×

Nunua na Soma Gazeti la Championi kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la championi kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS :...

READ MORE

Lava Lava Iwe Funzo Kwake na Wengine

MWAKA 2017 ndipo Lava Lava alianza kusikika kupitia ngoma zake akiwa kwenye lebo kubwa ya muziki Bongo ya Wasafi Classic...

READ MORE

Kijana Miaka 15 Akabiliwa na Mashtaka ya Ugaidi na Mauaji

WAENDESHA mashtaka katika kitongoji cha Detroit wamemfungulia mashtaka ya ugaidi na mauaji ya kukusudia mvulana wa miaka 15 anayetuhumiwa kuwafyatulia...

READ MORE

Mwanafunzi Abakwa, Atobolewa Macho na Kuuwawa

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Maendeleo Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Zinati Alifa mkazi wa mtaa...

READ MORE

 Dozi Nyingine 115,200 za Johnson & Johnson Yawasili Nchini

Tanzania imepokea shehena ya Chanjo aina ya Janssen Dozi 115,200 zitakazotumika kuchanja wananchi 115,200 kwa ufadhili wa Serikali ya Ubeligiji...

READ MORE

Kichanga Kilichotupwa Chooni Chaokolewa

Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limemuokoa mtoto mchanga wa kiume anayekadiliwa kuwa na umri wa siku mbili hadi tatu aliyekuwa...

READ MORE

Amshtaki Mwanae kwa Kutompa Mahitaji, Ataka Alipwe Mshahara

Mzee Gideon Kisira Cherowo (73) Mkazi wa Birunda nchini Kenya amemfungulia kesi Mtoto wake aitwaye Washington Chepkombe akitaka akatwe asilimia...

READ MORE

 Danadana Majaribio Treni ya SGR Dar – Moro

DANADANA zimeendelea kutawala juu ya kukamilika kwa ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) kipande cha Dar – Morogoro, baada ya...

READ MORE

 Tanzania Yaongoza kwa Matumizi ya Bangi Afrika Mashariki

Licha ya sheria kali za kudhibiti matumizi ya dawa za kulevya, tafiti zilizopo zinaonyesha kuwa Watanzania hutumia zaidi bangi kuliko...

READ MORE

Tanzania Kuanza Kuzalisha “Smart Phone”

Serikali imemtaka muwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber chenye uwezo wa kuzalisha nyaya za mkongo a mawasiliano kuharakisha ujenzi uliosalia...

READ MORE

 Mtoto wa Miaka 13 Ajinyonga

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa, amesema Mtoto anayefahamika kwa jina la Evancy Underson mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Marekani Yaanza Kuishawishi Tanzania Kuruhusu Bangi

Nia ya kampuni ya Kampuni ya Honest Marijuana inayolima bangi kuwekeza nchini Tanzania imeibua mjadala kuhusu iwapo nchi inapaswa kuhalalisha...

READ MORE

Diamond Atangazwa Namba Moja, Nandy, Zuchu Wafanyiwa Figisu | HOTPOT-Video

KARIBU utazame kipindi cha ‘HOTPOT’ kinachokujia kila siku kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa saa 9 kamili Alasiri, kilichosheheni stori za mastaa...

READ MORE

Kubenea Aondoa Ombi la Kumshitaki Makonda Mahakamani

Mahakama ya Hakimu mkazi Kinondoni imeridhia ombi la mawakili wa Mwandishi wa Habari, Said Kubenea la kuondoa maombi ya kuwashtaki...

READ MORE

Snura Atoboa Siri Ugomvi na Shilole

MWANAMAMA anayefanya vizuri kunako muziki wa Singeli Bongo, Snura Mushi ametoboa siri ya ugomvi wake na msanii mwenzake, Zuwena Mohammed...

READ MORE

Wasiojulikana Watelekeza Bastola Bar

WATU wasiojulikana wametelekeza bastola aina ya Browing katika choo cha bar moja huko katika kata ya Bigwa Manispaa ya Morogoro...

READ MORE

Rais Samia Awawakia TIC Kisa Mwekezaji Huyu – Video

RAIS Samia ametoa maagizo makali kwa bodi ya uwekezaji nchini TIC kujitathimini sambamba na kubadilisha mifumo ya uhakiki wa taarifa...

READ MORE

Azam Yawatema Mazima Sure Boy, Mudhathir, Morris

Sakata la wachezaji Salum Abubakar ‘Sure Boy’, Mudathir Yahya na Aggrey Morris waliosimamishwa na klabu ya Azam FC limefikia patamu,...

READ MORE

Wabunge Ulaya Waridhishwa na Mwelekeo wa Tanzania

Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Umoja wa Ulaya wameelezea kuridhishwa kwao na mwelekeo wa uongozi wa Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mapambano Dhidi Ya Ukimwi, NSSF Yatunikiwa Tuzo

Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umepewa tuzo kama ishara ya kuthamini mchango wake katika mapambano ya VVU...

READ MORE