×

Logo za GSM Zang’olewa Kwa Mkapa

HATIMAYE klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba SC na Shirikisho la soka Tanzania TFF wamefikia makubaliano ya pamoja baada ya...

READ MORE

Simba vs Yanga Giza Bado Nene

KUFUATIA Klabu ya Wekundu wa Msimbazi kugomea mkutano na wanahabari wa kuelezea maandalizi ya mchezo wake dhidi ya Yanga uliopangwa...

READ MORE

Ajali Ndani ya Hifadhi ya Mikumi Yaua Mmoja

MTU mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Joseph, Mkazi wa Makambako mkoani Iringa amefariki dunia huku wengine wawili wakijeruhiwa katika...

READ MORE

Aliyebeti kwa Pesa za Bosi Zikaliwa Yamkuta

KIMEUAMA! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya raia wa Kenya, Robert M’munoru mwenye umri wa miaka 20 kutoka Kaunti ya...

READ MORE

Kufuru ya Pesa! Davido Ajinunulia Lamborghini ya Bil 1.26

IKIWA ni wiki chache tu baada ya kuchangiwa pesa na mashabiki zake mtandaoni kiasi cha Naira 250,000,000 (Tsh Bilioni (1.4)...

READ MORE

Tofauti ya Shahada ya Udaktari wa Heshima (H.C) na PhD

Mjadala mkubwa umeibuka katika mitandao ya kijamii hasa baada ya Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku Musukuma kutunukiwa Shahada ya...

READ MORE

Kiba: Harmonize Sio Rafiki Yangu, Siijui Dini ya Diamond

NYOTA kutoka nchini Tanzania , Ali Kiba amewasili Kenya kwa ajili ya tamasha lake la ‘Only One King’ litakalofanyika Naivasha...

READ MORE

Benki ya BADEA Kuipa Tanzania Tsh Trilioni 7

Benki ya Maendeleo ya Kiarabu (BADEA) imeahidi kuipatia Tanzania mikopo yenye masharti nafuu pamoja na misaada inayokadiriwa kufikia dola za...

READ MORE

Maelekezo ya TCU kwa Waliotunukiwa Shahada za Heshima

Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuwa shahada za heshima nchini Tanzania zinatolewa nana vyuo vikuu vinavyotambulika na vilivyoorodheshwa...

READ MORE

Wasifu wa CDF Jenerali Mabeyo JWTZ

Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa Februari...

READ MORE

Mara: Wanaotuhumiwa Kumuua Mwalimu Wakamatwa

JESHI la Polisi Mkoani Mara limefanya Operesheni maalumu kwenye Halmashauri zote na kukamata watuhumiwa 22 wakiwemo Wawili ambao wanahusishwa na...

READ MORE

Rais Samia Amuaga Rais Kenyatta Uwanja Wa Ndege Muda Huu-Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru...

READ MORE

Faru Rajabu Mtoto wa Faru John Kuoa Kenya – Video

MTOTO wa Faru John, maarufu kama Faru Rajabu huenda akapata ‘jiko’ jingine siku za hivi karibuni baada ya Rais Samia...

READ MORE

Mangungu: Yanga Hii ni Kama Tunacheza na Timu ya Daraja la Kwanza Tu

KUELEKEA katika mchezo wa Derby ya Kariakoo, Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, amefunguka kuwa kwa namna alivyowatazama Yanga, anaamini Simba...

READ MORE

Rais Samia Amzawadia Kenyatta Korongo 20 – Video

Rais Samia Suluhu Hassan, amempa Rais Kenyatta ndege 20 aina ya Korongo kutokana na Kenya kuwa na idadi ndogo ya...

READ MORE

Kanye West kurithi mikoba ya Abloh Louis Vuitton

MWANAMUZIKI Kanye West anapigiwa chapuo kurithi nafasi ya marehemu Virgil Abloh ya kuwa mbunifu mkuu wa mavazi ya kiume katika...

READ MORE

Njombe: Mwili wa Marehemu Wafukuliwa – Video

IKIWA ni siku chache tu baada ya Jeshi la Polisi Mkoani Njombe kutangaza kupatikana kwa baadhi ya viungo vya mwili wa mfanyabiashara...

READ MORE

Simba Yagoma Kisa GSM – Video

UONGOZI wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha...

READ MORE

Bunduki 5,000 Kuchomwa Moto Dar

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene anatarajiwa kuziteketeza kwa moto silaha zaidi ya 5,000 zilizokua zinamilikiwa kiholela....

READ MORE