

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara ameagiza Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra) kuwachukulia hatua wamiliki na...

READ MORE

Rasmi: Yanga Yaachana na Kabwili

Golikipa namba mbili wa Yanga, Ramadhani Kabwili ameachwa rasmi na klabu ya Yanga. Taarifa za ndani zinaeleza kuwa juzi Desemba...

READ MORE

50 Cent Atangaza Kuacha Muziki

Rapa mkongwe na mwigizaji wa nchini Marekani, 50 Cent kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram  ameweka wazi nia yake...

READ MORE

Fainali za AFCON 2021 Ziko Palepale

Hatimaye Shirikisho la kabumbu barani Afrika CAF limethibitisha kuwa fainali za kombe la Mataifa ya Afrika AFCON 2022 zitafanyika nchini...

READ MORE

Aweso: Tumekwamua Miradi ya Maji Kichefuchefu 142 Kati ya 177

MBOZI-SONGWE WAZIRI wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa mkoani Songwe ametoa taarifa maalumu juu ya mageuzi makubwa yaliofanyika katika kukwamua...

READ MORE

NEEC Yaitunuku GGML Tuzo ya Mwekezaji Bora kwa Watanzania

  BARAZA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeitunuku Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) tuzo maalumu ya...

READ MORE

Yanga Yamuwinda Kipa wa Ruvu Shooting

Mabosi wa Yanga wanafikiria uwezekano wa kumpata mlinda lango wa Ruvu Shooting Mohammed Makaka kuchukua nafasi ya kipa namba moja...

READ MORE

Lita 4,000 za Diesel Zaibiwa Mradi wa Reli ya SGR

JESHI la Polisi Mkoa wa Simiyu limekamata Lita 4,135 za mafuta aina ya Diesel ambazo zinadaiwa kuibiwa kutoka kwenye Mradi...

READ MORE

Yatima Walivyofanyiwa Sapraiz Kuelekea Sikukuu ya Krismasi

      WATOTO Yatima na wenye uhitaji maalum wa Kituo cha Mama wa Huruma kilichopo Madale,  Dar wamefanyiwa sapraiz...

READ MORE

Ishu ya Uwanja, Yanga Wajibu Mapigo Simba

  MARA baada ya Simba kuanza harakati za ujenzi wa uwanja mpya kwa kuanzisha rasmi mchango kwa ajili ya uwanja...

READ MORE

Nabi Aomba Mashine Tano Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amekabidhi ripoti ya usajili iliyopendekeza kusajiliwachezaji watano pekee. Hiyo ni katika kuelekea usajili...

READ MORE

🔴#LIVE: Umafia Watawala Usajili Simba, Yanga, Sure Boy Apewa Miaka Miwili Yanga | KROSI DONGO

KARIBU katika ‘KROSI DONGO’ upate stori za kuaminika za michezo ndani na nje ya nchi.. 

READ MORE

Zari The Boss Lady Ashinda Tuzo Mbili

MJARISIAMALI kutoka Uganda mwenye makazi yake huko nchini Afrika ya Kusini Zarinah Hassan maarufu ‘Zari the boss lady” ameshinda tuzo...

READ MORE

Robo Fainali Ya Carabao Cup Inachezwa Wiki Hii

Wiki yako inawezakuanza vyema kwa kutengeneza faida kupitia Meridianbet. Michezo ya robo fainali ya Carabao Cup na LaLiga Santander kuchezwa...

READ MORE

🔴#LIVE: Mapya Mauaji Mchungaji KKKT, Serikali Yakwama Kumzuia Karume | Front Page…

KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa pamoja...

READ MORE

Nafasi za Kazi 3 TADB, Office Administrator Customer service officer

Overview Nature and scope: The jobholder reports to the Zonal Manager. He/she will be responsible for providing efficient and effective...

READ MORE

Yasome Hapa Magazeti ya Leo Desemba 21, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Desemba 21, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Halotel Yatoa Msaada Shule ya Sekondari Bonyokwa

  Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel hapa nchini imetoa msaada wa vifaa mbalimbali vya masomo kwa waalimu na...

READ MORE